mpango

  1. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Kama una mpango wa kuja South, zingatia mambo haya sita kabla ya kuanza safari yako

    Habari zenu wanaJF wenzangu, ama baada ya salam ningependa kuendelea na mada yangu hapo chini. Nianze kwa kusema kuwa dunia ina mengi, na kamwe hauwezi kuyajua kama haujaambiwa au kuyaona. Ndio maana waswahili wanamsemo wao unaosema "tembea uyaone". Hii haimaanishi kwamba utembee uyaone...
  2. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Mliooa Single mother na wale wenye mpango huo, hebu msikilizeni huyu mwamba

  3. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania wamasai wakizaliana ngorongoro kuna mpango gani dhidi ya ongezeko lao?

    tutahamisha wanyama au tunaendelea kuwapa wamasai hifadhi ili tuendeleze utamaduni wao?hifadhi zetu zitakuwa salama kiasi gani?kuna namna nyengine ya kulinda maliasili zetu dhidi ya ongezeko la wamasai kwa kipindi kijacho? je,ni ipi njia salama ya kuitunza ngorongoro?
  4. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, achana na mpango wa Ngorongoro

    Suala la kuhamisha watu wote Ngorongoro halijapokewa vizuri na si tu jamii ya wamasai, bali watanzania kwa ujumla. Kwanza, hapakuwepo utashi wa kisiasa kulifanya eneo lote la Ngorongoro kuwa Human Free. Pili, wakazi wa maeneo hayo wapo, na sijui kama wameshirikishwa. Tatu, Govt Decrees bila...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango aelekeza Wizara ya Madini kusimamia uvunaji wa madini ya kimkakati Nchini

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango ameitaka Wizara ya Madini kuhakisha inasimamia vyema uvunaji wa madini ya kimkakati ili nchi iweze kunufaika nayo. Mh. Dkt. Mpango ameyasema hayo leo Agosti 22, 2024 Katika eneo La Mpwayungu,Wilaya ya Chamwino-Dodoma wakati...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Mpango Aielekeza Wizara ya Madini Kusimamia Madini Mkakati kwa Manufaa ya Watanzania

    DKT. MPANGO AILEKEZA WIZARA YA MADINI KUSIMAMIA MADINI MKAKATI KWA MANUFAA YA WATANZANIA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango ameitaka Wizara ya Madini kuhakisha inasimamia vyema uvunaji wa madini ya kimkakati ili nchi iweze kunufaika nayo. Mh. Dkt. Mpango...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Dkt Mpango aipongeza Wizara ya maji kwa usimamizi na utekelezaji wa miradi ya maji Nchini

    DKT MPANGO AIPONGEZA WIZARA YA MAJI USIMAMIZI NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAJI NCHINI BAHI-DODOMA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Philip Isdori Mpango Leo Agosti 19, 2024 ameweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Maji Ibihwa, Wilayani Bahi, Jijini Dodoma. Mhe...
  8. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto asaini Mpango wa Kupunguza Fedha kwenye Bajeti za baadhi ya Taasisi

    Rais William Ruto ameidhinisha Muswada wa Matumizi ya Ziada na Mpango wa Kupunguza Matumizi ya takriaban Tsh. Trilioni 3.02 (Ksh. Bilioni 145) katika Bajeti iliyotengwa kwaajili ya Serikali. Bajeti za Wizara zitapunguzwa kwa Tsh. Trilioni 2.90, Bunge Tsh. Bil. 77.27, Mahakama Tsh. Bil. 43.86...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Biashara Bongo ni magumu kumaintain, Yapo Overrated kwa kuangalia wachache waliopiga mshindo, nasisitiza ajira serikalini ndio mpango

    Na kama unadhani ajira zenye mishahara midogo serikalini wana maisha magumu (mfano uliozoeleka walimu), basi hujui chochote kuhusu biashara, kuna watu wiki nzima hawauzi chochote, Maduka yanafungwa kila kukicha mtu hawezi lipa hata elf 50 ya frem, kufilisiwa nyumba za urithi kwa kushindwa kulipa...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mpango wa Minara ya UCSAF kunufaisha Watu Milioni 8.5, Wilaya ya Kibondo Wanufaika

    MPANGO WA MINARA UCSAF KUNUFAISHA WATU MILIONI 8.5, WILAYA YA KIBONDO WANUFAIKA Waziri wa habari, mawasiliano na teknolojia ya habari Nape Nnauye amesema kuwa wananchi milioni 8.5 watanufaika na kuunganishwa kwenye mawasiliano ya simu za mkononi na vifaa vingine vya mawasiliano kupitia mpango...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango akagua ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege Kigoma

