mpenzi

  1. JamiiForums Tanzania Mwanaume auliwa kwa kukatwa mapanga nyumbani kwa mpenzi wake, yadaiwa alikuwa akitembea na mke wa mtu

    Mwanaume mmoja aliyetambulika kwa jina la Kibwana Musa mkazi wa Kijiji cha Kiziwa Kata ya kiroka wilayani Morogoro, amekutwa ameuawa alfajili ya kuamkia leo Juni 22, 2022 kwa kukatwa panga nyumbani kwa mwanamke anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake. Akizungumzia tukio hilo, Mwenyekiti wa kijiji hicho...
  2. JamiiForums Tanzania Mmiliki wa saluni ya kike Sinza adaiwa kuuawa kwa kunyongwa na mpenzi wake

    Matukio ya wanawake kuuawa kikatili na wapenzi au waume zao yameendelea kutikisa, baada ya mwanamke mmoja mmiliki wa saluni ya Madam Beauty Point iliyopo Sinza Jijini Dar es Salaam anayefahamika kwa jina la Leonia Julius, kudaiwa kuuawa kwa kunyongwa na mpenzi wake wakiwa hotelini. Inadaiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Dar: Mchina adaiwa kumuua mwenzake na kumjeruhi mwingine kwa risasi, chanzo ugomvi wa mapenzi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamtafuta mtuhumiwa ZHENG s/o LINGYAO, 42, raia wa China Mkazi wa Dar es Salaam kwa tuhuma za kumuua FU s/o NANNAN, 26, Raia wa China, mfanyabiashara na mkazi wa Kalenga Ilala Dar es salaam. Tukio hilo limetokea tarehe 11/06/2022, Mtaa wa Kalenga...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli wowote katika hili?

  5. JamiiForums Tanzania Mbinu mbadala ya kumtambua potential 'soul mate' kwa kutumia vidole!

    Achana na nyota sijui nini mara nge mara ndoo sijui maji/moto etc!! , kule tena mbali sijui herufi za majina mara sijui jina la mama, kabila etc............ kuna njia rahisi sana ya tena inayogundulika mapema ya kumjua potential soulmate wako. Kabla sijaendelea naomba niweke wazi vile...
  6. JamiiForums Tanzania Sio kila dhaifu la mpenzi wako ni la kumuambia, mengine ishi nayo tu!

    Unapokuwa binadamu mwenye uwezo mzuri wa akili lazima ujue kuchuja vitu na lakuongea si kila jambo nilakutiririka tu!. Kuhusiana na mtu ni sehemu ya utimilifu wa hisia pamoja na akili. Baadhi ya madhaifu ya mpenzi wako unatakiwa kuwa cover, mengine mwambie ajirekebishe na mengine ishinayo...
  7. JamiiForums Tanzania Msema kweli mpenzi wa Mungu

    Niseme ukweli bajeti zote nimezisoma ni nzuri sema hii ya Wizara ya Nishati imekaa poa sana. Raha ya kuwa na viongozi vijana wanaojua kuandaa bajeti na kuzipanga vyema.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kwenda kwa mganga wa kienyeji ili upate mpenzi?

    Naomba kuuliza, hivi hiki kitendo cha kwenda kwa mtaalam wa kienyeji akusaidie kupata mpenzi ni kweli hua inafanikiwa? Aliewahi kufanya hivi anijibu
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wanaume, zingatieni sana jibu la kwanza mnalopewa mnapotongoza ili kumpata mwenye mapenzi ya dhati

    Unapomfukuzia mwanamke kuwa makini sana na jibu lake la kwanza kutolewa kinywani mwake. Ukikataliwa, ukipewa excuse, ukiambiwa "mimi sikupendi", ukiambiwa "shika adabu yako", ukiambiwa "aku mm nina mtu wangu" ama jibu lolote linalofanana na hayo LIHESHIMU. Ukikomaa utakuwa na mpenzi ama mke...
  10. JamiiForums Tanzania Ninatafuta mpenzi (girl friend) awe Iringa mjini

    Natafuta mpenzi I mean a girlfriend- awe Iringa mjini au karibu na maeneo ya Iringa, umri uwe kati ya miaka 22-27, asiwe na mtoto Wala kuwahi kuzaa, awe na mwili wa kawaida sio mnene, Wala sio mwembamba sana, rangi yoyote tu Haina shida, elimu yake kuanzia kidato Cha nne na kuendelea, awe...
  11. JamiiForums Tanzania Ambao tuko kwenye mapenzi na mpenzi mwenye mpenzi na wewe ukiwa na mpenzi mwingine etc Tujuane

