morocco

  1. Tanzania na Ufalme wa Morocco zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wa matumizi ya teknolojia katika Sekta ya Nishati

    Tanzania na Ufalme wa Morocco zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wa matumizi ya teknolojia katika Sekta ya Nishati ili kuiwezesha sekta hiyo kuwa na mchango endelevu nchini. Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko alipokutana na Mwenyeji wake...
  2. Simba wapo Morocco, Yanga tumeenda Kongo kuulizia kuhusu Elie Mpanzu. Dunia haipo fair kabisa

    Sisi ndo sisi..... Hakuna kama sisi.
  3. Je, mashabiki wa Simba wanaolalamika gharama za safari kwenda Morocco wana hoja?

    Hili jambo linahitaji tafakuri ya kutosha. Kwanza, nianze kwa kusema kwa mtazamo wangu faida kubwa ya Simba kupata ndege kubwa ya serikali kwenda Morocco haipo kwenye kupeleka mashabiki au kupunguza ungaunga za njiani wakati wa kwenda Morocco. Faida ipo kwenye kurudi baada tu ya mechi na kuwa...
  4. Safari ya Simba kwenda Morocco

    Awali ya yote niipongeze Serikali kwa kutoa usafiri wa bure kwenda Morocco jambo hili litaongeza idadi ya wapenzi, wanachama na mashabiki kwenda kuishangilia timu yetu. Jambo la kuhudhunisha ni uongozi kuambua kuwalipisha watu nauli ya $1,200 hii nini maana yake? Nani yupo nyuma ya hii...
  5. Serikali yaipa Ndege Simba kuipeleka Morocco kwa Fainali ya CAF

    Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Palamagamba Kabudi akiwa Bungeni Jijini Dodoma leo May 08,2025 kwa niaba ya Serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza rasmi kwamba Serikali itawapa Simba SC ndege kuelekea Morocco kwenye mchezo wa fainali. “Baada ya...
  6. Full Time: Tanzania 2 Morocco 3 | Futsal WAFCON 2025 | Final Match

    Game iko on fire
  7. PreGE2025 Waziri Ndumbaro amshukuru Rais Samia kuisaidia Simba kufika fainali CAFCC, awaombea ruhusa wabunge wakaishabikie Simba Morocco

    Waziri wa katiba na sheria Damas Ndumbaro amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kuisaidia timu ya Simba kufika hatua ya fainali katika michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika huku akiwaombea ruhusa kwa naibu spika wabunge kadha kwenda nchini Morocco...
  8. Full Time: Tanzania 3 - 2 Cameroon | Futsal WAFCON 2025 - Morocco | Semi Final

    Baada ya kuwacharaza Senegal 3-1 na kuongoza Group letu, leo tunakipiga Semi Final. Dada na mama zetu wanaendelea kutuwakilisha uko leo wakicheza na Cameroon. Kikosi chetu hiki hapa: Tumeshinda tena asanteeeeee 3-2 Tanzania kwakua tmeshinda, sio tu kwamba tutaenda kucheza Fainali ila pia...
  9. Plot for sale in Kinondoni Morocco

    Plot Available For Sale. Location: Kinondoni Morocco, Uporoto Street, behind Vodacom building. Size: SQM 3326. Price: USD 1.2 Million (Negotiable). Document: Clean Title Deed. For further details or to arrange a viewing, kindly contact us. A small viewing fee will apply. Contacts: 0784 829565...
  10. Plot available for Sale in Kinondoni Morocco Uporoto St.

    Plot Available For Sale. Location: Kinondoni Morocco, Uporoto Street. Size: SQM 3326. Price: USD 1.2 Million (Negotiable). Document: Clean Title Deed. For further details or to arrange a viewing, kindly contact us. A small viewing fee will apply. Contacts: 0784 829565 or 0767 833345 @prathlimited
  11. Plot Available For Sale in Kinondoni Morocco

    Plot Available For Sale. Location: Kinondoni Morocco, Uporoto Street. Size: SQM 3326. Price: USD 1.2 Million (Negotiable). Document: Clean Title Deed. For further details or to arrange a viewing, kindly contact us. A small viewing fee will apply. Contacts: 0784 829565 or 0767 833345 @prathlimited
  12. Full time: Morocco 2-0 Tanzania | FIFA World Cup Qualification | Stade Municipal d’ Oujda | 26.03.2025

