mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. Wakristo tuungane kupaza sauti tuwe na sheria ya kukataza ndoa kuvunjika nje ya kifo ama usaliti, kuoa mara ya pili adhabu iwe kifungo cha maisha

    NI MPAKA KIFO AMA USALITI PEKEE, NJE YA HAPO NI TAMAA NA MOYO DHAIFU Ni wakati sasa wakristo tuwe kama nchi ya ufilipino tuzikataze mahakama na makanisa ya mchongo kuvunja ndoa nje ya sababu hizo mbili, kwa wale wataokamatwa wameoa au kuolewa mara ya pili kwa njia za panya wafungwe jela maisha...
  2. Kilimanjaro: Naomba tumsaidie Mwanafunzi Sifika Daniely Ruben apate haki yake na arudi shule

    Mh Waziri wa Elimu Prof Adolf Mkenda okoa mstakabali wa maisha ya binti huyu. "Kaka Yericko pole na Majukumu, Naomba kaka nisaidie, mtoto huyu kwenye picha anaitwa SIFIKA DANIELY RUBEN, naomba apate Haki zake, Ipo hivi kaka, Nilikuwa natafuta binti wa kazi za ndani, Nikapata binti kutoka...
  3. Wapi kuna Gym maeneo ya Mbezi Mwisho, Malamba mpaka Kinyerezi

    Wandugu kwema, Naomba kujua kwa maeneo tajwa hapo juu..ni wapi naweza kupata Gym. Nimeulizia sana na kutafuta kwenye mitandao ya kijamii sijaona. Mwenye kujua anisaidie location na ikiwezekana namba za simu.
  4. Yupi G.O.A.T wa upinzani mpaka sasa, na kwanini?

    Wakuu napenda kujulishwa ni mgombea yupi kutoka vyama vya upinzani aliyewahi kuichachafya CCM vibaya sana katika chaguzi kuu zilizopita tangu mfumo wa vyama vingi ulipoasisiwa 1st July,1992 kati ya wafuatao: 1: Augustine Mrema 2. Dkt. Wilbroad Slaa 3. Zitto Kabwe 4. Edward Lowassa 5. Seif...
  5. Naomba kujuzwa usafiri wa moja kwa moja wa bus kutoka Dar mpaka Musoma

    Wakuu sana naomba kuuliza kampuni ipi ya bus ni nzuri kutoka Daslam to Musoma one-way? Nawasilisha
  6. K

    Matengenezo ya Daraja la Kigongo Feri mpaka Busisi kulikoni?

    Jana tarehe 19/9/2023 nilipitia kivuko cha Kigongo Ferry mpaka Busisi, na kwa kawaida unapopitia pale utaona kazi zinavyofanyika kwa ajili ya matengenezo la daraja linalounga Kigongo Feri na Busisi. Kwa masikitiko yangu sikuona chochote kinachofanyika pale kama vile watu wamehama au wako...
  7. Serikali inaweza kuanisha hasara kwa magari ya Bagamoyo kuingia Tegeta? Huu mgomo mpaka lini?

    Serikali na ama mamlaka husika, inapokosa mwelekeo thabiti na kutoa maelekezo kwa muda sahihi na mwafaka! Inasababisha tafrani na hasira kwa wananchi Kutokea Juzi 17 September mpaka hii leo, hakuna mwafaka juu ya mgomo wa daladala za Bagamoyo to Dar! Maana yake nini? Je, Serikali imebaini...
  8. Kama huyu mzee anapata mashaka na CCM, mimi na wewe ni nani mpaka tuwaelewe?

    Habari JF, katika pita pita zangu nimekutana na hii clip, mzee anaongea kwa uchungu katika mkusanyiko wa kijiji. Kaenda mbali mpaka kuuliza kwamba Tanzania hii wanaojua kusoma na kuandika ni CCM peke yao tu. Kama anavyoongea ni kweli, sisi ni nani tusiwe na mashaka na hiki Chama?
  9. W

    Kuna kitu mtalaka wangu kanifanyia, haiwezekani mpaka wanaojiuza wananikataa!

    Miezi kadhaa sasa tangu niachane na aliyekuwa mke wangu, nahaha kutafuta mbadala bila mafanikio. Kila ninayemsiamamisha haishii kunikataa tu bali kunicheka kabisa; tena wengine kwa kunionyesha vidole kabisa nikipita wakiwa na mashostito wao. Juzi upwiru ulizidi kiwango, nikaona nachotaka...
  10. Nimejitafuta kwenye kubeti mpaka nimechoka

    Tangu niingie kwenye kubet adi sasa sijapata faida yoyote Zaid ya hasara kila nikisomaga post xozote za kuhusu kuifaidi betting karbu wote wanasemaga usiweke timu nyigi odds 2 tu zinatosha Ayo yote nimefanya lakn n vipigo tu option zote kwenyr football nimezijarbu lakn hakuna tofaut nikahama...
  11. Mpaka hapo imejulikana na imeonekana na imejidhihirisha ni timu gani ina ukuta wa Yeriko

