moto

Grand Prix motorcycle racing is the premier class of motorcycle road racing events held on road circuits sanctioned by the Fédération Internationale de Motocyclisme (FIM). Independent motorcycle racing events have been held since the start of the twentieth century and large national events were often given the title Grand Prix. The foundation of the Fédération Internationale de Motocyclisme as the international governing body for motorcycle sport in 1949 provided the opportunity to coordinate rules and regulations in order that selected events could count towards official World Championships. It is the oldest established motorsport world championship.Grand Prix motorcycles are purpose-built racing machines that are unavailable for purchase by the general public and unable to be ridden legally on public roads. This contrasts with the various production-based categories of racing, such as the Superbike World Championship and the Isle of Man TT Races that feature modified versions of road-going motorcycles available to the public. The current top division is known as MotoGP since 2002 when the four-stroke era began. Prior to that, the largest class was 500cc, both of which form a historical continuum as the official World Championship, although all classes have official status.
The championship is currently divided into four classes: Moto Grand Prix, Moto2, Moto3 and MotoE. The first three classes use four-stroke engines, while the MotoE class (new in 2019) uses electric motorcycles. The 2019 MotoGP season comprises 19 Grands Prix, with 12 held in Europe, three in Asia, two in the Americas, and one each in Australia and the Middle East.
The most successful rider in Grand Prix history is Giacomo Agostini with 15 titles and 122 race wins. In the top-flight series, Agostini holds the title record with eight, followed by active riders Valentino Rossi with seven and Marc Márquez with six. As of 2019, Rossi holds the record for most top-flight race wins with 89.

View More On Wikipedia.org
  1. Komeo Lachuma

    Hamas waona Mateka wa moto. Yataka Israel iwapokee, Israel yasema ikae nao tu haina shida nao kwa sasa

    Hamas wanasema wamechoka kushikilia mateka. Na wameshtuka Netanyau anawatumia hao mateka kuwachabanga Hamas. Hataki waachiliwe. Yenyewe imechoka nao kwa sasa. Inasema ipo tayari kuwaachilia hata nusu. Na inashangaa mbona kama Netanyau hana shida nao? Toka mwanzo Hamas wanahisi kama waliingizwa...
  2. Carlos The Jackal

    Live CHADEMA inakufa Wakuu ,oneni hii ,CCM moto wa kuotea mbali

    Kahama imesema No Reforms No Election https://x.com/Twaha_Mwaipaya/status/1923772820057706620 Hapa Wananchi wakikichangia Chama Chao ili kife. https://x.com/chacha_heche/status/1923776355302252998 Muachieni LISSU nyie wapumbavu, Mabadiliko haya ni ya lazima, ni ya Wananchi, LISSU mijumbe...
  3. Prof_Adventure_guide

    Lissu Anaingia Kwa Moto – This Time CCM You Ain’t Ready for This Smoke!

    Hii game ya 2025 siyo ya kitoto tena. Lissu siyo tu mgombea, ni revolution on two legs. Jamaa amepitia risasi 16 na bado yuko kwenye ground anapigania haki – y’all can’t kill that kind of spirit! Kumkamata Lissu sio weakness, ni kumpa nguvu ya tsunami. Mnamsukuma moja kwa moja kwenye moyo wa...
  4. Fbn

    Kitu kimoja serikali ya CCM ilichoweza na kutamba nacho ni kuweka ugumu wa kumiliki silaha za moto

    Naweza kutoa mifano ambayo sio kazi rahisi kama ilivyokuwa kwetu unachukuliwa kizembe tena nyumbani kwako au mazingira yoyote wakiwa na mamlaka ya silaha ila wewe cha kujitetea huna. Siwezi kuwa mchochezi ila tunajifunza na wenzetu kwa nini walikomesha mambo kama haya hata kama watawala...
  5. Qs Cathbert

    Hivi kwanini sisi binadamu hatuna plate number kama yalivyo magari na vyombo vingine vya moto?

