mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama mzazi angekua anaitwa kila unapozingua kazini mzazi wako angekuwa ameshaitwa mara ngapi mpaka sasa?

    Wakuu, Nimekumbuka kipindi tuko shule, ukifanya kosa au kuwa mtundu shuleni mzazi wako anakuwa hakauki shuleni. Sasa usiombe ukadakwa kwenye skendo kubwa kama kudakwa na boifrendi/gelifrend hapo ndio unapelekwa asembo kabisaaa, unachapwa mbele za watu na suspenshen juu!😂😂 Ila waalimu...
  2. JamiiForums Tanzania Ujanja ujanja wa GSM kwenye ligi anauleta mpaka TRA na bandarini

    GSM ni kundi la wajanja wajanja wasio na chembe ya uzalendo Tumesikia wanavyotuhumiwa kucheza na mifumo ya kigi kuu niwaambiehaushii ligi kuu tuhatabandarini na TRA anacheza na mifumo tu. Siku chache kabla ya Hayati Magufuli kuapishwa alijua kuwa segerea inamuhusu,akaifunga kampuni yaje ya Home...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Matukio ambayo nikikumbuka namshukuru Mungu naendelea kua hai mpaka sasa

    Dah Leo tumetoka kumzika rafiki yangu kipenzi Bado mdogo tu na alikua na potential kubwa tu ya kufanya mengi maishani, nimekaa nimewaza Sana nimekumbuka baadhi ya matukio ambayo nikikumbuka nabaki kumshukuru Mungu Kwa ulinzi wake mpaka muda huu, ntaleta kisa kimoja kimoja inform of episodes...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada mpenzi wangu mpya hisia zake hazipandi mpaka nimpulize mwili mzima na kumtekenya miguuni.

    Baada ya kupitia balaa zito la mke wangu kichaa aliyenipiga picha 71 za makalio ,niliamua rasmi kumuacha. Mungu si athumani nikapata mtoto mmoja wa kinyaru binti ajatumika sana,ana nyama nyama za kutosha mwilini(nakupenda sana kipenzi changu konjeta♥️♥️). Sikutaka kumchelewesha kama...
  5. JamiiForums Tanzania Je uliwahi kufanya mistake wakati ukiendesha gari, unalojutia mpaka leo?

    Mimi niliendesha gari kutoka Dar, nikiwa maeneo fulani ya Singida, kuna sehemu imenyooka kweli kweli malori mawili na gari ndogo moja yalikuwa mbele. Nilikanyaga mafuta gari ikawa spidi kali sana. Nakaribia kuovateki gari ndogo nayo ikataka kuovateki. Nilipiga honi akarudi ndani nikaovateki...
  6. JamiiForums Tanzania Tupo na JKT na Tabora utd mpaka zishuke daraja

    Ni kawaida kwa vilabu vidogo vidogo kukamia na kuweka nguvu nyingi zinapocheza na Bingwa mtetezi. Tabora utd baada ya kuifunga Yanga wakaweka mpaka sherehe na pesa ndefu wakagawana, Ila walipocheza na walozi wengine wanaachia tu! Kwani hii Ligi anayecheza ni Yanga peke yake? JKT akicheza na...
  7. JamiiForums Tanzania Wakuu nimepunguza bei mpaka 250k

    Pc yangu ile nimepunguza bei maana inaonekana bei ya mwanzo ilikua mkasi sana. Hp probook Proccessor Intel-pentium inside (7thgeneration) Ram 8Gb HDD 500Gb Batrery 4hrs Price 250k 0628116693 Dar Es Salaam
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Tuungane na ACT ili iweje? Tukishirikiana na vyama vingine kwenye Uchaguzi, tunaenda kuliwa vichwa

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu siku ya leo Jumatano Februari 12, 2025. anazungumza na wanahabari Makao Makuu ya chama hicho mkoani Dar es Salaam Endelea kufuatilia uzi huu hapa Jamiiforums kupata updates kuhusu hotuba hii...
  9. JamiiForums Tanzania Naapa naahidi Tanzania nitakulinda mpaka kufa

    Salamu kwa mkeo ,kwangu sio kipaumbele . Nawasalimu wote wanaonijua na wanaonipenda ,endeleeni kufurahia na kufanya yapendezayo moyo wenu . Kwaheri watanzania ,kwaheri marafiki ,kwaheri ma_ex ,kwaheri warembo ,kwaheri mashababi na kwaheri majobless pro max . Nawapenda Sana Ila mwisho na sio...
  10. JamiiForums Tanzania Wakuu naweza kujiunganisha na huduma ya eSIM mimi mwenyewe nikiwa home au mpaka niwafate vodacom ofisini kwao

    Uzi tayari
  11. M

    JamiiForums Tanzania Havard graduate wanalalamika kukosa ajira. Soko la ajira gumu mpaka marekani. Hali inatisha

