moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. Baada ya Trump, Bilionea Namba Moja Duniani Elon Musk anafikiria kuja na mtandao wake wa kijamii

    Baada ya Trump kuzundua mtandao wake wa kijamii mwezi uliopita, Tajiri Elon Musk anafikiria kuzindua mtandao wake mpya ambao utawapa watu uhuru kamili wa kutoa maoni. Ikumbukwe kwamba hata Trump analaumu kwamba mitandao iliyopo inaminya uhuru wa watu kujieleza, inapangia watu waandike nini...
  2. Moja ya Dalili ya Kiongozi Mpumbavu ni kutaka kuogopwa.

    Wakuu Kwema! Leo sina mengi Sana ya kusema, Mtoto wangu aliniuliza hivi; Baba ni Dalili gani ya wazi itakayonifanya nimjue kiongozi huyu ni Mpumbavu ili nijiepushe naye? Swali lake linashangaza Sana. Ukizingatia yeye ni mtoto wa miaka sita tuu. Nikamjibu; Kiongozi Mpumbavu utamtambua Kwa...
  3. Mwimbaji wa Sauti Sol, Chimano hayupo tayari kupata mtoto

    Mwanamuziki wa bendi ya Sauti Sol, Willis Austin Chimano ameweka wazi kwamba kwa sasa hayupo tayari kupata mtoto. Chimano ambaye takriban miezi mitatu iliyopita alikiri kuwa shoga amesema kwamba kupata mtoto ni jukumu kubwa ambalo bado hayuko tayari kulichukua. "Kwa sasa bado nakua. Kupata...
  4. Nauza maziwa mgando lita moja Tsh1,500/= mkoa wa Kagera

    Habari zenu wanajf. Nitumie fursa hii kuwatangazia kuwa ninauza maziwa mgando kwa bei ya tsh1,500/= kwa lita moja maziwa yetu ni mazuri hayaja chakachuliwa kwa namna yoyote ile. Makazi yangu ni mkoa wa Kagera. Kama upo mkoa tofauti na mkoa wa Kagera itakupasa kulipia gharama za usafirishaji...
  5. S

    Hivi katika sehemu za biashara, moja ya sharti lisilo rasmi la leseni wanazopewa ni kufungulia TBC?

    Hapa Dodoma, nimefanya kautafiti kadogo kasiko rasimi, na nimegundua sehemu nyingi za biashara kama mabaa, migawaha, n.k, muda mwingi wanapenda ku-tune TBC na Mama anapokuwa live, basi ndio kabisa watamuonyesha mwanzo mwisho. Sio kosa na sio vibaya kufanya hivyo. Swali ni je, vituo vingine...
  6. N

    Interview ya MKUTA ni moja ya interview mbovu niliyowahi kuhudhuria katika maisha yangu

    Mwitikio wa Kudhibiti Kifua Kikuu na Ukimwi Tanzania (MKUTA) Hawa jamaa niseme tu kwamba hawapo serious au hawajui nini wanatakiwa kufanya Kama mwezi umepita walitangaza nafasi moja ya kazi wakanialika interview kupitia Zoom Meeting, chakushangaza kuna rafiki yangu mmoja nae aliniambia...
  7. Daktari: Muhimu kupima figo angalau mara moja kwa mwaka

    Wananchi wanashauriwa kufanya vipimo vya magonjwa ya figo angalau mara moja kwa mwaka, ili kupunguza hatari ya utambuzi wa magonjwa hayo katika hatua za hatari. Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Figo wa Hospitali ya Saifee Tanzania iliyopo Kinondoni, Dk Mercy Mwamunyi amesema hayo alipokuwa...
  8. Dubai na Tanzania zilikuwa chini ya mtawala mmoja? Ilikuwa nchi moja?

    History ya nchi zetu inashangaza sana. Cha ajabu Sisi wenyewe hatuchimbi history vizuri. Around mwaka 1830 wakati Sultan wa Oman anaamua kuwa Zanzibar itakuwa second capital baada ya Muscat. Na akaweka gavana Mombasa na Dar es Salaam. Huu utawala wa huyu Sultan huku East Africa ulianzia...
  9. Ulisema "kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake!" Una habari Kuna mbuzi wana kamba moja tu!

