mpango

  1. JamiiForums Tanzania Tanzania kunufaika na mpango wa maendeleo wa Mattei kwa ushirikiano na UNDP

    Tanzania kunufaika na mpango wa maendeleo wa Mattei kwa ushirikiano na UNDP Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo ameshiriki katika mjadala wa ngazi ya juu wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) jijini Roma, Italia ukilenga...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Trump aionya Iran itarajie mambo mabaya kuipata isipokubali mazungumzo kusitisha mpango wake kutengeneza silaha za nyuklia

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Trump warns of ‘bad, bad things’ for Iran if nuclear deal not reached 14 hours ago Share US President Donald Trump waves at reporters at the White House, March 28, 2025. US president Donald Trump warned Iran on Friday that “bad...
  3. JamiiForums Tanzania Japani Imezindua Mpango Kuwahamisha Raia 100,000 Kutoka Visiwa Karibu Na Taiwan iwapo Kutatokea Mzozo

    Japani kwa mara ya kwanza imetoa mipango ya kuwahamisha zaidi ya raia 100,000 kutoka baadhi ya visiwa vyake vya mbali karibu na Taiwan iwapo kutatokea mzozo katika eneo hilo, huku kukiwa na mvutano unaoongezeka kati ya Beijing na Taipei. Chini ya dharura hiyo, meli na ndege zitahamasishwa...
  4. JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari Redio na TV havina mpango na kumbukizi ya kifo cha John Magufuli

    VItuo vya Tv na Redio ukitazama au kusikiliza huwezi kusikia kiashiria chochote kuhusu siku ya leo ikiwa ni kumbukumbu ya miaka minne ya kifo cha John Pombe Magufuli ila mitandao ya kijamii kila sehemu lazima ukutane na taarifa hii. Serikali nayo kama haijui kinachoendelea labda kiongozi mmoja...
  5. JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kwenda nje ya nchi, fani gani Zina market Sana??

    Nchi kama Canada, Australia bubai, Scotland sweezeland Poland nk Ni fani gani ambazo naweza kuzipata veta alafu niluke nje ya nchi kutafuta kipato. Nina shahada ya maendeleo ya jamii. Karibuni kwa mawazo yetu mazuri.
  6. JamiiForums Tanzania Mpango mzuri na mawazo kwaajili ya safari za utalii wa ndani kwa wana JF

    Wana jamvi, Planning a successful tour requires ushirikiano na makubaliano ili kuhakikisha kila mtu anafurahia safari. You have the freedom to organize any travel adventure, select the best destination, and set a budget inayokidhi mahitaji ya kila mmoja. It's very important to support domestic...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Marekani yatangaza kuanza majadiliano na Congo kuhusu mpango wa uchimbaji madini ili kubadilishana na ulinzi.

    Wakuu, Marekani hivi karibuni imetangaza kwamba iko tayari kw mazungumzo kufuatia ofa ya Rais wa Congo Felix Tshekedi la kuipa Marekani madini mbalimbli ili Marekani iweze kuisadia Congo kupambana na kundi la M23 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, nchi yenye utajiri wa madini kama cobalt...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa: CHADEMA imepoteza imani na wananchi, No Reforms, No Election ni mkakati butu

    Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Mchungaji Peter Msigwa ambaye kwa sasa ni Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM ameibua mjadala mkali kuhusu hali ya CHADEMA, akidai kuwa chama hicho kimepoteza imani kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Poland yatafakari mpango wa kumiliki silaha za nuclear za kujihami.

    Waziri mkuu wa Poland Donald Tusk anasema ni wakati sasa wa Poland kufikiria kuwa na silaha za juu zaidi ya za kawaida ikiwemo silaha za nuclear. Hatua hii inakuja baada ya Marekani kujiondoa kama mdhamini mkuu wa usalama wa Ulaya pamoja na kuwa na sera zisizotabirika tena katika mahusiano...
  10. JamiiForums Tanzania Mawaziri wa mambo ya nje wa Ufaransa, Ujerumani, Italia na Uingereza wanasema wanaunga mkono mpango unaoungwa mkono na Waarabu wa kuijenga upya Gaza.

    Wanaukumbi. Mawaziri wa mambo ya nje wa Ufaransa, Ujerumani, Italia na Uingereza wanasema wanaunga mkono mpango unaoungwa mkono na Waarabu wa ujenzi wa Gaza ambao ungegharimu $53bn na kuepuka kuwafukuza Wapalestina kutoka katika eneo hilo. =============== BREAKING: The foreign ministers of...
  11. JamiiForums Tanzania Mpango wa uhamishaji wakazi wa gaza wazinduliwa!

