moto

Grand Prix motorcycle racing is the premier class of motorcycle road racing events held on road circuits sanctioned by the Fédération Internationale de Motocyclisme (FIM). Independent motorcycle racing events have been held since the start of the twentieth century and large national events were often given the title Grand Prix. The foundation of the Fédération Internationale de Motocyclisme as the international governing body for motorcycle sport in 1949 provided the opportunity to coordinate rules and regulations in order that selected events could count towards official World Championships. It is the oldest established motorsport world championship.Grand Prix motorcycles are purpose-built racing machines that are unavailable for purchase by the general public and unable to be ridden legally on public roads. This contrasts with the various production-based categories of racing, such as the Superbike World Championship and the Isle of Man TT Races that feature modified versions of road-going motorcycles available to the public. The current top division is known as MotoGP since 2002 when the four-stroke era began. Prior to that, the largest class was 500cc, both of which form a historical continuum as the official World Championship, although all classes have official status.
The championship is currently divided into four classes: Moto Grand Prix, Moto2, Moto3 and MotoE. The first three classes use four-stroke engines, while the MotoE class (new in 2019) uses electric motorcycles. The 2019 MotoGP season comprises 19 Grands Prix, with 12 held in Europe, three in Asia, two in the Americas, and one each in Australia and the Middle East.
The most successful rider in Grand Prix history is Giacomo Agostini with 15 titles and 122 race wins. In the top-flight series, Agostini holds the title record with eight, followed by active riders Valentino Rossi with seven and Marc Márquez with six. As of 2019, Rossi holds the record for most top-flight race wins with 89.

View More On Wikipedia.org
  1. Mr Beach Boy

    Vishoka wanaweza kunisaidia kupata chombo Cha moto?

    Wakuu Kuna bodaboda nimemaliza mkataba kutoka bank Sasa bank wananisumbua kunipa kadi je vishoka wa tra wanaweza kunisaidia kufyatua kadi mpya ya bodaboda??
  2. M

    Wakuu huu moto wa CHADEMA ni hii tonetone tu au kuna nguvu za ziada?

    Hawa jamaa wabishi kinyama. Yaani wanapelekewa moto kila upande ila wenyewe wapo tu. Hata kama niko CCM ila nina macho ya kuona na kusikia. Heche na wenzake ni balaa. Hawapoi kabisa. Yaani wana amsha amsha balaa. Wakati CHADEMA wakichanja mbuga kisiasa anajitokeza ponjoro la Kinondoni na...
  3. ngara23

    TFF: Zawadi ya CRDB kwa Yanga ilikatwa kufidia madeni yao kwetu kama walivyoomba. Sisi ndio tunaidai Yanga

    Taarifa kutoka TFF -- TAARIFA Tunapenda kuuthibitishia umma kuwa Benki ya CRDB ndiyo Mdhamini Mkuu wa mashindano ya Kombe la Shirikisho la TFF, na inatekeleza ipasavyo majukumu yake ya kimkataba. Kwa msimu wa 2023/2024 wa mashindano ya Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB (CRDB Bank...
  4. Roving Journalist

    DC Songea: Mwanafunzi amechoma moto Shule ya Sekondari ya Jenista Mhagama ili ifungwe apate nafasi ya kupumzika

    Baada ya baadhi ya majengo ya Shule ya Sekondari ya Jenista Mhagama iliyopo Halmashauri ya Songea Mkoani Ruvuma kuungua kwa moto ikiwemo mabweni ya Wanafunzi wa kike pamoja na stoo ikidaiwa kuna hujuma, Serikali imeelezea juu ya tukio hilo... Kusoma andiko la kwanza bofya hapa ~ Baadhi ya...
  5. DuaZaMama

    Moto wa No reforms No Election kuendelea kanda ya Magharibi hii leo

    Baada ya jana vijana wa CCM kuingilia mkutano wa Chadema pale Singida leo ni zamu ya tabora ,tegemeeni "october tunatiki" katikati ya no reforms no election ni moto juu ya moto.
  6. Lord Denning

    Kwa moto anaopelekewa Msigwa Facebook hadi kafunga comment IG. Hongereni Watanganyika Finyaaaaaa!

    Msemaji wa Serikali amepost kwenye account yake ya Facebook kuwaita waliosema No Reform No Election kwenye show ya jana ya Bilnas Udom ni Walevi. Kwa kweli Watanzania wa Facebook wamempelekea moto vibaya sana. Moto huo umemfanya hadi kafunga comment section kwenye post kama hiyo IG. Hongereni...
  7. Pascal Mayalla

    Ee Mungu Baba Wasamehe maana hawajui watendalo! japo sasa wako moto sana! baada ya uchaguzi, sio kwisha habari yao?Sio watalia sana na kusaga meno?

    Wanabodi Leo ni siku ya Jumapili,najitahidi siku za Jumapili,niwe naleta mada za holistic approach Huu ni uzi wa swali tuu, nimeona jinsi washabiki wa NRNE walivyo chachamaa kwenye mitandao ya kijamii,utadhani wametiwa ndimu!,mtu yoyote ukiposti chochote,wanakuja na NRNE sio tuu za...
  8. fundi bishoo

    Kila instagram page ya msanii au hawa watu maarufu au machawa wananchi wanawapelekea moto sana aisee

    kilal msanii akipost anaandikiwa no reform nk election 😀🤣 kila chawa akipost hoja ni hyo mpaka wengine wamejamm kufungia X kumeleta changamoto instagram huu mwaka wa moto sana endeleeni kupiga spana watanzania tuungane tupeleke moto🔥🔥
  9. Mhaya

