moyo

Dambisa Felicia Moyo (born (1969-02-02)2 February 1969) is a Zambian-born economist and author who analyzes the macroeconomy and global affairs. She currently serves on the boards of Barclays Bank, the financial services group, Seagate Technology, Chevron Corporation, the global miner Barrick Gold, and the 3M Company. She worked for two years at the World Bank and eight years at Goldman Sachs before becoming an author and international public speaker. She has written four New York Times bestselling books: Dead Aid: Why Aid Is Not Working and How There Is a Better Way for Africa (2009), How the West Was Lost: Fifty Years of Economic Folly – And the Stark Choices that Lie Ahead (2011), Winner Take All: China's Race for Resources and What It Means for the World (2012), and the most recent Edge of Chaos: Why Democracy Is Failing to Deliver Economic Growth – and How to Fix It (2018). She holds a bachelor's degree in chemistry and an MBA from American University, an MPA from the Harvard Kennedy School, and a DPhil in economics from the University of Oxford.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Mambo matano ya kutia moyo kwenye tukio la muuaji Hamza

    1. Polisi wamefika eneo la tukio kwa wakati na kupambana kiume. Hongereni Sana. 2. Wananchi kwa umoja wao wamezuia baadhi ya watu kutofika eneo la tukio yakiwemo magari, may be wasingewazuia waendesha magari madhara yangekuwa makubwa zaidi ikiwemo kukutana na risasi. 3. Clip zinaonyesha...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Tuheshimu moyo wa kujitolea wa madaktari

    Katika kipindi cha miaka miwili iliyopita madaktari wameonyesha umuhimu mkubwa katika jamii yetu, kwani wao walikuwa mstari wa mbele kwenye mapambano dhidi ya janga la COVID-19. Tunakumbuka mwanzoni wakati janga hili linaanza, baadhi ya madaktari walilazimika kufanya kazi kwa muda mrefu, na kuna...
  3. JamiiForums Tanzania Katiba ndio moyo wa taifa

    Ni mimi meneja wa makampuni naomba hii maana ikumbukwe vizazi na vizazi ya kwamba. "Katiba ndio moyo wa taifa" Shughuli zote zinazofanywa ndani ya nchi zinasukumwa na katiba ambao ndio moyo. Moyo ukiwa mbovu hushindwa kusukuma damu vizuri mwilini na kupelekea mwili kushindwa kufanya kazi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kazi ya unesi inahitaji moyo

  5. JamiiForums Tanzania Neema Mushi: Moyo wa mtu ni kichaka na mtanisamehe

    Ni hivi wanajamvi lives come and go hivyo tuishi kwa upendo hapa duniani na tukumbuke moyo wa mtu ni kichaka. Uzi tayari wakuu wa kaya.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wanaume na sisi tunabakwa, moyo unauma sana

    Kuna kipindi Dada angu alijifungua kwa operation kwenye hospital moja kubwa apa mjini nikawa nimeenda asubuhi moja kumuona Wakati natoka wodini napita reception nikakutana na Dada mmoja age kama 40 mzuri na shape ya maana akanisalumia kwa adabu alionekana km mwenye stress ivi Akaaniita pembeni...
  7. JamiiForums Tanzania Nashindwa kurudisha moyo kwa mpenzi wangu baada ya kurudiana

    Wakuu habari zenu.. Poleni sana na majukumu Napenda kuandika ujumbe huu nikiwa na akili zangu timamu..tupo kwenye kushare mawazo kama vijana.. IKO HV Nina mrembo mmoja ambayo nimesoma naye chuo since 2 years ago na tumemaliza mwaka jana wote pamoja... Huyu manzi alikuwa ni mgeni pale chuo...
  8. JamiiForums Tanzania Je, wanaojiuza nao huwa wanapenda kimapenzi au moyo huo ulishakufa?

    Nauliza hivo kwasababu watu huwa wanawatumia watakavyo, yaani kama mdoli? Na wao huwa hawaoneshi kama wanapata msisimko au hisia zaidi ya kutaka umalize achukue pesa yake.
  9. JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?