    Usiku wa leo saa 6:30 timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itashuka dimbani kuwakabili wenyeji wao Morocco. Ni mchezo wa aina yake kwani Morocco anaongoza kundi E akiwa na alama 12 huku Taifa Stars ikiwa nafasi ya 3 ikiwa na alama 6. Je Taifa Stars itaondoka na alama 3 au ni Morocco? Mchezo...
  13. Weka ubashiri wako hapa; Morocco Vs Taifa Stars

    Taifa stars ana mchezo mgumu dhidi ya Morocco kuelekea kufuzu kwa Fainali za Kombe la Dunia za Mwaka 2026 pale Marekani. Ni mechi ya ugenini ambayo itapigwa saa 6:30 usiku. Tabiri utabiri wako tuone nani atakuwa sahihi
  14. Nilisahau kupost hii au Mods wameondoa? Video matukio ya kutisha Morocco

    SIJAJUA KAMA NLIPOST HALAFU KUNA MODERATOR HAKUPENDA AU NILISAHAU KUPOST. ILA NITASHANGAA COZ HABARI IPO NA VIDEO IPO. MASLAHI YA NANI YAMEGUSWA HAPA? https://africabriefing.com/shocking-abuse-of-black-migrants-in-morocco/
  15. Hakika bado tuna safari ndefu ya kutransform mpira wetu: Yaani unajipima na coastal union alafu ukapate competition na Morocco kweli?

    FULL TIME - Friendly Match Coastal Union 1️⃣ ➖ 2️⃣ Taifa Stars ⚽️ Kibu Denis ⚽ Kibu Denis ⚽ Amara Bagayoko Naona Kabisa timu ya Taifa stars haipo serious huwezi kufanya maandalizi na coastal union na Kisha uende kuchuana kimataifa tena na timu zenye uchu kweli kweli Wa kutoboa kuingia kwenye...
  16. Mamlaka zisipochukua hatua za haraka mataa ya Morocco damu zitamwagika sio mda mrefu

    Nimemuona mzee wa kiarabu akishuka na silaha pale baada ya kijana kuchafua gari lake kwenye kioo cha mbele kwa madai ya kusafisha ingawa alikatazwa kabla. Wale vijana pale ni wasumbufu kupita kiasi mara nyingi sana wanachafua magari ya watu, wakati mwengine mtu ametoka car wash kabisa, ila...
  17. Samatta, Manula watemwa, Kelvin John arejeshwa Taifa Stars inayoenda kuwavaa Morocco mechi ya kufuzu Kombe la Dunia 2026

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kitakachoingia kambini kujiandaa kwa mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia 2026 dhidi ya Morocco. Kikosi hicho kinajumuisha wachezaji kutoka klabu mbalimbali za ndani na nje ya nchi...
  18. W

    Wananchi Morocco watakiwa kutokununua kondoo kwenye sikukuu ya Eid al- Adha kutokana na mfumuko wa bei

    Mfalme Mohammed VI siku ya Jumatano aliwahimiza Wamoroko kuacha kununua kondoo wa kuchinjwa wakati wa sikukuu ya mwaka huu kutokana na mfumuko wa bei wa kihistoria na mabadiliko ya tabianchi. Ukame wa miaka saba umepunguza idadi ya mifugo nchini humo, na kusababisha bei ya kondoo kupanda hadi...
  19. Live from King Jada Hotel Morocco DSM: Kikao Kazi Msemaji Mkuu wa Serikali, Gersom Msigwa, na Jukwaa la Wahariri, TEF

    Wanabodi, Niko kwenye ukumbi wa hoteli mpya ya King Jada Hotel, nikiwaripotia live, kikao kazi kati ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Gersom Msigwa, na Jukwaa la Wahariri Tanzania , TEF Karibuni. Paskali
  20. Oya mbona hii Taarifa ya Max Zengeli anaondoka kuelekea Morocco inafichwa sana kwa Sisi wana Yanga SC wenye Uchungu?

    Kwahiyo wana Yanga SC tumeamua kutumia 'Inshu' ya Chasambi ili Kuificha kwakujua kuwa Sisi Mashabiki ni hohe hahe?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…