    Kila nikiwa idle akili yangu huwa inanipeleka kufikiria vitu ambavyo hata mimi nashangazwa navyo lakini kwa hili,, nmeona bora nililete tufikirie wote🫠
  6. The Palm Beach

    Benson Kigaila mwana G55: Akiwa kwenye kiti moto cha Odemba wa StarTV, akijiuma uma na kujichanganya

    https://www.youtube.com/live/nvKNTGAG-9Q?si=H3CYz7QBr2c2gMz9 Sasa unaweza kuelewa ni kwanini hawa jamaa wa wanaojiita G55 ni wajinga wa kiwango cha huyu mzee Benson Kigaila.. Akataa katakata kujibu swali la mke wake kuwa miongoni mwa wale wabunge 19 na kwamba kama ni yeye ndiye aliyesaini fomu...
  7. A

    PreGE2025 Wasira Kimya! Moto wa Heche wazidi kuchanja mbuga kuelekea Oktoba 2025

    Huyu mzee wetu Wasira alikuja kwa mbwembwe akitamba kwamba gari ni injini, lakini alisahau inategemea ni aina gani ya injini. Mzee wetu sasa ni takribani wiki 2 hasikiki wala kutetema popote. CCM mlikosea sana huyu hawezi kukabiliana na Heche. Heche kwa nyomi ya watu wanaojitokeza kwenye...
  8. M

    Wakenya walitusimanga sana na SGR yao, sasa wanakiona cha moto

    Tanzania ikiwa chini ya utawala wa Rais Kikwete na wakenya wakiwa chini ya Rais Uhuru mwaka 2013 wakazindua treni ya haraka (SGR) inayotumia dizeli na kuifanya Kenya kuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki na ya kati kuwa na treni ya mwendokasi, basi na kwa jinsi wakenya wanavyopenda majivuno...
  9. Pdidy

    Huu moshi mweupe ama mweusi kuchagua pope unatokea wapi..nani anawasha moto wake

    NILikuwa naangalia wapiga kura wa kuchagua pope mpya Kabla ya yotre ealieleza tukiona moshi mweupe ujue papa amekuja Mweusi mjue shuhuli pevu Sada nawaza huu moshi hutokea wapi Na kama ni sababu ya moto anayewasha n nani?? Kila la kheri mtoa moshi embu kwa walivyochoka wapiga kura njoo na...
  10. Mad Max

    Nissan Note Hybrid 3rd gen izingatiwe. Hafu bei sio ya moto kivile kwa waliojipata!

    Nissan Note Hybrid 3rd generation (E13) yenye engine (generator) ya cc 1200 na e-Power hybrid system ya Nissan ni chuma ambayo watu wanajifanya hawaioni. Kwa CIF ya Mil 20+ na kodi ya mil 13+ unapata hii hatchback moja kali sana. Model ya 3rd gen imeanzia 2020+ na una options za FWD au AWD...
  11. Poppy Hatonn

    Waziri Jaffo anataka kuwafukuza Wachina Kariakoo kwa kuuza bidhaa bei poa

    Waziri Jaffo amecharuka. Anasema Serikali atalivalia njuga tatizo la Wachina na wageni wote wanaofanya biashara nchini bila kibali. Kuanzia kesho,yaani kuanzia leo,anataka kuona njagu wanawachangamkia Wachina Kariakoo. Waziri Jaffo anasema yeye kama Waziri wa Viwanda na Biashara hatakubali...
  12. fimboyaukwaju

    Nyanza derby ni ya moto

    Muda huu nyanza derby baina ya gor mahia na shabana,inaendelea huko vietnam.Naingalia kupitia azm 2 hd
  13. ELI COHEN

    Jana Mbunge wa Kenya kauliwa na huku kwetu kiongozi wa kidini kavamiwa. It makes you wonder kwamba je wewe mpambanaji wa kawaida what worst can happen