    Mpango wa Uhamiaji wa Wakaazi wa Gaza Wazinduliwa Israel imekamilisha maandalizi muhimu ya kuwezesha uhamiaji wa wakaazi wa Gaza, mradi tu nchi zilizo tayari kuwapokea zinaweza kupatikana. Maafisa wa usalama waliiambia Israel Hayom kwamba utaratibu umeanzishwa kuruhusu hadi watu wa Gaza 2,500...
  12. JamiiForums Tanzania Nchi za kiarabu zaupiga kofi mpango wa Trump na Netanyahu kuhusu Gaza. Wasema wana mpango bora zaidi

    Viongozi wa nchi za kiarabu waliokutana huko Cairo wamesema Gaza itajengwa kwa plani nzuri waliyokwisha kuibuni wakati wapalestina hao wakiwa humo humo ndani. Raisi Elsisi ambaye mara nyingi ameonekana kama kibaraka mkubwa wa Marekani ameongoza kwa kutoa tamko kali akisema zaidi ya kuijenga...
  13. JamiiForums Tanzania Kwaresma Sio mpango wa Mungu, ni mihemko tu ya kibinadamu

    Kwaresma haiko kwenye biblia, Yesu hakuwahi kufunga kwaresma. Yesu alifunga siku arobaini ili akajaribiwe na aanze huduma ya kufundisha na kuponya Kwa miaka mitatu. Kwaresma ETI wanafunga ili waende kwenye mateso ya Yesu, hii Sio sawa, tusipotoshe neno la Mungu lilivyosema.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Unabii wa makamu wa Rais mstaafu Mh Mpango utatimia 2026

    Makamo wa Rais kwa akili timamu ameamua ku step down nakuwaacha vijana waongoze... ila nyuma ya pazia wapambe hawakufurahi ila hawakufurahi kwa sababu Mh Mpango ameona mbali kuliko wenzake wameona na kiukweli hakuna atakaye kwambia uwone nijukumu lako uwone. Alama zinaonyesha uwenda utabiri na...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Ukraine yakubaliana na Marekani kuhusu mpango wa Madini, asema afisa wa Ukraine

    Tukiona DRC kajisalimisha kwa USA ili asaidiwe kuwaondoa M23 tusishangae! Je, Putin atakuwa ameingiwa ubaridi sasa? Habari kamili; Ukraine imekubali masharti ya mkataba mkuu wa madini na Marekani, afisa mkuu wa Kyiv ameiambia BBC. "Kwakweli tumekubaliana na marekebisho kadhaa mazuri na tunaona...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Erik ten Hag hana mpango wa kurejea kwenye soka hivi karibuni

    Kocha Erik ten Hag ametoa kauli ambayo inaonesha kuna uwezekano wa kutorejea kwenye mchezo wa Soka badala yake akaelekeza nguvu kwenye kazi zake binafsi. Akizungumza kwa mara ya kwanza tangu alipositishiwa ajira yake Manchester United, miezi minne iliyopita amesema kwa sasa anajihusisha na...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Afya za viongozi: Lissu, Samia na Mpango punguzeni uzito wa mwili

    Mimi binafsi najua kwamba afya zetu ni muhimu sana ! Tunavyokuwa watu wazima ni lazima tubadilike bila hivyo magojwa yanaongezeka sana. Mimi binafsi napata shida sana kupungua na kwasababu hiyo nakula mara mbili kwa siku mlo wangu wa kwanza ni kuanzia saa nne na nusu asubuhi na wa mwisho sio...
  18. JamiiForums Tanzania Madiwani Jiji la DSM wapitisha Rasimu ya Mpango na Bajeti ya TShs. Bilioni 290.5 kwa Mwaka 2025/26

    BARAZA la Madiwani Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, limefanya Mkutano Maalum wa Mapitio ya Mpango na Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2024/25 kwa kipindi cha nusu mwaka (Julai-Disemba, 2024) na kisha kufanya Makadirio ya Mpango na Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2025/26 wenye Jumla ya TShs. Bilioni 290.5...
  19. JamiiForums Tanzania Vyama vingi vya upinzani kwenye mfumo wa demokrasia ni sehemu ya mpango wa demokrasia kandamizi

    Vyama vingi vya upinzani barani Afrika, ikiwemo Tanzania, vimeundwa ndani ya mfumo ule ule wa kidemokrasia ambao tayari ni mtego kwa Waafrika. Hii inamaanisha kuwa hata kama chama cha upinzani kikishinda, hakina uhuru wa kweli wa kufanya mabadiliko kwa sababu: 1️⃣ Mfumo wa Demokrasia Umewekwa...
  20. JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yatupilia mbali ombi la kibali cha kupeleka maombi ya kufanyia mapitio uhalali wa Makamu wa Rais, Dr. Mpango kuendelea kubaki madarakani

    Mahakama Kuu imetupilia mbali ombi la Wakili Tenzi Anthony Nyundulwa (Mleta Maombi) la kuomba kibali cha kupeleka maombi Mahakama Kuu kufanyia mapitio uhalali wa Makamu wa Rais, Dr. Philip Mpango kuendelea kubakia madarakani kufuatia taarifa za kuwasilisha barua ya kujiuzulu katika nafasi hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…