    KENYA: Mchungaji achomwa moto na Wananchi kwa kosa la Kumlawiti Mtoto

    Mchungaji huko Nyeri anayeshutumiwa kumbaka mvulana wa miaka tisa ameuliwa na wanakijiji wenye hasira. Simon Ndegwa, ambaye alikuwa mchungaji katika kanisa la True Disciple Ministry na anayefahamika vizuri na familia ya mvulana huyo, anashukiwa kufanya kitendo hicho cha kinyama kwa wavulana...
  10. T

    Second Press : Leo moshi moto unafuka, Tujiandae

    Wandugu Kama alivyosema, leo moshi unafuka. Tujiandae kwa press kubwa kuwahi kutokea chini ya ardhi ya Tanzania Nakushauri urekodi, tupatie kideo, live press haitaishi ushavamiwa. Kila la kheri
  11. L

    Tumbo linawaka moto kama kuna maji ya kuunguza yanamwagwa tumbo

    Naombeni msaada naungua tumbo, mbavu zinauma yaan sina raha, mgongo unauma vichomi kwenye mbavu na wakati mwingine kifuani
  12. N

    Moto ushakolezewa petrol, je utafaa kuota ama utababua ngozi?

    Ni huko kanda ya kati Dodoma. Je watabakia? Baada ya kuambiwa wazi wasipitishwe wasije wakamotonaizi na kupetrolilaiz chama...watasepaaa ama watamyuti.
  13. Just Pray

    Picha Ajali: Wasiofahamika wateketea kwa moto katika ajali Mufindi, gari zimeisha kabisa yamebaki majivu

    Watu wasiofahamika Wamefariki Dunia kwa kuteketea kwa moto na kubakia majivu baada ya magari mawili kugongana uso kwa uso na kisha kuwaka moto na kuteketea na kusababisha vifo hivyo. Akizungumza na Mwandishi wa habari hizi katika eneo la tukio Mei 29,2025 Mkuu wa wa Polisi Wilaya ya Mufindi SSP...
  14. kimara Kimara

    Inachukua muda gani kufanya transfer (kubadili jina la chombo cha moto) pikipiki?

    Mambo vipi Wakuu, Hivi karibuni nilianza kulipia kidogo kidogo kwaajili ya Kununua Pikipiki, kwa hawa watu hapa wapo Mbagala Zakiemu, Mimi nipo mkoa x Nimefanikiwa kulipia kidogo kidogo mpaka kumaliza, ila baada ya kumaliza wanasema kuna process mbili, Moja ni Kuhakiki Miamala (Yaani kuomba bank...
  15. JanguKamaJangu

    Donald Trump amwambia Rais wa Urusi, Vladimir Putin kuwa anacheza na moto

    "Kitu ambacho Vladimir Putin hajui ni kuwa kama sio mimi mambo mengi mabaya yangekuwa yameitokea Urusi, namaanisha MAMBO MABAYA. Anacheza na moto! Donald J. Trump Rais wa Marekani Mei 27, 2025 ======== "What Vladimir Putin doesn’t realize is that if it weren’t for me, lots of really bad...
  16. NDOTO KAVU

    Watanzania wenzangu tuachane na mambo ya Gwajima ni msanii katumwa na CCM kuzima moto

    Ndugu zangu taifa la Mungu!!! Nimemsikiliza huyu ndugu jana sikumwelewa. Kwanza ujasiri wakutengeneza kundi ndani ya serikali ambalo dola halina nguvu ya kuomba msaada kwa wananchi wakati dola imekula kiapo cha kuwatumikia raia. Wenzangu tuu mashahidi hata Muliro huyo anaechukua mack na...
  17. S

    Baada ya Gwajima, anaweza fuata kiongozi au mtu mwingine maarufu ndani ya CCM kuja kukoleza moto kwa kuongea na waandishi wa habari

    Kwa mtazamo wangu, wakati wanaangalia au wanajipanga namna ya ku'-deal na Gwajima, siku chache zijazo, anaweza kutokea kiongozi mwingine au mtu mwingine mstaafu ndani ya CCM, ambae nae atapita mule mule alikopita Gwajima Hata hivyo, mtu huyo anaweza kuja na hoja nyingine za ziada lengo likiwa...
  18. Maleven

    Tangu nioe, sijaugua UTI ya korodani kuwaka moto

    Japo ndoa inanipelekesha, ila kwa upande wa afya na STDs ni kitu chema sana. Kabla sijaoa, kuumwa UTI kali ambayo hadi korodani zinawaka moto ilikuwa kawaida sana. Yaani kuna muda hadi kukaa muda mrefu ni shida maana ukikaa tu, korodani zinawaka mto. Ila baada ya kuoa, hayo mambo nimesahau...
  19. The Palm Beach

    Moto wa G55 utaiua CHADEMA? Moto wa Peter Msigwa tuliyeambiwa anahamia CCM na CHADEMA ya Iringa yote na CHADEMA kufa kabisa uliishia wapi?

    Nani anaweza kujibu swali hili kwa ufasaha..? Hivi mnaukumbuka moto wa Peter Msigwa aliyekuwa anapata promo ya CCM huku wakijiapiza kuwa wanaenda kuiua CHADEMA kwa kuondoka kwake..? Huyu Peter Msigwa aliyevurumka kutoka CHADEMA kama moto wa kifuu tukadhani sasa anakwenda kuiunguza CHADEMA...
  20. JanguKamaJangu

    Moto waunguza Bweni la Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (Mbeya University of Science and Technology - MUST)

    Taarifa ni kuwa kuna bweni la Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (Mbeya University of Science and Technology) linaungua kwa moto leo Mei 20, 2025. UPDATES... ( Taarifa ya Mtandao wa Mustso_updates) Moto mkubwa ulizuka katika Hostel za Wasichana 8C lakini umekwisha kudhibitiwa, mpaka...
Back
Top Bottom