Wakuu,
Baada ya kuangalia huku na huko nimegundua hii video ni kutoka Uchaguzi wa 2015, hizi ahadi ni kama zile za 'Ndio Mzee' kwenye wimbo wa Prof. Jay.😂😂
Kwa kiwango cha uchawa kilichoongezeka na wagombea ambao hawana sifa wala ujuzi kusimamia nafasi hizo kupewa nafasi ya kugombea...
MAPYA YAIBUKA MOSHI, NI BAADA YA MBUNGE KUSHITAKI BENDI YA POLISI
Katika hali isiyo ya kawaida, Priscuss Tarimo ambaye ni Mbunge wa jimbo la Moshi Mjini amewashtaki watumbuizaji wa bendi ya Chuo cha Polisi Moshi (CCP) ambayo ilikuwa inatumbuiza kwenye sherehe ya Kumuaga binti wa Tajiri wa Moshi...
Jumanne wiki hii ndani ya ofisi za chama cha mapinduzi(ccm) moshi mjini,kulitokea tukio ambalo siyo la kistaarabu pale kada wa chama hicho,Ibrahim Shayo a.k.a Ibraline alipomporomoshea matusi makali mstahiki meya wa manispaa ya moshi,Zuberi Kidumo.
Tukio hilo lilitokea muda mfupi baada ya...
Hali si swari ndani ya chama cha mapinduzi(CCM)jimbo la moshi mjini ambako kada wa chama hicho na mtia nia wa kiti cha ubunge hapo mwakani kumporomoshea matusi mstahiki meya wa Manipsaa ya moshi,Zuberi kidumo.
Taflani hiyo imezuka leo asubuhi nje ya jengo la ofisi za CCM Moshi mjini ambako...
Ndoto za kada maarufu wa chama cha mapinduzi CCM)jimbo la moshi mjini za kuchukua fomu kuomba ridhaa ya chama chake kimteue kuwania ubunge kupitia jimbo la moshi mjini ,zimeyeyuka kutokana na kuwa chini ya adhabu.
Mapema mwaka huu,kada huyo alipewa onyo na chama chake kutokana na kuendesha...
Hali ya kisiasa katika jimbo la Moshi mjini inazidi kupamba moto kuelekea uchaguzi mkuu hapo mwakani huku mmoja wa makada wa chama hicho akidaiwa kuendesha siasa zake kwa kutumia jina la mwenyekiti wa Chama hicho Taifa na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Kada...
Jimbo la Moshi Mjini imeongozwa na upinzani tangu kuanza kwa vyama vingi. Kutokana na itikadi hiyo rais wa awamu iliyopita Magufuli 2020 akaenda na kusema Moshi iko vilevile sababu ya kuongozwa na upinzani. (Niliamini kwa wakati huo) "chagueni ccm muone maendeleo" Haya Priscus Tarimo toka ccm...
Mzee Freeman Mbowe salaam!
Nataka unipe mrejesho tu, ni lininuliitisha maandamano ya kitaifa ya CHADEMA Moshi mjini?
Pia soma: Kilimanjaro: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yanayoongozwa na Freeman Mbowe
MBUNGE ESTHER MALLEKO AZUNGUMZA NA WANAWAKE WA MOSHI MJINI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Edwin Malleko tarehe 26 Julai, 2024 amefanya Ziara katika Wilaya ya Moshi Mjini na Kuzungumza na Wanawake kwa lengo la Kuimarisha Jumuiya ya UWT.
Mhe. Esther Malleko akiwa katika...
Sasa ni dhahiri kwamba kasi ya kuchafuana kwa makada wa chama cha mapinduzi Katika Jimbo la moshi mjini inazidi kushika kasi kadri siku zinavyozidi kuyoyoma kuelekea uchaguzi mkuu hapo mwakani.
Wapo vijana wanaoendesha harakati hizo kupitia magroup ya WhatsApp wakiwalenga makada wa CCM...
