mpenzi

  1. JamiiForums Tanzania Nimeachana na mpenzi wangu niliyekuwa naye takribani miezi 8

    Jana nimeachana na mpenzi wangu ambaye nilikuwa naye kwa takribani miezi 8. aliniaga kwamba anaenda kwenye mkesha wa maombi. Mimi nilishasema tangu mwanzo kabisa: nikiona mwanamke anaelekea kuwa na msimamo mkali wa kidini ; kila kitu mchungaji, padre, askofu, maombi , kanisa , naondoka bila ya...
  2. JamiiForums Tanzania Mpenzi wako au mwenza wako akikuomba simu yako ghafla unatumia mudagani hadi umpatie

    Mara nyingi mm huwa naona hawa watu wakiombana simu huwa hawanyooki moja kwa moja mpaka wapatiane. Zitakuja sababu lukuki ili mradi ajaribu kuisafisha. Mara ngoja kuna mtu nimjibu sms mara ngoja kuna mtu amenicheki au subiri dk 1 doh! Ni balaa tupu. Kila mtu ana siri zake bhana. Hivo kutoa tu...
  3. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu bado anajitafuta, nimepata kazi kabla yake. Je, nikope hela nimpe mtaji tuoane kama tulivyopanga tukiwa chuo?

    Tukiwa chuo mimi na mpenzi wangu tulipanga kwamba tukimaliza akipata kazi baada ya miezi Sita anakuja kwetu kutoa mahari tunaoana. Baada ya chuo kumalizika mambo yamekuwa tofauti kwani kila akitafuta kazi hapati, na mimi nimepata kazi kabla ya mpenzi wangu ambaye bado anajitafuta na kwa sasa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwanadada Lisa ambaye alikuwa mke wa ndoa wa Msanii Mabeste ameachwa na mpenzi wake ambaye alikuwa rafiki wa Mabeste

    Mwanadada Lisa ambaye alikuwa mke wa ndoa Takatifu na Msanii Mabeste hatimaye ameachwa na mpenzi wake ambaye alikuwa rafiki mkubwa wa mumewe wa zamani Mabeste na mwanaume huyo kuoa mwanamke mwengine baada ya kudumu na Lisa kwa muda mrefu
  5. JamiiForums Tanzania Uongo mbaya na msema kweli mpenzi wa Mungu, jezi ni mbaya na hazina mvuto.

    Tuseme ukweli jamani, jezi ni mbaya na hazina hata mvuto, Uongo mbaya...Hivi hawaoni hata jezi za nigeria, Ghana, burkinafaso,, waibe ibe basi hata idea kidogo..jezi Ina rangi Moja tu.. Kwakweli nakuelewa Mr Makonda, mtu nchi yako Ina host mashindano makubwa ya Afcon halafu una jezi hazina...
  6. JamiiForums Tanzania Mrembo aacha kazi apate muda wa kumnyonyesha mpenzi wake

    MREMBO JENNIFER MULFORD kutoka ATLANTA, MAREKANI, ameibua maoni mseto mitandaoni baada ya kuripotiwa kuacha kazi yake ili apate muda mrefu wa kumnyonyesha mpenzi wake mwenye umri wa miaka 36. Mwanamke huyo, ambaye awali alikuwa akifanya kazi kama mhudumu wa baa, alidai kuwa aliamua kuacha kazi...
  7. JamiiForums Tanzania Afariki baada ya mpenzi wake kumnyonya shingoni

    Kijana mwenye umri wa miaka 17 kutoka Mexico City, Mexico, ameripotiwa kufariki baada ya kupata kile kinachojulikana kama love bite au hickey shingoni kutoka kwa mpenzi wake. Kwa mujibu wa taarifa, nguvu ya kunyonya kwenye ngozi ya shingo inadaiwa kusababisha damu kuganda ndani ya mshipa, na...
  8. JamiiForums Tanzania Megan thee stallion: Nilimuomba Romelu Lukaku, alie kuwa mpenzi wangu pesa ya chumba cha hotelini, akanijibu jigharamie mwenyewe, ehee nikaachana nae

    Super star big Brand, Megan alipo kuwa anahojiwa kwanini mahusiano yake na mchezaji mkubwa wa kandanda, romeru lukaku hayakudumu. Megan alijibu kifupi tu"nilichukua chumba cha hoteli, nilipo muomba lukaku pesa ya malipo ya hoteli, alidai jigharamie mwenyewe, hiyo ilitosha kabisa kuachana nae.
  9. JamiiForums Tanzania Utafanyaje ukigundua mamtu wako anabeti?

    Imagine unakaa na mtu wako unashika simu yake unagundua kwamba anabeti na ni gwiji kabisa ,fundi wa kusuka mikeka , unakuta betting slips kwenye simu yake, mpaka walpaper yake amemueka Bukayo Saka na watu wanamtegemea kwenye kupata odds. Utafanyanye ukigundua mpenzi wako ni wa hivyo.
  10. JamiiForums Tanzania Kwa nini mapenzi ya kwanza hayasahauliki kirahisi?

