moto

Grand Prix motorcycle racing is the premier class of motorcycle road racing events held on road circuits sanctioned by the Fédération Internationale de Motocyclisme (FIM). Independent motorcycle racing events have been held since the start of the twentieth century and large national events were often given the title Grand Prix. The foundation of the Fédération Internationale de Motocyclisme as the international governing body for motorcycle sport in 1949 provided the opportunity to coordinate rules and regulations in order that selected events could count towards official World Championships. It is the oldest established motorsport world championship.Grand Prix motorcycles are purpose-built racing machines that are unavailable for purchase by the general public and unable to be ridden legally on public roads. This contrasts with the various production-based categories of racing, such as the Superbike World Championship and the Isle of Man TT Races that feature modified versions of road-going motorcycles available to the public. The current top division is known as MotoGP since 2002 when the four-stroke era began. Prior to that, the largest class was 500cc, both of which form a historical continuum as the official World Championship, although all classes have official status.
The championship is currently divided into four classes: Moto Grand Prix, Moto2, Moto3 and MotoE. The first three classes use four-stroke engines, while the MotoE class (new in 2019) uses electric motorcycles. The 2019 MotoGP season comprises 19 Grands Prix, with 12 held in Europe, three in Asia, two in the Americas, and one each in Australia and the Middle East.
The most successful rider in Grand Prix history is Giacomo Agostini with 15 titles and 122 race wins. In the top-flight series, Agostini holds the title record with eight, followed by active riders Valentino Rossi with seven and Marc Márquez with six. As of 2019, Rossi holds the record for most top-flight race wins with 89.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Same: Watu 37 wafariki dunia kwa ajali, 29 wajeruhiwa. Mabasi yagongana na moto kulipuka

    Basi la Channel one na Costa Mwami yamegongana na kuwaka moto. Cheki Point wilayani Same, umbali wa kilomita tatu kutoka Same Mjini. Ajali hiyo ambayo imethibitishwa na Mkuu wa Wilaya ua Same,Kaslida Mgeni,imetokea saa 12 jioni. Aidha,inadaiwa watu kadhaa wamefariki dunia kwa kuungua na moto...
  2. JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya madawa ya kulevya yapamba moto Afrika mashariki

    Polisi katika Kaunti ya Migori mnamo Alhamisi walimkamata mshukiwa wa ulanguzi wa dawa za kulevya mwenye umri wa miaka 32 na kunasa shehena kubwa ya bangi yenye thamani ya takriban Ksh.13.7 milioni. Wakipokea taarifa, maafisa wa Kituo cha Polisi cha Oruba walinasa gari nyeusi aina ya Toyota...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna diary zangu niliziandika kwa mda wa miezi sita mwaka 2022 nilikuja kuzichoma moto

    Leo asubuhi niliandika uzi kuhusu maisha yangu wako waliosifia, wako walioponda na wako waliosoma tu hawakutoa maoni yeyote - Point ni tulidiscuss na moderator tukakubalian ule uzi ufutwe ili ku-comply na sheria za jamiiforum za kulinda privacy ila nachoshukuru mimi ni mshindi Mwaka 2022...
  4. JamiiForums Tanzania Mtu anaweza kuazima "kijinga cha moto" au "mkaa unaowaka" kwa nia ya kutumia kwenye ulozi au ushirikina

    🔥 Kijinga cha moto katika ushirikina huweza kuwa: 1. Kifaa cha kupeleka ujumbe wa kipepo – yaani, moto huo ukatumika kuteketeza au "kuwasha" madhabahu ya giza. 2. Njia ya kuingiza uchawi au uchafu kiroho kwenye nyumba ya mtu – kwa sababu mkaa huo una uhusiano wa moja kwa moja na chanzo (yaani...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Napendekeza kuwe na tozo kwa kila chombo cha moto kitachopita juu ya daraja la Magufuli

    Tumeambiwa kuwa Daraja limegharimu fedha nyingi takriban 716 billioni. Hizi ni fedha nyingi hivyo basi zinatakiwa zirudi polepole. Ninapendekeza kuwa kuwe na tozo kwa kila chombo cha moto kitakachopita juu ya daraja la Dkt. Magufuli kama ilivyo daraja la Kigamboni. Nawasilisha.
  6. JamiiForums Tanzania Trump awaagiza watu waihame Tehran, huku hiyo Tehran ikiwaka moto

    Hamna namna hadi Ayatollah atie saini kuacha mawazo ya nyuklia, kwa sasa amesazwa na lile gauni lake ila wengine wote wanafagiwa.... Israel imefanya maangamizi makubwa sana mpaka hapo, Marekani ingeacha kwanza kama mzee na lile gauni lake atatia saini mkataba wa kuacha manyuklia, kwa kweli...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Si ruhusa kuchoma moto simu yako, tv yako au vifaa vya kielektroniki hata kama vipo ndani mwako umevichoka au kuharibika

    Katika shughuli yangu ya ufundi umeme napenda kushiriki nanyi mambo machache kuhusu vifaa vya kieletroniki Hurusiwi kabisa kuchoma moto vifaa kama simu, tv, ving'amuzi, luku mbovu (meter & Sub meter) au kifaa chochote cha kietroniki kama takataka hata kama kitakuwa kimebenjuka na kubaki vipande...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kusajili chombo cha moto

    Nawezaje kujua usajiri wa chombo cha moto iwe gari au pikipiki kwa kutumia plate number?!.
  9. JamiiForums Tanzania Iran yapigwa mabomu na Israel kwa siku ya pili, Tehran inawaka moto

    Myahudi amechafukwa, mpaka sasa ngoma inazidi kuwa moto, Iran wamefaulu kuua mtu mmoja Israel ila wao wanaendelea kupoteza, wamepigwa makambi ya kijeshi, viwanja vya ndege, na miundo mbinu mingine ya muhimu na Israel wamesema hadi watimize malengo kipigo kiko pale, watapiga hadi mifumo ya...
  10. JamiiForums Tanzania Vishoka wanaweza kunisaidia kupata chombo Cha moto?

