Habari wa ndugu wa jamii forums , nipo hapa kuomba kwa mwenye mabati used yaliyo na hali nzuri awasiliane na mimi
Mawasiliano. 0672701329
Nahitaji pc 50 hivi
Asante...
Habari , ninauza pallet mahususi kwa ajili ya kubebea mizigo ni imara na zinadumj maana zimetengenezwa na ni mpya
Zipo hapa. Moshi mjini
Mawasiliano ni. 0672701329
Bei 25,000 kwa kila pallet....
Na pia zinafaa hata kutumika madukani kuwekea mizigo , friji na kazalika...
Karibuni wandugu.....
Marehemu Bi. Halima Selengia aliyefariki dunia mwaka wa 2013 akiwa na umri wa miaka 94 alikuwa kati ya waasisi wa TANU mwaka wa 1954 na mmoja wa wanawake waliokuwa mstari wa Bi. mbele katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
Bi. Halima Selengia anaingia katika kundi la akina mam wapigania uhuru...
WAKATI uchanguzi ndani ya chama cha mapinduzi ccm ukitarajiwa kufanyika wiki ijayo kwa ngazi ya wilaya,katibu wa Itikadi na uenezi wa chama hicho manispaa ya moshi,seleman Aman anazongwa na mikasa mbali mbali ikiwamo kudaiwa kuendesha biashara ya vinywaji baridi na kisha kuondoka kwenye nyumba...
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kufunguliwa mashitaka mengine yanayomkabili, leo Jumatano Juni Mosi, 2022
Sabaya amefikishwa Mahakamani hapo Sa 11:40 Asubuhi.
===========================
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoa...
Kura 18 zimemkataa.
Alikuwa na kashfa ya kushiriki birthday ya shoga mmoja hapo Moshi.
Ni kashfa iliyotrend sana kwenye vyombo mbalimbali vya habari kama magazeti.
Nafikiri ndio hiyo imemng'oa labda kama kuna sababu nyingine tutajua
Kapigiwa kura Leo, 18 zimemkataa na 10 zimemkubali...
Urgent: Natafuta mwanasheria aliepo moshi mjini, karibu inbox ila uwe unajua kazi yako na gharama ndogo na nafuu kwa Mtanzania asie na pesa.
Nawasilisha,
bloggerboy
Msiba wa kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Shambe Sagafu aliyefariki mwanzoni mwa wiki ,uligeuka kuwa uwanja wa siasa baada ya mwenyekiti wa chama hicho Moshi Mjini, Alhaj Omar Amin Shamba kuwashambulia kwa maneno makali baadhi ya makada wa Chama hicho waliojitosa kuomba kuteuliwa na chama hicho...
Soko la matunda na mbogamboga Mbuyuni lililopo wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro likiteketea kwa moto.
Juhudi za kuuzima moto huo zikiendelea na bado chanzo cha moto hakijafahamika.
Pamoja na kwamba tuna serikali isiyofuata utawala wa kisheria lakini Sina budi kutoa wito kuwa unywaji wa pombe Moshi umevuka mipaka yani si wazee si watoto unakuta wote wanalewa halafu bila kuzingatia muda wa kufungua bar.
Ajabu zaidi mkoa huu bar zinafunguliwa asubuhi Sawa na mtu anayeuza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.