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amekagua na kupokea taarifa ya maendeleo ya ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kigoma unaoendelea kutekelezwa Mkoani Kigoma. Dkt. Mpango amekagua uwanja huo, leo Julai 09, 2024 katika Manispaa ya Kigoma...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Mpango aagiza ifikapo Septemba Kigoma iwe imeingia kwenye Gridi ya Taifa

    Makamu wa Rais, Dkt Philip Isdor Mpango ameipongeza Wizara ya Nishati kwa usimamizi madhubuti wa miradi mbalimbali ya Sekta ya Nishati hususan miradi ya umeme ambayo inapelekea nchi kuzidi kujiimarisha kiuchumi. Dkt. Mpango ametoa pongezi hizo leo Julai 8, 2024 wakati alipokagua utekelezaji...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango aagiza kukamilika ujenzi wa Barabara ya Malagarasi - Uvinza ifikapo Machi 2025

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amemuagiza Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa kuhakikisha anasimamia ujenzi wa barabara ya Malagarasi - Ilunde - Uvinza (km 51.1) kwa kiwango cha lami ukamilike ifikapo mwezi Machi, 2025. Dkt. Mpango ametoa agizo hilo leo...
  14. Pfizer

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila amezindua mpango wa upanuzi na uboreshaji wa Hospitali ya Amana wa Bilioni 3. Huduma ua Kangaroo kuwa bora zaidi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amezindua mpango wa upanuzi na uboreshaji wa Hospitali ya Rufaa ya Wilaya ya Ilala ya Amana (yenye hadhi ya Mkoa) utakaogharimu zaidi ya shilingi bilioni tatu. Ni katika muktadha huo Chalamila amewataka wadau wa maendeleo na wananchi kushirikiana...
  15. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania CANAL SPORTS NDIO MPANGO MZIMA AISEH!!

    Chanel zote za michezo hadi Uefa kwa 43000/= kwa lugha ya kifaransa ukitaka channel za kiingereza unaongeza ten inakua 53000/= unapata super sport epl 473 na na super sport Liga 473 kwa kiingereza!! Wakati Dstv ukilipa compact ya 64000/= unacheki epl tu! Uefa hakuna!!na watakupa game zisizo na...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa hali ilivyo Kenya bado wana mpango wa kuwapeleka Polisi wa Haiti?

    Eti wadau, kama ndani tu moto wa vurugu umewaka na wanapata shida kuuzima, watauweza ule moto wa wale wahuni wa Haiti kweli?!
  17. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mpango wa miaka 25 wa kuondoa tatizo la ukosefu wa ajira Tanzania

    Bwana yesu asifiwe...... Nianze Kwa kushukuru MUNGU muumba mbingu na nchi na vyote viijazavyo Kwa, kutujalia amani, upendo na mshikamano. SULUHISHO LA UKOSEFU WA AJIRA -Ukosefu wa ajira ni janga linaloitafuna nchi yetu ya Tanzania, hivyo ili Kuondoa au kupunguza tatizo hili yafuatayo lazima...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Bishop Josephat Gwajima: Mamlaka ya Rais yadhibitiwe Ili asitoke nje ya mpango na Dira ya nchi ya muda mrefu

    Salaam, Shalom!! Askofu Gwajima ameendelea kusisitiza juu ya umuhimu wa KATIBA mpya kuwa mamlaka ya Rais ni muhimu yadhibitiwe, Rais aingiapo madarakani aikute dira na mipango na vipaumbele vya Taifa vya muda mrefu Ili ajikite hapo. Amesisitiza kuwa, maono ya Taifa ya muda mrefu yakiwekwa...
  19. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango akagua mradi wa maji wa Same - Mwanga - Korogwe

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewapongeza viongozi wa Wizara ya Maji kwa kusimamia na kufanikisha vema utekelezaji wa Mradi wa Maji wa Same -Mwanga – Korogwe. Makamu wa Rais ametoa pongezi hizo alipokagua Mradi huo na kushuhudia wananchi wakianza...
  20. Cunning

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mpango wa Utekelezaji wa Taifa (MUT) uwe mbadala wa matumizi ya Ilani ya Chama cha siasa kama Muongozo wa utekelezaji wa Shughuli za Maendeleo

    Kwa miongo kadhaa tangu tumepata uhuru maendeleo ya Taifa letu yamekuwa yakitegemea ilani ya chama kinachotawa na maono ya kiongozi aliyepo madarakani. Hata hivyo muda mwingine utekelezaji wa baadhi ya miradi ulikuwa ukitegemea huruma ya viongozi waliopo madarakani, hali iliyopelekea baadhi ya...
Back
Top Bottom