morocco

  1. J

    SI KWELI Timu ya taifa ya Senegal imepeleka kombe la AFCON jeshini, baada ya CAF kutangaza kuipoka ubingwa wake na kuipa Morocco

    Naomba kupata msaada wa ufafanuzi
  2. Yesha

    Guinea Demands Morocco Be Stripped of 1976 AFCON Title Over Match Walkout

    Guinea has formally called for Morocco to be stripped of their 1976 AFCON title, reigniting debate over one of African football’s most controversial moments. The West African nation argues that Morocco national football team should forfeit the trophy after allegedly walking off the pitch for 15...
  3. Waufukweni

    Senegal wapokwa ubingwa wa AFCON 2025 na CAF, apewa Morocco

    Morocco imetawazwa kuwa mabingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika la 2025 baada ya uamuzi mzito siku ya Jumanne kueleza kuwa ushindi wa bao 1-0 wa Senegal kwenye fainali umebatilishwa. Senegal ilikuwa imeshinda mechi hiyo huku Pape Gueye akifunga bao la ushindi katika muda wa nyongeza, lakini...
  4. Orchid Island Real Estate

    Why Morocco Might Be the Quiet Winner

    As tensions escalate in the Middle East and the geopolitical climate in the region becomes increasingly fragile, the international environment once again reminds global investors how quickly stability can shift. Military strikes, proxy conflicts, and concerns about strategic energy routes like...
  5. W

    CAF Yatoa adhabu nzito kwa Senegal & Morocco baada ya Fainali ya AFCON 2025

    Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetoa adhabu kali na zisizo za kawaida dhidi ya Senegal na Morocco kufuatia ukiukwaji wa nidhamu uliotokea katika fainali ya AFCON 2025. Senegal imepigwa faini ya jumla ya dola za Marekani 615,000, ikijumuisha dola 300,000 kwa utovu wa nidhamu wa mashabiki, dola...
  6. ELI COHEN

    VIDEO: Mwana mitandao Speed akirushiwa ndizi na kufanyiwa sauti za nyani na wananchi wa Morocco

  7. Chizi Maarifa

    Ni kwanini Sehemu nyingi Duniani zilifurahia Morocco kufungwa?

    Nadhani Morocco kuna kitu wajifunze. Jamaa pengine ile kubebwa iliwafanya wachukiwe na watu wengi. Hadi nchi za Kiarabu nyingine zilifurahia tukio hili.
  8. Wakusoma 12

    CAF yamwadhibu kocha wa Senegal – Pape Thiaw

    CAF imesema tabia hiyo ni “unacceptable behaviour”. Thiaw atasimamishwa (suspension), idadi ya mechi bado haijatangazwa. CAF inachunguza video zote, na kuna uwezekano wa adhabu zaidi kwa maofisa au wachezaji. My take: Senegal wanapaswa waondolewe ushiriki wa kombe la dunia maana walionesha...
  9. Chizi Maarifa

    Sisi tunajitahidi Morocco wawe ndugu zetu. Wao wanajiona wanakaribiana na Wazungu. Why?

    Sisi wanatuona kama ni Nyani. Suala la ushindi wa Senegal limeonesha jinsi gani jamaa wana chuki na watu weusi. Ile match ni Miungu yetu ilitusaidia kuonesha nguvu zake. Kwa kweli imetuheshimisha sana. Hawa jamaa wanatuma na kuandika vitu vingi vya kutudhihaki. Hii yote ni sababu ya Ushindi...
  10. Waufukweni

    Dhahabu ya bei mbaya yamkwamisha Burna Boy uwanja wa ndege Morocco

    Mkudha: Rais wa CAF asema Burna Boy alizuiwa katika uwanja wa ndege wa Morocco kwa sababu ya thamani ya vito vyake vya dhahabu Rais wa CAF, Patrice Motsepe, anasema Burna Boy alizuiwa kwa muda mfupi katika uwanja wa ndege wa Morocco baada ya maafisa kuhoji kiasi cha vito vya dhahabu alichokuwa...
  11. Waufukweni

    FT: Senegal 1-0 Morocco | AFCON 2025 | Fainali | Stade Prince Moulay Abdallah | Jan 18, 10:00 PM | Senegal yatwaa Ubingwa

