moyo

Dambisa Felicia Moyo (born (1969-02-02)2 February 1969) is a Zambian-born economist and author who analyzes the macroeconomy and global affairs. She currently serves on the boards of Barclays Bank, the financial services group, Seagate Technology, Chevron Corporation, the global miner Barrick Gold, and the 3M Company. She worked for two years at the World Bank and eight years at Goldman Sachs before becoming an author and international public speaker. She has written four New York Times bestselling books: Dead Aid: Why Aid Is Not Working and How There Is a Better Way for Africa (2009), How the West Was Lost: Fifty Years of Economic Folly – And the Stark Choices that Lie Ahead (2011), Winner Take All: China's Race for Resources and What It Means for the World (2012), and the most recent Edge of Chaos: Why Democracy Is Failing to Deliver Economic Growth – and How to Fix It (2018). She holds a bachelor's degree in chemistry and an MBA from American University, an MPA from the Harvard Kennedy School, and a DPhil in economics from the University of Oxford.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    Msaada Daktari bingwa wa moyo kwa watoto

    Habari wakuu, Msaada tafadhali kwa anayefahamu daktari bingwa wa moyo kwa watoto (cardiologist). Naomba mawasiliano yake au jina na hospital anayopatikana. Natanguliza shukrani.
  2. Huwa inataka moyo sana kusikiliza maneno na hotuba za hawa watu

    Mmojawapo ni Kikwete, huyu ndugu niliwahi msikiliza mara moja alipochaguliwa kuwa Rais nikaona daah, ndiyo basi tena. Nilikuwa sahihi. Toka siku hiyo sikuwahi pata nafasi ya kumsikiliza kabisa. Huwa sioni kama yupo "serious". Nlikuwa na msikiliza Nyerere, Mkapa na Mwinyi. Bora ni Nyerere...
  3. Tafiti: Wagonjwa wa moyo nchini waongezeka kutoka 60 hadi 500 kwa siku

    Wataalam wa moyo wamesema magonjwa ya moyo yanazidi kuongezeka Nchini huku imani potofu zikiendelea kusambaa kuhusu tiba ya magonjwa hayo. Mkurugenzi wa Tiba katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Dkt. Tatizo Waane amesema awali walikuwa wakipokea wagonjwa 50 hadi 60, lakini hivi...
  4. Prof. Janabi: Matumizi makubwa ya chumvi ni hatari kwa afya ya moyo

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Prof. Mohamed Janabi akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Arusha Lutheran Medical Centre (ALMC) kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Moyo Duniani tarehe 29/09/2022. Katika kuadhimisha siku hiyo wataalamu wa JKCI kwa...
  5. Marekani: Chanjo ya Covid 19 imesababisha madhara makubwa ya moyo kwa watoto na watu wazima chini ya miaka 40,

    Huko Marekani, madhara ya chanjo ya COVID 19 yameanza kujitokeza baada ya kusababisha matatizo makubwa ya moyo kwa watoto na watu wazima chini ya miaka 40. Magonjwa ya moyo sasa yameanza kua ya kawaida kwa watoto wadogo ambao hawakua nayo kabla ya chanjo ya covid. Dr. Marty Makary, Profesa wa...
  6. Ujumbe mzito wa kutia moyo

    • "I was flogged by my father for doing music." ~ Wizkid • "I got pregnant at 17, during my secondary school days." ~ Genevieve Nnaji • "I didn't even complete my university education." ~ Bill Gates • "I once sold plantain." ~ Inetimi Odon (Timaya) • "I used to serve tea at a shop to support...
  7. Sera ninayoiendeleza inataka moyo katika mahusiano, inabidi uwe mwanaume kweli kweli

    Wadau, kutokana na kujiamini kwangu katika suala la mapenzi nimekuwa muumizi mzuri sana wa sera ya "No hongos". Yaani sihongi. Ndiyo sihongi pesa kwa mpenzi hata siku moja. Najiamini kuwa nami pia natoa raha why nihonge kupata K? Labda ijulikane tu mtu anauza so hayupo after raha. Sasa yaani...
  8. D

    SoC02 Ni muhimu sana kupenda(like), kutoa maoni(comment), kufuata(follow/subscribe) na kusambaza(share) chapisho linalokugusa kwenye mitandao ya kijamii

    Afya ya akili na mitandao ya kijamii haiwezi kutengenishwa kwa karne ya 21, na ni jambo muhimu ambalo linapaswa kupewa uzito unaostahiki na watu na wataalamu wa afya ya akili. Katika nchi zilizoendelea inaonesha vijana wengi wanaathitrika sana na idadi ya watu wanaowafuatilia katika mitandao...
  9. SoC02 Wapiganapo tembo nyasi huumia

    Yapata majira ya jioni siku ambayo bibi yangu alirejea toka kazini akiwa na malalamiko sana na akiwa mwenye kuwaza mambo mengi yanayosumbua akilini mwake pasipo kupata ufumbuzi. Ndipo niliamua kumuita bibi yangu nakuanza kumuuliza kitu gani hasa kinamsibu 'Bibi shikamo, pole na mihangaiko ya...
  10. N