Limekuwa jambo la kawaida sana siku hizi wasomaji wangu kuniletea taarifa nyingi ambazo wao wanazo katika historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika.
Taarifa nyingine pamoja na picha zinatoka kutoka familia za wapigania uhuru ambao historia imewasahau.
Leo nimepokea picha ambazo kwa hakika...
#Updates
Usiku wa kuamkia leo Juni 7, 2024, Malisa amefikishwa Moshi Mjini, na Jeshi la Polisi limempeleka moja kwa moja Ofisi ya RCO.
Taarifa kutoka CHADEMA zinaeleza kuwa Wakili Peter Kidumbuyo ameambatana na Malisa katika mahojiano hayo.
Picha tofauti za Malisa na Boni wakiwa na Wadau...
https://youtu.be/tXr0IShfWjk?si=WZ90OgpxtV42FP66
Nimesikiliza ila bado napingana na juhudi zinazo semwa juhudi hizi ni usiasa tu hazina utekelezaji tunataka kuwaambia iwàpo taka mnataka zisitolewe njee mpaka gari ipite mnataka kuficha uzembe wenu wa kubeba taka Ili ziwe majumbani na zisionekane...
Katika miongo kadhaa mji wa Moshi umejizolea sifa za usafi na ambao uliufanya mji huo kuwa na sifa za kipekee nchini ikiwa ni pamoja na kuongoza kwa usafi.
Hali hiyo imekua tofauti kwa miaka ya hivi karibuni kutokana na mji huo kuendelea kuporomoka katika nafasi za usafi na sasa ikiwa...
Mtikisiko huo kabambe umetokea kwenye Mkutano wa hadhara uliovurumishwa mjini humo
Ajenda kuu ya mikutano ya sasa ni kuwaamsha Wananchi kudai haki zao ikiwemo Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kwa kushiriki Wiki ya Maandamano
Huku wananchi wengine wakiendelea kusisitiziwa kwamba SHETANI...
Kuna mtandao wa kikundi cha vijana kinatumia mitandao ya kijamii yakiwamo magroup ya WhatsApp kumchafua mbunge wa moshi Mjini,Priscus Tarimo pamoja na meya wa manipsaa ya moshi Zuberi Kidumo.
Nauliza tu vijana hawa wanalipwa na nani na katika kuwachafua huko wanapata nini na malengo yao ni yapi...
Bed sofa ya chuma 5kwa6. Bei nafuu kabisa 250,000 rangi hiyo...
Mawasiliano. 0672701329....au.....0756294771....
Asanteee....
Wako katika biashara mtandao...
Habari ndugu wananchi wa mikoa ya ARUSHA NA
KILIMANJARO...,
Kwa mahitaji ya...,
1.Vyumba (SINGLE SELF , DOUBLE SELF , AU VYA KAWAIDA) ,
2. Nyumba NZIMA ZA KUPANGA ,
3. Fremu za biashara MOSHI na viunga vyake ,
4. MAJENGO mazuri na yanayofaa kwa kuweka
4.1 Ofisi za taasisi,
4.2 GODOWN ,
4.3...
Umbali wa kutoka Moshi Mjini hadi Kikavu chini ni Kilomita 11 tu, nauli ya awali ilikuwa ni Shilingi 600 kabla ya ongezeko la hivi karibuni iliyofanya nauli ya eneo hilo kuwa ni Shilingi 700.
Pamoja na mabadiliko hayo, Daladala zinazoenda njia hiyo hazijawahi kuwatoza kiasi hicho cha nauli...
Habari wandugu,
Nina fremu ya kupangisha moshi mjini. Fremu ni kubwa na ni nzuri kwa biashara ya aina yoyote ile na ipo katikati ya mji wetu huu wa moshi Mji tulivuuu kabisa. Usio na shida yoyote ile zaidi ya fursa za kiuchumi inayochanganyika na fursa za utalii..
FREMU IPO KARIBU NA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.