    Umeshawahi kujiuliza kwa nini mapenzi ya kwanza husalia akilini kwa miaka mingi? Na kwa nini ni vigumu kwa watu wengi kuwasahau wapenzi wao wa kwanza? Pamoja na kwamba maisha yanaendelea na mtu anaweza kupata mahusiano mengine, kuna kumbukumbu fulani za mapenzi ya kwanza ambazo huonekana kugoma...
  11. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu hunilinganisha kila mara na ex wake

    Mpenzi wangu ana tabia ya kunilinganisha na ex wake karibu kila wakati. Nikifanya jambo fulani, ananiambia ex wake alikuwa akifanya vizuri zaidi. Nikikosea, hunikumbusha jinsi ex wake alivyokuwa tofauti. Mwanzoni nilipuuzia, lakini sasa maneno hayo yameanza kuniumiza. Nimewahi kumuuliza kama...
  12. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ananipenda akiwa na shida, akipata pesa anabadilika

    Nimekuwa nikijiuliza kama kweli mpenzi wangu ananipenda au amenizoea kwa sababu ya msaada ninaompa. Wakati hana pesa, huwa mtu tofauti kabisa. Ananipigia simu, ananijulia hali, anataka tuongee na huwa ananifanya nijisikie kama mimi ndiye mtu muhimu zaidi kwake. Kuna wakati amekuwa na shida...
  13. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu hanipi muda lakini yupo online muda wote

    Kuna kitu kinaniumiza sana kwenye mahusiano yangu, lakini sijui kama mimi ndiye ninayefikiria sana au kweli kuna tatizo. Mpenzi wangu siku hizi hanipi muda kabisa. Nikimpigia simu mara nyingi anasema yupo busy. Nikimtumia ujumbe anaweza kunijibu baada ya muda mrefu sana, wakati mwingine hata...
  14. JamiiForums Tanzania Tiwa Savage: Nilimsamehe mpenzi wangu kwa usaliti ila aliniacha

    Mwanamuziki maarufu kutoka nchini Nigeria, Tiwa Savage, amefichua maelezo kuhusu mahusiano yake ya zamani katika mahojiano ya hivi karibuni, akieleza jinsi alivyomsamehe aliyekuwa mpenzi wake baada ya kumsaliti, lakini bado mwanaume huyo aliamua kuondoka. Katika maelezo yake, msanii huyo...
  15. JamiiForums Tanzania Mpenzi wako haogopi kuchepuka, anaogopa ukijua kuwa anachepuka

    Mahusiano ya siku hizi yamekuwa kama vita vya mashambulizi ya kushtukiza. Hofu kubwa kwa watu wengi haipo tena kwenye kuchepuka, bali ipo kwenye kujulikana kwamba unachepuka. Mtu anaweza kuwa na mahusiano ya pembeni kwa muda mrefu bila kuona tatizo, mradi tu usije ukagundua. Kwa lugha nyingine...
  16. JamiiForums Tanzania Mpenzi kwaheri - Jay Moe

    JAY MOE - MPENZI KWAHERI Intro: "Au sio Kwahiyo ndio Unaondoka sio , Amna Noma Bwana , Mi ndio Hivyo Nipo, Au sio kinachoenda ndio kinachorudi." Verse..1 Kwanza sikuwa na Muda wa Mapenzi kabisa/ Niliumia kichwa Kwa sababu Ya Mapenzi Ya pesa/ Bila shaka Mapenzi Mazuri hayahitaji Tajiri/...
  17. JamiiForums Tanzania Ulikuta nini kwenye simu yake na kikabadilisha kabisa jinsi unavyomuona mpenzi wako?

    Naomba nianze na mimi Mimi alinipa simu yake nimuungie bando la Airtel Nikaona text imepop up kwa juu imeandikwa "Happy Anniversary baby, Cant wait to see you tonight" Nikameza mate nikanyamaza, sikumwambia chochote. Wiki inayofuata nikamtoa out, nikamwambia nilichokiona kwenye simu yake...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Kwa wanawake: Nifanye nini ili uweze kukubali kuwa mpenzi wangu

    Hello jf members Hii ni kwa jinsia ya wanawake, je nifanyeje ili ukubali kuwa mpenzi wangu. Maana naona kama kumekuwa na sintofahamu na kupata mwanamke wa kuwa nae kwenye mahusiano imekuwa ngumu
  19. JamiiForums Tanzania Je, Ni Lazima Mpenzi Ajue Password ya Simu Yako?

    Wapo wanaosema kwamba mpenzi anapaswa kujua password ya simu ya mwenzake kwa sababu mahusiano yanajengwa juu ya uwazi na uaminifu. Kwa mtazamo wao, mtu asiye na jambo la kuficha hana sababu ya kukataa kushiriki password yake. Lakini wapo wanaopinga hoja hiyo wakiamini kuwa kuwa kwenye mahusiano...
  20. JamiiForums Tanzania Wadada leo ni Girlfriends Day. Umeletewa zawadi?

    Ndo nimetoka kumtuma boda ampelekee shangazi yenu vizawadi vidogo muda huu kuadhimisha siku hii Wadada wa humu mshapokea zawadi? 👀 Au ndo kila kitu kheri? Natamani nione mchango wa Binti wa zamani hapa 😁
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…