mpendwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pdidy

    Muamini Mungu na muone Mungu nyuma ya pito lako mpendwa

    Bwana Yesu Asifiwe : Kwa Moyo Mkunjufu Ninakukaribisha Katika Mfululizo Wetu wa 4 wa Kitabu Hiki cha MUONE MUNGU NYUMA YA PITO LAKO. Kumbuka ni katika Mfano wa 3 wa Hamani; lakini mi katika mada yetu ileile ya 1. Jinsi Ambavyo Mungu Anavyoweza Kuwa Nyuma ya Jambo Gumu Linalokukabili. Karibu...
  2. S

    "Tumeondokewa na wapendwa wetu"; hivi unawezaje kutoa amri ya kuua mtu halafu akishauawa useme nimeondokewa na mpendwa wangu?

    Kuna kauli nyingine ni wana siasa tu wanaweza kuzitoa. Lakini pia niliisikia kwa mume fulani aliua mke kisiri akawa anasema nimeondokewa na mpendwa wangu, baadae akajulikana yeye ndio aliua. Jaribu kutafakari. Unafanya premeditated murder (uuaji uliokusudiwa) kwa kutoa amri kwamba hawa watu...
  3. The Father of All

    PostGE2025 Pongezi Rais Samia Suluhu

    Leo dunia imejua mama anavyopendwa na kuheshimiwa. Kwa hesima, tumekaa ndani tena kwa adabu kuliko wafungwa. Tumesherehekea uhuru bila uhuru kama wafungwa kwa sababu ya kumtii na kumpenda tukiogopa kumuudhi. Tumekubali kugeuzwa wafungwa ili kuonyesha heshima na uzalendo wetu. Tumetulia hata...
  4. M

    Tunakuomba Rais wetu atupungie hata Mkono siku ya Uhuru leo tusikie hata sauti yako

    Jamani nikiwa kama Mtanzania kada mwaminifu wa CCM naomba Mama angalau atupungie mkono, maana kwa mara ya mwisho tumemuone siku akiongea na wazee wa Daresalamu, tumekumisi
  5. Hance Mtanashati

    PostGE2025 Katika zile siku 100 za mwanzoni za rais Samia zimebaki ngapi huko?

    Zile siku 100 za madarakani za rais wetu mpendwa ,msikivu na mchapa kazi , mwenye utu na mnyenyekevu , zimebaki siku ngapi katika zile 100 za kuingia madarakani na kuyashughulikia yale aliyoyasema atayafanya ndani ya huo muda. Ngoja tum tag hapa samia suluhu.
  6. R

    Rais Samia jifunze kitu kutokana na kifo cha Raila Odinga

    Angalia upendo wa Raia wote (naweza kusema hivyo, wote) wanaouonesha kwa Raila! Nadhani una kitu cha kujifunza na pia kwa watanzania wote. TENDA HAKI, HAKI, HAKI utapendwa na kuombewa na wenye heri ya Mungu ndani yao na kila mmoja! Rais wangu historia yako umeiandikaje mpaka sasa?
  7. technically

    GE2025 Nitaandamana nikifa Mali zangu zote apewe mwanangu mpendwa wa kiume

    Mimi Ni kijana wa miaka 30 na Ni baba wa mtoto mmoja wa kiume mwenye miaka 4 Tarehe 29 nitatoka kuandamana na kisu changu Cha kimasai na elementi kichwani Nawaambia ndugu na marafiki wa karibu Kama sitarudi Mali zangu zote apewe mwanangu mpendwa wa kiume ili kizazi chake kije kuishi vizuri...
  8. Valencia_UPV

    Familia ya Ndugulile inastahili MAFAO ya kibunge ya Mpendwa wao!

    Poleni tena wafiwa. Kwa sababu Mheshimiwa Dr Ndugulile alifariki akiwa bado kazini (Mbunge) na kule WHO alikua bado hajaanza kazi, ingefaa pesa yake yote ya mafao wapewe familia yake.
  9. Crocodiletooth

    Mh. Rais wetu mpendwa, akae na waandamizi wa ulinzi na usalama waje na tamko!