    AFCON 2025 Final Preview: Wenyeji Morocco wako tayari kwa pambano kubwa dhidi ya mabingwa wa 2021 Senegal Mchuano wa fainali wa Kombe la Mataifa ya Afrika 2025 unapingwa rasmi leo usiku m,ajira ya saa 4. Wenyeji na waliokuwa vinara kabla ya mashindano kuanza, Morocco, watakutana na mabingwa wa...
  12. Waufukweni

    AET | Nigeria 0-0 Morocco (Pen 2-4) | AFCON 2025 | Nusu Fainali | Stade Prince Moulay Abdallah

    Nigeria vs Morocco katika Nusu Fainali ya AFCON 2025 mchezo uliopangwa kufanyika kwenye Stade Prince Moulay Abdallah, Rabat ni pambano la kihistoria kati ya nchi mbili kuu za soka barani Afrika ambazo zote zimefika kwenye hatua hii bila kupoteza mechi yoyote katika mashindano haya. Nigeria ina...
  13. W

    Wamorocco wanunua tiketi zote kwenye mechi dhidi ya Morocco na Nigeria AFCON

    Mashabiki wengi wa timu ya Taifa ya Nigeria wanahofu ya kukosa nafasi ya kuingia uwanjani kuiunga mkono timu yao hii leo , kwa sababu mashabiki wa Morocco wamenunua tiketi zote. Hii sio mara ya kwanza kwa Morocco kufanya hivyo, walifanya hivyo mwaka jana wakati wa fainali ya timu ya wanawake...
  14. DesertStorm

    Kila la kheri kwenu Morocco 🇲🇦 Algeria 🇩🇿

    Wale mnaowatakia ama kuwaombea mabaya waarabu waondolewe kwenye mashindano haya ya AFCON na wabakie weusi tu mmefeli, tena sio kidogo, hakunaga duaa mbaya kwa mwenzio na ikakubaliwa.... huo ni ubaguzi na chuki ya wazi kabisa, wewe kama una imani haswaa na khofu ya Mwenyezi Mungu huwezi kufanya...
  15. M

    Upotoshaji ukome tangu leo, Jana Tanzania kule Morocco ilinyimwa Amani au Haki?

    Vichawa vya CCM kujeni mjibu hili swali Kwa nini jana timu ya Tanzania walishindwa kulinda Amani ilihali mwamzi alikuwa akiwasisitiza kuilinda hiyo Amani Nini kilitokea hadi washindwe kuilinda Amani? Kati ya Haki na Amani, nini kitangulie ili kulinda Neno moja wapo ya hayo mawili?
  16. Chibike

    SIJAWAHI kuona timu MBOVU afrika na duniani kama morocco

    Hongereni sana majemadari wetu na makomandoo wetu wachezaji wa taifa stars kwa kuionesha Dunia jinsi Gani morocco ni timu MBOVU kupita maelezo. Nina hakika asilimia mia refa kiazi mbatata wa mali amepewa rushwa na kwa mpira huo mbovu wa kubebwa basi nitamke wazi kua Senegal wanabeba kombe hili...
  17. SSH2025_2030

    Taifa Stars wanastahili Tuzo ya Amani huko Morocco

    Taifa Stars wanastahili Tuzo maalum ya Amani huko Morocco
  18. M

    Nani kasema?

    Kazi ngumu zaidi hapa duniani na ya kutisha zaidi, ni pale mtu anapofikia kiwango cha kudharau uhai wa mtu mwingine na kuamua kuwa muuwaji Ujasiri huuhuu utumike pia siku ya Kesho kumwangamiza Morocco nyumbani kwake kwa magori yasiyo na idadi kama kulivyofanyika No 29 Kwa kuwa tunaongozwa na...
  19. K

    Hii ndiyo sababu inayonifanya nitake Taifa Stars ifungwe na Morocco

    Katika kipindi ambacho Taifa linapitia majonzi kwa familia nyingi kupoteza Ndugu zao Kwa matukio ya tarehe 29 Oktoba 2025, na kuacha mayatima wengi bila hata mayatima Hawa kutokuwa wazazi wao wamezikwa wapi, na wengine waliouwawa kufuatwa majumbani kuchukuliwa na kuuwawa pasipo kushiriki...
Back
Top Bottom