    Heheheee hii Dunia tushinde game za home zote ni hatari nina demu anampenzi na Mimi nina mpenzi. Ukimuuliza umenikubalije hapati jibu ila tunabutuana vizuri japo kanaubahili wa shoo. Alhamdulillah nakashundua sio mbaya three nights a week and two excursions days. Hii game ikoje leteni visa...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini wabongo wanadhani kutafuta mpenzi mtandaoni ni umalaya?

    Mpenzi huweza kupatikana mahali popote iwe klabu, kwenye ngoma, shule, kanisani nk. Ni suala la kupatana tu. Kuna watu wanakesha makanisani na hawapati watu wa kuwa nao na kuna watu wamepatana barabarani na wamedumu. Ukuaji wa teknolojia umefanya zoezi la kutafuta wapenzi kuwa rahisi kwa kuwa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ana tatizo la kukoroma

    Kwema wadau? Mke wangu amekua ana tatzo la kukoroma haswaa anakoroma utafirikiri mwanaume hii hali ya kukoroma ina tibika kweli Msaada kwenu
  14. JamiiForums Tanzania Ningejua nisingezini kabla ya Ndoa!

    Katika watu ambao nilikua najivunia uplayer na kuchezea wanawake basi mimi ni miongoni mwao.Sina idadi kamili ya wanawake ambao nilishawahi kuwachezea,kumbukumbu zangu hata haisebiki. Mtu mwenye akili hutulia na mpenzi mmoja! Hii ni dhahiri huna vitu vingi vya kuwaza ukitulia na wa kwako mmoja!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna haja ya kumwambia mpenzi wako kuwa upo off mood bila ya kumpa sababu yoyote ya msingi?

    Hii tabia naona inataka. Kuota mizizi kwa mpenzi wangu, Mara nyingi ninapompigia kumjulia Hali, maana tunaishi mikoa tofauti amekuwa akinijulia kuwa yupo off mood,bila ya kunioa sababu ya msingi. Nashindwa kumuelewa kwamba anakuwa anamaaniaha Nini?kwamba nisimsemeshe au ni Nini? mwenye uelewa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Siwezi kumuita mpenzi wangu majina ya kimahaba

    Namuitaga tu jina lake mambo ya kumuita baby sijui mpenzi sijui honey naonaga ulimi mzito na iyo ni kwa mademu zangu ote niliokuwaga nao
  17. JamiiForums Tanzania Mwanaume una njia zote za kufupisha ahadi ya mpenzi wako, kama utaamua

    Wikiend iliyopita, nilikuwa nimejichokea kiaina; nikaona bora niende zangu 'club' moja ya karibu angalau nipate kinywaji kidogo, huku nikiburudika na mziki pamoja na kuosha macho kwa watoto wazuri. Baada ya kuingia club, mhudumu akaniongoza mpaka kwenye meza moja ambayo haikuwa na mtu...
  18. JamiiForums Tanzania Binti mwenye penzi la siri nzito

    Wasalaam; Katika harakati zangu na changamoto za mambo ya ndoa si nikalengeshwa bwana si unamuona binti flani hana MTU mcheshi, mwenye adabu, anapendwa na kila mtu na wa mama wengi wangetamani watoto ama ndugu zao wa kiume wamuoe. Nilipozitazama zile sifa nikajiridhisha ni za kweli. Kidume...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Imethibitika kumbe Mhesh Madaraka Nyerere Ni mpenzi wa Klabu ya Yanga

    Ushahidi umeambatanishwa hapo chini Niwatakie good Friday
  20. JamiiForums Tanzania Hivi huu Mshahara wa UN mpakampenzi wako na watoto wanalipwa?

    Heshima kwenu wakuu. Well, nimekuwa nikiskia tu kuwa unapofanya kazi UN mpaka mchumba/mpenzi/mke wako nae ana lipwa kila mwisho wa mwezi. Leo katika pitapita nikawa napita kwenye website ya UN kuangalia Salaries, Allowances, Benefits and Job Classification nikaona hii kitu hapa...! Hii ina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…