mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Kivule mpaka Msongola. Bajeti ni milioni 5 na kisipungue sqm 300

    Habari wadau. Natafuta kiwanja maeneo ya Kitunda Kivule mpaka maeneo ya Msongola. Bajeti yangu ni milioni 5. Ukubwa wa Kiwanja kisipungue sqm 300. Kama kikiwa kikubwa zaidi nitashukuru. Kama unauza kiwanja maeneo hayo karibu unipe sifa zake. Pesa ipo mfuko wa shati
  2. JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Msumbiji, magaidi na Jeshi - Part 3

    - Shambulizi la kigaidi mji wa Macomia mwezi jana. - Oparesheni ya SADC na jeshi la Rwanda. - Interest ya Kagame katika vita za wengine. Wa kwanza kufika hapa Msumbiji ni jeshi la Rwanda. Kwa makubaliano ya siri yalowekwa na raisi wa Msumbiji, Felipe Nyusi, na raisi wa Rwanda, Paul Kagame...
  3. JamiiForums Tanzania Siri ya mkopo wa Korea kwa Tanzania mpaka 2070

    Mkopo Tanzania uliopata huu wa masharti nafuu una riba ya asilimia 0.01, unalipwa kwa miaka 40, na una fungate (grace period) ya miaka 25. Yaani unaanza kulipa baada ya mwaka wa 26. Tanzania haijagawa chochote kubadilishana na mkopo nafuu kutoka Korea kama wasio-wazalendo wanavyopotosha...
  4. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Sikuingia CHADEMA kutafuta Vyeo bali Kuwatumikia Wananchi, nitaendelea kukitumikia chama Katika Jimbo lolote mtakalonihitaji!

    Mchungaji Msigwa amesema kuwepo kwake CHADEMA siyo kwa ajili ya kutafuta Vyeo kwani Vyeo huwa vinakuja na kuondoka lakini Wananchi wa kuwatumikia wapo muda wote. Hivyo ataendelea kukitumikia chama kwa Uaminifu na yuko tayari kwenda popote atakapoitwa kutekeleza majukumu ya kichama japo hana...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Korea kaskazini: Rais kim jong Un asema Africa itaendelea kunyonywa na ulayakupitia dini mpaka hapo watakapomtambua Mungu wao

    Kim Jong Un amesema nchi za ulaya zinainyonya Africa kwa kile walicho waghirib eti Mungu wao ndo mungu wa kweli wakati ulweli ni kwamba Africa inapaswa kuondokana na ukoloni huo. Ikumbukwe korea kaskazini wamezuia na kupiga marufuku biblia na quran kwa kusema na culture ya wazungu na waarabu tu...
  6. JamiiForums Tanzania Lulu hakumuua Kanumba, toka mahabusu Mpaka Mfungwa wa nje!

    DAR ES SALAAM MWIGIZAJI nyota wa kike, Elizabeth Michael ‘Lulu’ sasa atatumikia kifungo cha nje katika kesi yake ya kukuua bila kukusudia baada ya kubadilishiwa kifungo. Novemba 13, mwaka 2012 Mahakama Kuu ya Tanzania ilimhukumu kifungo cha miaka miwili jela, Elizabeth Michael ‘Lulu’ baada ya...
  7. JamiiForums Tanzania Usimkopeshe mtu kuanzia leo 1-6-2024 mpaka Disemba 31, halafu utaona amani itavyorudi moyoni

    Ndugu Mtanganyika , usimkope ndugu yako hela kwa sababu kuna hatari ya kuharibu uhusiano wenu. Kukopa hela kwa ndugu kunaweza kusababisha migogoro na mvutano, hasa kama kuna tatizo la kulipa deni kwa wakati au kama kutakuwa na hali ya kutokuelewana juu ya masharti ya mkopo. Ndugu huyo utakuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia CCM watoe amri mfumo wa PEPMIS usimame kwanza mpaka pale mtandao wao utakapokuwa na nguvu

    CCM ni chama chama wakulima na wafanyakazi, lazima kiwasemee watu hawa. Ni wapiga kura wake. Katika pitapita zangu mitaani, ni hofu imetanda miongoni mwa watumishi wa umma. Watumishi wa umma wamewekewa mfumo wa kutathmini kazi zao, na wanatakiwa wajaze taarifa zao humo. Kwa mujibu wa...
  9. JamiiForums Tanzania Kibiti mpaka laana ya Cabo Delgado: Part II

    Kabla ya kuendelea, turejelee kauli aliyoitoa Colonel Lionel Dyck, mkurugenzi wa jeshi binafsi la DAG ambaye mkataba wake wa kutoa msaada wa anga pale Msumbiji ulitamatika tarehe 6, April 2021. Alipohojiwa, alisema kauli hii; "Mungu, wasaidie watu wale." Akimaanisha watu wa Msumbiji...
  10. JamiiForums Tanzania Tamaa za mali mpaka kupelekea mauwaji ya mtalaka wake

    Jeshi la Polisi Mkoani Shinyanga linamshikilia Jafari Magesa Miaka 31 Mkazi wa Milambo kwa tuhuma za kuunda njama za kumuua mtalaka wake na kitu chenye ncha kali aitwaye Gaudensia Shukuru miaka 25 Mkazi wa Malunga Manispaa ya Kahama. Kamanda wa Polisi mkoani Shinyanga Kamishna Msaidizi...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani Nigeria ? Kutoka Naira 1 = Shilingi 5 za kitanzania mpaka shilingi 1.8 na bado inazidi kuporomoka.

