Wakuu salam aleykum. Ndugu katika imani niseme ukweli tu,
Sio kama nina hali ngumu ya maisha laaah, ila tu kiukweli sina amani na maisha ya mjini. Napachukia sana sana, sana, sana, natamani nikaishi vijijini huko mbali kabisa. Mimi kazi yangu ikawa ni kulima, kufuga na kufanya kazi za kijijini...