    Aisee, Amani na Utulivu ndio tumaini la mwisho katika ubinadamu ila kwa bahati mbaya kwa baadhi ya watu sio kitu cha thamani kwao. Nawatakia Amani ndugu zangu.
  14. ELI COHEN

    30s: Wakati ambao akili inakuwa ya moto sana

    Mbona sijajenga? Mbona sijapata kipato cha uhakika? Mbona sina gari? Mbona sitengenezi faida ya uhakika? Mbona sijaoa/sijaolewa? Mbona sina mtoto? Mbona sina akiba? Mbona nachelewa? Mbona classmates wana nipita? Mbona sii-provide familia vya kutosha?
  15. Echolima1

    Moto washindwa kudhibitiwa-Israel

    Moto wa nyika haudhibitiwi. Watu wanatelekeza magari yao kwenye Barabara kuu na kukimbia kwa miguu. Huku nyuma wakisababisha msongamano wa magari Upepo mkali unafanya juhudi za kuzima moto kutowezekana kirahisi. Msaada wa kudhibiti na kuzima moto huo kutoka Ugiriki, Kroatia, Italia, na Cyprus...
  16. Echolima1

    Milipuko mingine ya moto yatokea usiku huu huko Tehran

    wakati Iran inahangaika na milipuko ya moto huko Bandar Abbas usiku wa kuamkia leo mjini Tehran kumę tokena milipuko miwili mikubwa ya moto chanzo cha milipuko hiyo bado haijajulikana moto unaendelea kuteketeza maeneo humo mjini. “My take” Hizi ni MAUA za rasha-rasha mvua za Masiaka bado!!!
  17. Echolima1

    Russia yasaidia Iran kuzima moto kwenye Bandar Abbas!!

    Rais wa Urusi Vladimir Putin ameiagiza Wizara ya Hali ya Dharura kupeleka ndege kadhaa za kuzima moto za Beriev Be-200ES, pamoja na ndege ya usafiri ya Il-76TD, kuelekea kusini mwa Iran ili kusaidia juhudi za kuzima moto kufuatia mlipuko wa jana kwenye bandari ya Bandar Abbas kwenye Ghuba ya Uajemi.
  18. Echolima1

    IRAN bado inahangaika kuzima moto uliotokana na mlipuko kwenye Bandari!!

    Iran bado mpaka asubuhi ya leo Inahangaika kuzima moto uliosababishwa na mlipuko mkubwa amabao Iran wenyewe wameshindwa kujua umetokana na nini na wanataka kuhaha kusingizia kuwa kuna mkono wa Mwanaume Israel!!! Msemaji wa serikali ya Mapinduzi wa Iran amekiri kukosa uwezo wa kuu zima moto huo...
  19. Stability

    Unamnunulia demu gari ila anaenda kulala na mwana aliemsaidia kuziba pancha road. Hivi hakika ni kipi warembo wetu hawa wanachokitaka haswa?

    Wanatia huruma ya kuhudumiwa, lakini katika upokeaji wao hawaji na appreciation ilio genuine, appreciation yoa inatoka mdomoni lakini haionganishi doti akilini mwao kuwa wanapaswa wakupe heshima kuu sio tu ukiwepo hata usipokuwepo kwa kuwa umemfanyia kitu kama vile baba yake angekuwa na uwezo...
  20. Paspii0

    UBUYU WA MOTO lakini msiseme umetoka kwangu!

    Huu ubuyu unaochoma hadi keyboard yangu inawaka! Kwanza kabisa, yule mzee mwenye meno ya dhahabu wa pale ofisini unamkumbuka? Eeh, huyo huyo! Ameshikwa red handed akishusha mzigo wa “viagra” kama pipi, eti kwa ajili ya "maisha mapya." Lakini subiri.…. demu wake si mkubwa kama mtoto wake tu? Na...
Back
Top Bottom