    Kwa miongo kadhaa, kupata MBA kutoka Ivy League imekuwa ikichukuliwa kama tiketi ya dhahabu kwa ajira popote. Kulingana na Fortune, MBA ya Harvard inachukuliwa kuwa bora zaidi, ikishika nafasi ya juu katika orodha ya shule za biashara 98 za Marekani. Hata hivyo, mwaka 2024, hata digrii ya MBA...
  12. JamiiForums Tanzania Netanyahu na wenzake walisema Gaza hamna njaa mpaka congress wakampigia makofi, leo analalamika kuwaona mateka wake hali zao

    Wanaukumbi. All three Israeli captives were starved because of Israel. Israel controls the borders and the aid going in. It is Israel that imposed starvation on Gaza as a whole. The irony is that the same Israelis who claimed there was no famine in Gaza and ignored the suffering of Palestinian...
  13. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa usajili wa mpanzu ndiyo hasara kubwa kuliko yote ligi kuu

    I salute you kinsmen Sajili tofauti tofauti tumeziona wakiwemo Ken gold walioleta macro wengi tu Ila kuna maharaja yameletwa ligi kuu yanatia mashaka sana uwezo wao na ubaya ni kuwa team zao zinaona aibu kuwavunjia mkataba. Huyu Mpanzu ndiyo garasa kuu kuliko mengine maana ameletwa kwa...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni lazima Jenista Mhagama awe waziri wa Afya?, Unataka aaibishe nchi mpaka lini?

    Mapenzi haya ya Samia kwa Jenista ni sawa na uwehu, huyu waziri wa Afya wa sasa Jenista Mahagama ni kilaza kiasi kwamba hata kusoma hotuba aliyoandikiwa hawezi kusoma. Km anampenda sana kwanini asimpatie kazi itakayomfanya asionekana mbele ya hadhara? Nia ya Samia ni kuiaibisha nchi yetu? Miaka...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Account yako ya Instagram imekuwa hacked mpaka sasa sijaelewa imehackiwa kwa style gani

    Mimi ni mtu ambaye huwa sifungu link ninazotumiwa kama sijui imetoka kwa nani kwa sababu daily napokea emails kibao kutoka kwa mascammer. Pia akaunti yangu instagram haikuwa linked na email bali namba ya simu ambaye kimsingi nilishaipoteza so kama hata kutumiwa link zingeenda kule kwenye hiyo...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kinachohitaji maandalizi usisubiri mpaka kiwe dharura

    KINACHOHITAJI MAANDALIZI USISUBIRI MPAKA KIWE DHARURA. Hili linatugharimu wengi kujikuta tunafanya dharura ambayo haikupaswa kuwa kama maandalizi yangefanyika vilivyo kabla. Yapo mambo mengi ambayo tunayafanya kama DHARURA ilihali tulikuwa na muda wa kutosha kujiandaa kwayo na siku zote...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi tozo kwenye miamala ya simu bado mpaka leo?

    Kuna kipindi walitangaza kwamba tozo kwenye miamala ya simu zimeondolewa. Pia nakumbuka mchanganuo wa matumizi ya hizo tozo ulitolewa ikiwemo ujenzi wa vituo vya afya, barabara nk. https://www.mawasiliano.go.tz/news/rais-samia-aridhia-kuondolewa-tozo-za-miamala-ya-simu...
  18. JamiiForums Tanzania Nimeacha pombe na sigara lakini napata taabu sana, sipati usingizi hadi usiku wa manane

    habari wakuu. Weekend nyingine ya mwanzo wa mwezi february sasa. mimi ni kijana (me) wa umri wa miaka 27 nilianza kuvuta sigara mwaka 2016 nikiwa advance. NImevuta miaka sasa pamoja na kunywa pombe japo sikuwa addicted sana nilikua naweza kupitisha hata week bila kuvuta wala kunywa...
  19. JamiiForums Tanzania Mungu saidia wapigania haki m23 waikamate kinshasa

    Mungu wape nguvu Hawa wapambanaji wa haki za wananchi waweze kuikamata kinshasa na kuweza kuleta Maendeleo Kwa wacongoman bila ubaguzi wowote sababu Hawa ndio wapigania haki wa kweli japo wanapigana dhidi ya magaidi ya FARDC waliozoea kunyonya raia wameenda kumsaidia gaidi mwenzao tshekedi ila...
  20. JamiiForums Tanzania Ukiondoa Ukakasi wa Kauli za RC Chalamila Mnyonge Mnyongeni Ila Haki Yake Mpeni, Waafrika Tunapenda Kulelewa Mpaka Imekuwa Ulemavu

    NCHI INAZAMA KWA KUKUMBATIA UJINGA Je, umewahi kujiuliza kwa nini nchi hii haipigi hatua licha ya kuwa na rasilimali, amani, na nafasi za kujikwamua? Sababu iko wazi: tunakumbatia ujinga na kusambaza mzigo wa maamuzi yetu mabaya kwa wengine. Mtu anataka kondomu afadhiliwe, akishindwa kuitumia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…