    Ni kipi hasa kinaendelea huko kwa kina Oga, Tulishazoea kwa muda mrefu Naira moja ni shilingi 5.x ila kwa sasa imeshuka mpaka 1.79
  12. JamiiForums Tanzania Wanafunzi mpaka wa primary wanavuta sigara za kielektroniki serikali na wazazi mko wapi?

    Hizi e-cigarette wanazipatia wapi zinauzwa wapi mpaka zimeenea namna hii kama tu huku Mtwara nimeona watoto kundi kwenye michezo ya umitashumta wanavuta wanazo mbili je huko dar es salaam si ndo itakuwa Balaa. Sigara hizi lengo Ilikuwa kuwapunguzia wavutaji wa tumbaku ile addiction ila...
  13. JamiiForums Tanzania Kataa Ndoa vs Kubali Ndoa

    Habarini wakuu, Hivi karibuni kumeibuka mjadala wa baadhi ya wanaume kukataa NDOA, (dronedrake ) muda huohuo pia kua baadhi ya wanaume wanakimbilia NDOA. Jambo hili linaibua hisia za wanaume na wanawake wengi pia, na vilevile linapelekea wengine kubaki kwenye kitendawili cha kufuata NDOA au...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Aziz Ki: Siondoki Yanga Mpaka Tubebe Ubingwa Wa Africa

    Mpaka sasa Mimi ni Mchezaji wa Yanga na nafasi kubwa zaidi nawapa Yanga, namwamini Rais wa Yanga @caamil_88 yeye ndie amenileta hapa, tuna makubaliano yetu mimi na yeye kuwa Yanga inapaswa kucheza fainali ya Afrika na tutwae kikombe, hiyo ndio ndoto yangu na ikitokea tumecheza fainali na kubeba...
  15. JamiiForums Tanzania Msisubiri mpaka huyu kijana afe ndio mumpe maua yake

    Anaitwa Beka flavor zao la yamoto band walimokuwemo Mboso, Aslay na wengineo. Kijana anauwezo mkubwa sana wa kuimba japo mafanikio aliyonayo kimziki hayalingani na kazi kubwa anayoifanya, nimepewa lift na Mwana naisikilza Ngoma yake ya NAKUPENDA hakika ni nzuri mno. Dogo mziki unaujua hongera...
  16. JamiiForums Tanzania Tutaendelea kuibiwa mpaka lini?

    1. Mfanyabiashara kalipa kodi halali shilingi milioni ishirini na nne, lakini kaandikiwa kalipa milioni tatu. Inawezekana kiasi kilichobaki kimeliwa na wajanja. Hilo limetokea jijini Arusha. 2. Watumishi wa Serikali wajiwekea utaratibu wa kutoa risiti feki na kujipatia mamilioni ya fedha. Tukio...
  17. JamiiForums Tanzania Maraisi wa Afrika toka 2008 mpaka 2024 walioenda Marekani walijipeleka Window Shopping?

    Nasikiliza BBC, Wanasema Ruto Ndio Rais Wa Kwanza Kutoka Afrika Kufanya Ziara Rasmi ya Kiserikali Nchini Marekani Kwa Takribani Miaka 15, Nimebaki Najiuliza Hawa Marais Wa Afrika Wanaoenda Marekani Kila Siku Wanaenda Kufanya Nini? Kupumzika? Kutembea? Au Kushangaa? Window shopping? Marekani...
  18. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuanzishwa kwa Somo la Sheria, kuanzia shule za msingi mpaka Sekondari

    Jamii inauhitaji mkubwa wa kujua SHERIA mbalimbali muhimu. Kutojua SHERIA sio sababu ya mtu kujitetea dhidi ya shitaka lolote linalomkabili mbele ya mahakama, hivyo kunauhitaji mkubwa kwa jamaii kujua SHERIA. Pia kupitia ufundishaji huo wa SHERIA mashureni, utawawezesha pia watoto kujua haki...
  19. JamiiForums Tanzania Kambi za wakimbizi zilizopo kigoma mpaka leo mbona nchi hizo mbili hakuna vita

    Rwanda na Burundi miaka ya 90 zilikuwa kwenye wakati mgumu husasani mauaji ya kimbari.ila mpaka leo imekuwa kama centre ambayo kila kukicha kambi zimeshindwa kufungwa na mpaka sasa sababu ya wakimbizi nchi hizi mbili hakuna. Ukiangalia nchi Rwanda na Burundi amani na utulivu hupo na watu...
  20. JamiiForums Tanzania Wadau: Tutasubiri upatikanaji wa sheria mpya za Habari Zanzibar mpaka lini?

    ZANZIBAR. WADAU wa vyombo vya habari wameiomba serikali ya Mapinduzi Zanzibar kukamilisha mchakato wa marekebisho ya sheria za habari zilizotolewa maoni na wadau ili kutoa mazingira rafiki kwa waandishi wa habari kutekeleza majukumu yao bila vikwazo. Imeelezwa kwa muda mrefu licha ya wadau...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…