    Nimejiuliza na kufikiria sana sana kuhusu kifo cha Rais Magufuli kilichosababishwa na mfumo wa umeme wa moyo uliokuwa unaratibiwa na pacemaker/defibrillator. Kujiuliza na kufikilia kwangu kumetokana onyo la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Marekani (Department of Homeland Security-DHS) lililotolewa...
  10. JamiiForums Tanzania CDC wakutana kujadili kesi za kuvimba moyo za waliopata chanjo ya Moderna na Pfizer

    Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) kimepanga kikao cha dharura Juni 18, 2021 ili kujadili waliopata chanjo ya ~COVID19 ya Pfizer na Moderna ambao wamevimba moyo Watu 226 wameripotiwa kuwa na tatizo la myocarditis a pericarditis baada ya kupata chanjo. Wengi wameripotiwa kupona lakini...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA itajengwa na wenye moyo safi. Waanza kujenga ofisi zao za Majimbo kwa kujitolea

    Kanda ya Serengeti KARATU BUNDA MJINI SERENGETI NJOMBE MAKAMBAKO
  12. JamiiForums Tanzania Haikuwa rahisi moyo uliniuma mno hatimaye nikaishia njiani, nikamuacha aende lakini leo...

    Mwaka huo wa 2016 mke wangu wa sasa alijifungua mtoto wa kike ambae kwa sasa ana umri wa miaka 5 yupo chekechea alifanana sana na mim baba yake lakini pia bibi yake ambae mama yangu mimi binafsi ni copy ya mama ila kwa dingi ni utolu ndio nimechukua bro angu yeye ni copy ya baba (R.I.P) ila...
  13. S

    JamiiForums Tanzania CCM wanafanya wanavyotaka. Tusipeane moyo wala maini

    Huo ndio ukweli. CCM wanafanya wanavyotaka inavyoonekana kwa sasa wapinzani wamekaa kimya wakiangalia ni kwa jinsi gani CCM wanavyopapatuana, na yote haya ni kutaka kuudanganya umma kuwa sasa CCM na serikali yao wanafanya kweli katika kulijenga Taifa mwisho wa siku wanarudi palepale bora...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa wale mlio kwenye mahusiano ya muda mrefu mnafanya nini kuhuisha penzi pale linapokuwa limepoa?

    Habari za wakati huu wanajamvi pendwa la MMU. Ni siku ya tarehe 05/05/2021 kwa wale ambao siku ya jana 04/05/2021 ilikuwa siku ndefu poleni na wale ilikuwa kinyume chake hongera kwenu. Acha niende kwenye hoja moja kwa moja. Nimekuwa kwenye mahusiano na binti wa mtu kwa mwaka na kitu sasa...
  15. JamiiForums Tanzania Unafahamu unywaji wa maji mengi unasababisha maradhi ya moyo?

    Na Mwandishi Maalum Lakini, mtaalamu bingwa kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Profesa Mohamed Janabi, ana kidokezo kuhusiana na matumizi ya nadharia hiyo kiholela kwamba yanaweza kumrudisha mhusika katika maradhi zaidi. Profesa Janabi, ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa...
  16. JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Viongozi waliojenga maadui, watatumia nafasi zao kudhibiti wengine

    MOYO WA ASKOFU MWAMAKULA KWA TAIFA Unatafuta kuongoza Kitongoji, Kijiji, Kata, Jimbo, Wilaya, Mkoa na hata Taifa. Lakini unapanda miiba njiani ili kuwazuia washindani wako. Unatafuta uteuzi au hata ushindani wa kibiashara au unatafuta kushinda tenda Serikalini, lakini unatega mabomu ili kutaka...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kulinda afya ya moyo wako

    Linda Afya ya Moyo wako kwa kufanya yafuatayo; Dhibiti matumizi pombe na sigara Dhibiti uzito, fanya mazoezi Kula mboga za majani na matunda kwa wingi Dhibiti kiwango cha chumvi kwenye chakula
  18. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kulihutubia Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. UPDATES: Rais Samia ameshaingia ndani ya jengo la bunge na sasa Spika wa Bunge Job Ndugai anafuata taratibu za kiitifaki kabla ya Rais kutoa hotuba yake. HOTUBA YA RAIS...
  19. JamiiForums Tanzania Video: Anayehusika na hii barabara ya Shaurimoyo (Al-haramain), ana akili sawasawa kweli kichwani?

    Hii hali ipo mwaka wa 5 huu, sasa utasema huyo mtu ana akili zilizotimia kichwani kwake, huu si ujinga huu kabisa?! Na hapa ni katikati ya jiji kabisa
  20. JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu Bima ya mtoto wa mtumishi kutibiwa Taasisi Moyo Jakaya

    Habari wana JF Baada ya kupata rufaa ya JAKAYA kutoka Bugando nilifika Jakaya na kuendelea na vipimo pamoja na matibabu. Vipimo vimeonesha anatakiwa kufanyiwa operation na Bima inacover gharama zote, changamoto umeonekana kuwa tatizo limechelewa kugundulika hivyo kwa operation hii ingefanywa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…