    Matendo yangu ndiyo chanzo kikuu cha kukosa furaha na amani ya moyo, najuta

    Nawasalimu wana Jamiiforums. Kwa kulinda faragha yangu kuna baadhi ya taarifa zitazisema direct. Sehemu ya kwanza. Nilihitimu mwaka 2018 Diploma ya Ugavi na manunuzi CBE Tawi la Dodoma, kutokana na ugumu wa upatikanaji wa ajira, ndugu walinifanyia mpango wa kazi za viwandani mikoa ya kaskazini...
  11. A journey to remember! Moyo wa matumaini. Nalifuta chozi langu tena

    Angela ni jina lake, alizaliwa mwaka 1984 huko Mara. Alipata elimu yake kwa shida sana ingawa alipambana kwa jasho, damu na machozi. Amepitia changamoto nyingi za kumvunja na kumkatisha moyo, ikiwemo kukeketwa na mimba za utotoni. Angela alipata mimba alipokuwa shule lakini hakukata tamaa...
  12. Usiufate Moyo sana hasa linapokuja swala la Biashara na Utafutaji

    Unaweza usielewe kichwa ya habari ila maana yangu ilikua ni moja tunapoongelea moyo tunaongelea kile kitu unachopenda, katika vile tuvipendavyo ndio vina fursa nzuri ndani yake. Nimewahi na nitaendelea kusema unapofanya biashara au unapotaka kuanzisha biashara fata au angalia moyo wako unapenda...
  13. P

    SoC02 Moyo! Moyo unavyojeruhiwa

    “Sababu ya MOYO watu muhimu wamepotea” Nawasalimu wote wana ukurasa huu wa stories of change na wana Jamii Forum kwa ujumla. Leo kwa mara nyingine nawaletea habari nzuri ambayo haijasahulika sana kijamii ila natamani kwa pamoja tuelewe maana maarifa ni silaa muhimu sana na mimi wala hata sio...
  14. F

    SoC02 Moyo wako; Siri ya mafanikio yako

    Ni ukweli usiopingika kwamba kila mtu anatamani kufanikiwa katika maisha. Wapo wanaotamani kufanikiwa kifedha, kisiasa, kielimu, kijamii na hata kiafya. Moja kati ya siri kubwa za mafanikio ni kusikiliza kile moyo wako unachohitaji. Wengi wamejuta kwenye maisha kwa kufanya mambo ambayo yalikuwa...
  15. Lipumba: Odinga ananipa moyo kurudi ulingoni 2025

    "Mimi na Odinga tunafanana Sana kwenye historia ya maisha yetu ya siasa. Nilikuwa na mpango wa kutokugombea uchaguzi ujao lakini kwa jinsi ninavyoona matokeo ya urais nchini Kenya na jinsi Odinga anavyokimbiza, Nina kila sababu ya kurudi ulingoni kwenye uchaguzi wa 2025". Maneno ya Prof Ibrahim...
  16. Kama unataka kuwa na amani ndani ya moyo wako na maisha yako, basi fanya haya

    Kwanza natanguliza salam kwenu ndugu zangu wa JF wote. Sasa bila kupoteza muda ndugu zangu, hayo chini ni baadhi ya mambo ambayo ukiyafanya, katu moyo wako hautapata maumivu ya aina yoyote katika hii dunia japo kuna changamoto ndogo ndogo za hapa na pale ambazo zitakupitia, lakini kwa muda...
  17. Otile Brown na Sanaipendi waliua kwenye nyimbo ya chaguo la Moyo

    Habari zenu wakuu, Huyu mkenya Otile brown nadhani Yuko underrated Sana, Maana nyimbo zake Kali lakini hajulikani kiivyo. Kuna nyimbo aliitoa na Sanaipendi Tande inaitwa chaguo la Moyo kusema ukweli waliua. Yani nyimbo tamu hata Ukiwa single unatamani kufall in Love, Verse na sauti zao ndo...
  18. M

    KWELI Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli alifariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Joseph Magufuli amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 61 Taarifa rasmi iliyotolewa kwa umma na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan kupitia Televisheni ya Taifa (TBC) leo usiku Machi 17, 2021 saa 5 usiku imeeleza kuwa Rais Magufuli amefariki...
  19. M

    Sura ya mtu huakisi hali ya moyo: Hii sura unaionaje? Ni katili iliyojaa chuki au ni ya upole iliyojaa upendo?

    Ni waziri wa mambo ya nje wa Ukraine-Kuleba.
  20. Jenerali Mabeyo: Moyo wangu ni Tanzania

    "Mimi nimestaafu lakini moyo wangu ni Tanzania, na mimi nawashauri Watanzania kuipenda Tanzania. Ukiipenda Tanzania, utaitumikia Tanzania, na ndio itapata maendeleo." - Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Venance Mabeyo, katika hafla ya kuagwa rasmi jeshini. CC: swahilitimes
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…