    Asalam aleykum!, Kwa uoni wangu hafifu, ningeliomba waandamizi na kamati zote za kiusalama, kuyajadili madhaifu yote yanayolalamikiwa na hatimaye kuja na suluhisho moja, namna jinsi watakavyojipanga kuhakikisha madhaifu yote, yanashughulikiwa kwa ukaribu pamoja na ulinzi kuimarishwa zaidi, huku...
  10. Mjanja M1

    Naomba unikumbuke mpendwa

    Kama wewe ni Muislamu naomba unikumbuke kwenye SikuKuu ya Eid. Asante
  11. F

    Mhe. Rais mpendwa sijaona post yako ya kutu wish heri ya x mas

    Mh rais naona amekaa kimya sana. Ameshimdwa hata kutu wish heri ya x mas kweli. Japo hatuna kitu lakini akitu wish tunagarijika
  12. Pdidy

    God has not forgotten you

    “And Samuel said unto Jesse, Are here all thy children? And he said, There remaineth yet the youngest, and, behold, he keepeth the sheep. And Samuel said unto Jesse, Send and fetch him: for we will not sit down till he come hither”. 1 Samuel 16:11 (KJV) The question I want to ask today is what...
  13. Pdidy

    Mumeo/mkeo akisema usimsumbue wakati wa tendo, jiongeze mpendwa

    Knakutana na haya mambo yanajirudia kwenye ndoa hasa wakati wa tendo la ndoa Mwenzio anakujibu Uinigusee Nimechoka Sijisikii Niamshe baada ya masaa mawili Nanmengineyo kama una la kuongeza tujuzane Kama unakutana haya ndugu jiongeze mapema kabisa kwa usalama wako Hapo ndoa Ishanzaa kutetema...
  14. Magical power

    Ndugu na Marafiki wa Mwanadada Mary Lema wamepaza sauti kuwa mpendwa wao huyo hajapatikana

    Ndugu na Marafiki wa Mwanadada Mary Lema wamepaza sauti kuwa mpendwa wao huyo hajapatikana bado kwenye kifusi cha ghorofa iliyoporomoka Kariakoo na wana imani kuwa bado yupo hai na kuomba wanaoendelea na zoezi la uokoji wasaidie kumtafta.
  15. L

    Rais Samia awatakia heri wanafunzi wa Kidato cha Nne wanaoanza mitihani yao leo Novemba 11, 2024

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, amewatakia heri wanafunzi wote kidato cha nne Nchini kwote wanaoanza mitihani yao hii leo. Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa...
  16. GENTAMYCINE

    Waandishi wa Habari wa Tanzania mnajisikiaje hakuna hata Mmoja wenu aliyechukua Tuzo huko Mkutanoni SADC leo alikoenda 'Mama' yenu Mpendwa?

    Yaani Tuzo zote za Categories za Radio, Television na Print zimeenda kwa Waandishi wa Habari wanaojua nini wanakifanya na wasio Wapumbavu, Wanafiki na Waongo wa nchi za Angola, Lesotho, Namibia, South Africa, Malawi na Zimbabwe, ila cha Kusikitisha wala hakuna kutoka Tanzania. Hii ni Aibu kwa...
  17. covid 19

    Rais wetu mpendwa wateule wako wanakudharau sana sisi wananchi tunaona aibu..

    Kwa yanayoendelea ni dharau na kejeli kwa mkuu wa nchi hawa wateule wanamdharau sana wanakula hadi wanavimbiwa sasa wanalopokaa vile wanavyojisikia usalama msaidieni mhe. Rais jamani haiwezekani watu wanatolewa jalalani ili wamdharau rais wetu na mama yetu...
  18. Ugwanzee

    Natafuta mpendwa. Iwe katka mahusiano, urafiki, ujamaa, udugu n.k

    alie tayar kua kati ya hvo juu hapo naomba ancheki dm ila mm ni mwanaume so natafuta mwanamke kutokana hiko kchwa cha.habar hapo juuu ni yoyote yule ila mwanamke kwa umri wowote ule alie tayar katka hayo yalyo juuu
  19. Z

    Nimwombe Rais Samia awaondoe haraka wanajeshi wetu kule DRC Congo. Mnapigana na nchi ya EAC

    Sijajua wanajeshi wetu wanafia nini kule DR congo wakati sasa imejulikana bila shaka kwamba wanapigana na wanajeshi wa Rwanda ambayo ni nchi mwanachama wa EAC. SOLUHISHO ya vita ile ni kuiwekea vikwazo RWANDA na kuifukuza EAC haraka iwezekanavyo. Mama yetu mpendwa nakuomba uwaondoe haraka...
  20. SYLLOGIST!

    Wananchi wa Chato wajiandaa kumuenzi Rais mpendwa, Hayat Rais John Pombe Magufuli 17/3/2024

    Tizama Video hapa chini👇 https://m.youtube.com/watch?v=qubJ4--yeg0&pp=ygVGdmlkZTogVGF6YW1hIG10b3RvIHdhIGhheWF0aSBtYWd1ZnVsaSBhZnVuZ3VrYSBoYXlhLCBhbXRhamEgcmFpcyBzYW1pYQ%3D%3D
Back
Top Bottom