movie kali

Stitch! The Movie is an American direct-to-video animated science fiction comedy film produced by Walt Disney Television Animation and Rough Draft Korea, released on August 26, 2003. It is the second film released in the Lilo & Stitch franchise and the third film chronologically, taking place after the 2002 first film and (by later extension) the 2005 direct-to-video sequel Lilo & Stitch 2: Stitch Has a Glitch. The film also serves as the backdoor pilot of the spin-off sequel series Lilo & Stitch: The Series, which debuted the following month. The story is an introduction to Dr. Jumba Jookiba's 625 experiments (made prior to Stitch) that he created with the financing of Dr. Jacques von Hämsterviel.

View More On Wikipedia.org
  1. ELI COHEN

    Nimeaiangalia "13 Hours: The Secret Soldiers of Benghazi". Ipi kwako ni muvi bora ya kivita?

    Aisee hii "13 Hours: The Secret Soldiers of Benghazi" bonge la movie lenye kufikia kiwango cha uhalisia kabisa. Ipi kwako ni muvi bora ya kivita? Alafu cha kushangaza zaidi hii ni true stroy
  2. Teknolojia ni Yetu sote

    Movie kali sana unatengeneza roboti kumbe

    Unatengeneza Roboti kwa ajili ya kusaidia kwenye kulinda nchi na ulimwengu, kisha anakusaliti na kutaka kuitawala Dunia je atafanikiwa movie yenye ukatili kinoma 🔥🔥🔥 https://youtu.be/DgxBGtYo1mI
  3. Teknolojia ni Yetu sote

    Movie kali ya weekend

    Movie Kali ya weekend Wakati mwingine usipende kuishi pekee yako ni Hatari kilichomkuta huyu dada ni fundisho kwa wengine movie Kali sana https://youtu.be/bYF1bbjCdEg Unaweza kuidownload yote na kuweza ku enjoy weekend yako movie Kali sana
  4. Teknolojia ni Yetu sote

    Hii ndo movie kali ya kutisha kaitizame

    MOVIE KALI YA KUTISHA 🔥🔥 Mtoto wa AJABU movie Kali ya kutisha Sio kila mtoto wa kuishi naye wengine ni majini wazazi walijuta kwanini walimuokota huyu mtoto 🔥🔥🔥 Hii movie usipokimbia basi wewe Bingwa 😂😂 https://youtu.be/98pBUiOomKc
  5. Mad Max

    Upcoming Horror Movie: "28 Years Later" kutoka Sony! Trailer yake ya kibabe hatari!

    Wazee, mnakumbuka Horror moja ya kitambo 2002 inaitwa "28 Days Later" inamuhusu mwana mmoja ameamka hospital alikua kwenye coma karibia mwezi mzima anakuta Hospital hakuna ata mtu mmoja. Sio wauguzi wala wagonjwa. Anatoka nje anakuta mji mweupeeee hakuna raia. Kumbe ni zombie apocalypse hafu...
  6. Eqlypz

    Movie Reviews

    Hii thread ni kwa wale wapenzi wote wa filamu hapa tutakuwa tunajadiliana kuhusiana na filamu tulizoziona, tunazotaka kuziona. Karibuni. Tuanze na Hangover 2. Kwa mujibu wa Rotten Tomatoes naona critics wengi wameiponda, binafsi sijaiona bado kwa hiyo siwezi kutoa reviews mpaka nitakapoiona ila...
  7. Mad Max

    Wapenzi wa Movies: Mwaka 2024 ni kama hamna Movie kali iliyotoka!

    Labda mimi tu ila kusema kweli 2024 sijakutana na movie kali kabisa ata ya kusema hii naenda Cinemax. Deadpool & Wolverine? Venom? Joker? Smile 2? Ghostbusters? Yaani naona kama huu mwaka umetudhurumu. Mwaka 2025 utatutibu maumivu: Mad Max: The Wasteland Mission Impossible Avatar...
  8. WAPEKEE_

    Tafsiri ya movie ya Sisu na somo la kujifunza - by Wapekee

    SISU - Ni neno la asili ya Ki-finland, lisilo na tafsiri ya moja kwa moja, lakini lenye dhima ya kuonesha ujasiri na maamuzi magumu yasiyofikirika. Sifa hii ya SISU hujidhihirisha wazi pale ambapo matumaini yote hupotea. Vita ya pili ya dunia ilikuwa inaelekea kumalizika na Ujerumani kinara...
  9. Expensive life

    Wale Wazee wa movie kali za kutisha vipi nmamtambua huyu mwamba?

    wrong turn, kuanzia episode 1-6 moja kati ya muvi kali za kutisha nilizowahi kuzitizama.
  10. Kyambamasimbi

    Tujikumbushe Movie Kali Pendwa miaka hiyo ya 1980s-1990s na vibanda umiza kiingilio sh.10.

    Tujikumbushe Movie Pendwa na mabanda umiza ya video wakati huo miaka ya 80-90 wa screen chogo na VHS. Nakumbuka wakati nikiwa Mbeya Kuna sehemu ilikuwa inatwa kwa Mponzi watu walikuwa wanavaa hata hewa hamna sehemu nyingine panaitwa K.K.K kwa Mzee mmoja alikuwa anaitwa Mwakilembe ya Yasini huko...
  11. Willy T

    Ni movie gani kali ambayo huwezi kuisahau?

    Wapendwa kimtazamo ni movie gani ambayo ilikuvutia sana au ilikukugusa kwa namna moja hadi nyingine Mfano. Kuna bongo movie moja inaitwa vivia ukiangalia unaweza kulia Pia kuna Captain Philips bonge la movie Death race Kuna moja mauwaji ya #Rebel
  12. SirAlfred006

    Movie kali zaidi za kijeshi

    Kali mno
  13. SteveMollel

    Jifungie zako ndani, tazama filamu hizi

    It's been a damn long time kiunga hiki, hope mko poa nyote, karibuni tena uwanjani hapa tupendekezeane filamu nzuri za kutazama katika kipindi hiki cha weekend, na hivi mvua inanyesha ukikaa zako ndani unafurahia muda wako to the maximum! Tazama hapa .... 1. THE 8th NIGHT Miaka alfu mbili...
  14. master of cities

    Natafuta movie Kali za kijasusi

    Wakuu kwema natafta movie Kali za kijasusi , ikiwezekana wazee wa black market wawemo , drug dealer , kusalitiana na kugeukana , bila kusahau kuwe na vyuma ( risasi) za kutosha , movie ziwe angalau zimechezwa kuanzia mwaka 2005-2022... Nikipata za kichina itapendeza zaidi mana wale jamaa...
  15. BARD AI

    Movie 10 kali za kuziangalia kuanzia Oktoba 2022

    Kwenye list yako ya filamu za kuziangalia hakikisha umeweka hizi hapa; 1. All That Breathes 2. Emily 3. Wendell & Wild 4. Black Adam 5. The Banshees of Inisherin 6. My Policeman 7. Decision to Leave 8. Triangle of Sadness 9. The Lost King 10. Ticket to Paradise
  16. Richmoto Kushmoto

    Filamu kali za mwaka 2022

    Hizi ni moja ya filamu zilizobamba mwaka huu 1. Silverton siege 2022 filamu imechezwa south africa moja wapigania uhuru wanaiteka bank kubwa ndani ya hiyo kuna mtoto wa kigogo mkubwa na ni supervisor wa hiyo wanaiteka lakini hawaibi fedha shida yao kubwa ni nelson mandela aachiwe movie...
Back
Top Bottom