    Wakuu Kuna bodaboda nimemaliza mkataba kutoka bank Sasa bank wananisumbua kunipa kadi je vishoka wa tra wanaweza kunisaidia kufyatua kadi mpya ya bodaboda??
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu huu moto wa CHADEMA ni hii tonetone tu au kuna nguvu za ziada?

    Hawa jamaa wabishi kinyama. Yaani wanapelekewa moto kila upande ila wenyewe wapo tu. Hata kama niko CCM ila nina macho ya kuona na kusikia. Heche na wenzake ni balaa. Hawapoi kabisa. Yaani wana amsha amsha balaa. Wakati CHADEMA wakichanja mbuga kisiasa anajitokeza ponjoro la Kinondoni na...
  12. JamiiForums Tanzania TFF: Zawadi ya CRDB kwa Yanga ilikatwa kufidia madeni yao kwetu kama walivyoomba. Sisi ndio tunaidai Yanga

    Taarifa kutoka TFF -- TAARIFA Tunapenda kuuthibitishia umma kuwa Benki ya CRDB ndiyo Mdhamini Mkuu wa mashindano ya Kombe la Shirikisho la TFF, na inatekeleza ipasavyo majukumu yake ya kimkataba. Kwa msimu wa 2023/2024 wa mashindano ya Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB (CRDB Bank...
  13. JamiiForums Tanzania DC Songea: Mwanafunzi amechoma moto Shule ya Sekondari ya Jenista Mhagama ili ifungwe apate nafasi ya kupumzika

    Baada ya baadhi ya majengo ya Shule ya Sekondari ya Jenista Mhagama iliyopo Halmashauri ya Songea Mkoani Ruvuma kuungua kwa moto ikiwemo mabweni ya Wanafunzi wa kike pamoja na stoo ikidaiwa kuna hujuma, Serikali imeelezea juu ya tukio hilo... Kusoma andiko la kwanza bofya hapa ~ Baadhi ya...
  14. JamiiForums Tanzania Moto wa No reforms No Election kuendelea kanda ya Magharibi hii leo

    Baada ya jana vijana wa CCM kuingilia mkutano wa Chadema pale Singida leo ni zamu ya tabora ,tegemeeni "october tunatiki" katikati ya no reforms no election ni moto juu ya moto.
  15. JamiiForums Tanzania Kwa moto anaopelekewa Msigwa Facebook hadi kafunga comment IG. Hongereni Watanganyika Finyaaaaaa!

    Msemaji wa Serikali amepost kwenye account yake ya Facebook kuwaita waliosema No Reform No Election kwenye show ya jana ya Bilnas Udom ni Walevi. Kwa kweli Watanzania wa Facebook wamempelekea moto vibaya sana. Moto huo umemfanya hadi kafunga comment section kwenye post kama hiyo IG. Hongereni...
  16. JamiiForums Tanzania Ee Mungu Baba Wasamehe maana hawajui watendalo! japo sasa wako moto sana! baada ya uchaguzi, sio kwisha habari yao?Sio watalia sana na kusaga meno?

    Wanabodi Leo ni siku ya Jumapili,najitahidi siku za Jumapili,niwe naleta mada za holistic approach Huu ni uzi wa swali tuu, nimeona jinsi washabiki wa NRNE walivyo chachamaa kwenye mitandao ya kijamii,utadhani wametiwa ndimu!,mtu yoyote ukiposti chochote,wanakuja na NRNE sio tuu za...
  17. JamiiForums Tanzania Kila instagram page ya msanii au hawa watu maarufu au machawa wananchi wanawapelekea moto sana aisee

    kilal msanii akipost anaandikiwa no reform nk election 😀🤣 kila chawa akipost hoja ni hyo mpaka wengine wamejamm kufungia X kumeleta changamoto instagram huu mwaka wa moto sana endeleeni kupiga spana watanzania tuungane tupeleke moto🔥🔥
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA: Mchungaji achomwa moto na Wananchi kwa kosa la Kumlawiti Mtoto

    Mchungaji huko Nyeri anayeshutumiwa kumbaka mvulana wa miaka tisa ameuliwa na wanakijiji wenye hasira. Simon Ndegwa, ambaye alikuwa mchungaji katika kanisa la True Disciple Ministry na anayefahamika vizuri na familia ya mvulana huyo, anashukiwa kufanya kitendo hicho cha kinyama kwa wavulana...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Second Press : Leo moshi moto unafuka, Tujiandae

    Wandugu Kama alivyosema, leo moshi unafuka. Tujiandae kwa press kubwa kuwahi kutokea chini ya ardhi ya Tanzania Nakushauri urekodi, tupatie kideo, live press haitaishi ushavamiwa. Kila la kheri
  20. L

    JamiiForums Tanzania Tumbo linawaka moto kama kuna maji ya kuunguza yanamwagwa tumbo

    Naombeni msaada naungua tumbo, mbavu zinauma yaan sina raha, mgongo unauma vichomi kwenye mbavu na wakati mwingine kifuani
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…