    Nafikiri mechi za leo zimeonyesha na kuondoa shaka juu ya timu gani inao ukuta wa yeriko, beki bora zitakupa matokeo bora na beki dhaifu zitakupa matokeo dhaifu ya kushikilia roho na kubaki na option moja tu ya kwenda kwa waganga wa kienyeji Tanga ili kupata matokeo. Yanga imedhihirisha ubora...
  12. Tatu Bila ya TMK Wanaume Halisi Vs Dar mpaka Moro ya TMK Wanaume Family ipi ngoma kali

    Battle hili hapa la walio kuwa kundi moja na baadae kuvunjika na kuunda Tmk wanaume family na Tmk wanaume halisi. Makundi yote haya mawili yali bahatika kutoa mikwaju mikali way back naweka battle kati ya mikwaju yao maarufu miwili. Tatu bila ya Tmk wanaume halisi VS Dar mpaka...
  13. M

    Mwaka 2004 nilikatwa mapanga na vibaka mkoani Geita nikisotea kazi Mgodini mpaka leo sijatoboa nauza Kangala tu

    Baada ya kumaliza kidato sikupata chuo. Migodi mikubwa ndio ilikuwa imeanza kufunguliwa nchini. Mimi nikaona isiwe tabu nikaenda Kakola mkoani Kahama kusotea kazi. Kazi zilikuwa ngumu sana kupatikana. Kama huna konection unasotea huku ukiishi kwa kuvunja magoti wanaotinga. Nilivyooona Mambo...
  14. DC Waryuba amezindua zoezi la uwekaji wa vigingi vya mpaka wa Pori la Akiba Kilombero

    MHE. WARYUBA AZINDUA ZOEZI LA UWEKAJI VIGINGI VYA MPAKA WA PORI LA AKIBA KILOMBERO Mkuu wa Wilaya ya Malinyi, Mhe.Sebastian Waryuba amezindua zoezi la uwekaji wa vigingi vya mpaka wa Pori la Akiba Kilombero katika hafla iliyofanyika Septemba 11, 2023, Kilosa Mpepo, Mkoani Morogoro. Akizungumza...
  15. S

    Mkutano wa G20 Waunga Mkono Kujengwa Reli ya Kutoka DRC na Zambia Mpaka Angola

    Reli Hiyo ni maalumu kubeba mizigo hasa madini kuitoa mkoa wa Katanga DR Congo na mkoa wa Copper Belt Zambia na kuipeleka bandari ya Lobito Angola. ===== African Union now a permanent G20 member The G20 welcomed the African Union as a member at their annual summit Saturday. There was...
  16. Watanzania tutaendelea kusubiri mpaka lini Bunge likitunga Sheria batili na kuuchomekea ubatili huo ndani ya Katiba yetu? Tufanye nini?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo zinachapishwa kwenye gazeti la Nipashe kila siku za Jumapili. Leo naendelea na sehemu nyingine ya Ijue Katiba ya JMT kwa jicho la mtunga katiba. Sehemu ya kwanza nilifundisha katiba ni...
  17. KWELI Pamoja na Ulinzi mkali jumba la kifalme Uingereza, kuna mwamba alipenya mpaka chumbani kwa Malkia Elizabeth

    Wote mnaweza kufikiria ni namna gani mtu asiye mkazi au mfanyakazi au mwenye appointment kwenye makazi rasmi ya Malkia wa Uingereza angeweza kupenya bila kuonekana, akafanikiwa kuingia ndani ya jumba hilo, akapiga misele kidogo, akaingia ofisi ya Malkia Elizabeth kufyonza mvinyo maalum wa...
  18. Mafuta ya Gari kupanda tena Jumatano kwa Tsh 300 mpaka 400. Wakubwa waneemeke

    Hili amenidokeza rafiki yangu mmoja mwenye Vituo vya mafuta. Walishakaa na Waziri wakawekana sawa na sasa ni utekelezaji. Kwa kweli jamaa anasema mama anaupiga mwingi mpaka unamwagika. Watanzania endeleeni kunywa mtori. Nyama zipo chini. Nyingi tu. Ni nyie kufumbua macho. Msilale lale. Shauri...
  19. Kwa bajeti ya 250k mpaka 270k simu gani nzuri nichukue?

    Natanguliza shukrani kwenu. 🙏
  20. Israel ina kiherehere sana mpaka inatia aibu

    Mnamo taehe 29 Agosti ndege ya abiria ya Sychelles ikiwa na abiria 128 ilipata matatizo ya kiufundi ikiwa angani eneo la Saudi Arabi. Ndani ya ndege hiyo kulikuwa na abiria watalii wa kiyahudi wakiwemo maofisa wa serikali waliokuwa likizo. Ndege ilipofika uwanjani abiria wote wakapatiwa huduma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…