    Ndio tumekubali tutakula kwa urefu wa kamba zetu,lakini unajua Kuna mbuzi wanakamba moja tu..? Wewe unakamba nyingi na nyengine wawezakuwa umezisahau ila zipo!.. sikufundishi ila sijui umewawaza wenye kamba moja..? Kula,kunywa,Kodi,usafiri na gharama zao zote za maisha hutegemea kamba hiyo...
  10. Mwanamke anaposema "Mwanaume wake haeleweki" anamaanisha moja kati ya haya

    Ijumaa Kareem! Moja ya sababu zinazofanya mwanamke amuache mwanaume kimahusiano ni pamoja na "kutoeleweka Kwa Mwanaume". Bila Shaka ulishawahi kusikia Kauli Kama hizi Kwa wanawake, wakisema mwanaume Yule haeleweki, mume wake haeleweki, mchumba wake haeleweki. Haya ni baadhi ya mambo...
  11. Haya mambo tuambizane Ukweli bila woga. CHADEMA mnanisikia? Toeni Tangazo tujue moja

    Corona, Covid 19? Imeisha? Imeishaje ishaje? Mbowe si alikuwa mpaka anavaa gloves zile za waendeshea pikipiki? It was stupid. Nliwahi sema aachane na hayo mambo ya kijinga mkanitukana sana. Mimi nitasema ukweli fitna kwangu mwiko. Tunaona kwenye kikao hakuna aliyevaa Barakoa, hakuna social...
  12. Naomba kupata ufafanuzi kuhusu ufundishaji wa wanafunzi wenye mahitaji maalumu (VI, HI, II) pamoja na wale wa kawaida katika darasa moja

    Kumekuwepo na sera ya ufundishaji wa wanafunzi kwa kujuimuisha wenye mahitaji maalum na wale wa kawaida katika shule/ darasa moja. Wanafunzi hawa katika baadhi ya shule wanafundishwa na walimu waliosomea ualimu wa kawaida. Tatizo linakuwa ni namna ya kuwasiliana na wanafunzi hao hasa wenye...
  13. Aden Rage aache dharau na TFF imfungie kwa kuita Ligi Kuu ya Mbuzi

    Jana akihojiwa na vyombo vya habari Ismail Aden Rage ameiita ligi kuu ya Tanzania ni ligi ya mbuzi isiyo na lolote. Kiongozi wa aina yake tena kiongozi mustaafu wa TFF haikuwa busara hata kidogo kuongea kauli kama ile ya ki fedhuri! TFF watu kama hawa ndiwo wa kufungiwa hata miaka 100.
  14. Nahitaji Ofisi ya kukodi kwa wiki moja Dar

    Habari wakuu. Iwe maeneo ya kati kati ya jiji au jirani na City Center. Lengo ni tunatoka mkoani kuja kurekodi kipindi cha afya ya ngozi. Piga 0713039875
  15. Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

    Mwaka 2019 aliwadanganya GSM wale wafadhili wa Yanga kuwa Jiwe anataka ajengewe nyumba. Kweli GSM wakamuamini na wakajenga. Baada ya hapo GSM wakawa wanataka Jiwe mwenyewe akazindue nyumba hiyo lakini Bashite akawa anawapotezea. Ndipo kwa namna yao wakamfikia Jiwe na mchezo ndipo ulipoharibika...
  16. Ukraine yazika watu kwenye kaburi moja

    Kutokana na mzozo unaoendelea, Naibu Meya wa #Mariupol, Sergei Orlov amesema hawawezi kujua idadi halisi ya waliofariki kutokana na mashambulizi japo idadi inakadiriwa kuwa 1,300 Ili kupunguza maiti mtaani, uongozi wa jiji umechimba mfereji wa urefu wa mita 22 na kuzika maiti kwa pamoja zikiwa...
  17. Kama Taifa hatutakuwa na Sera moja ya maendeleo basi maendeleo tutayaona kwa wenzetu

    Tanzania tumeamua kuwa nchi ya kidemokrasia ya vyama vingi. Hili ni jambo jema ili kushirikisha watu wote katika maendeleo yetu. Lakini hatuwezi kupata maendeleo kama kila chama au kiongozi kuwa na sera yake ya maendeleo. Mfano CCM imekuwa chama tawala tangu tupate uhuru lakini kila awamu...
  18. Kukupa laki moja ndio umuite mume wako mwanaume suruali?

    Igwee! Ni pisi Kali sikatai. Mtoto mweupe pee! Mtoto kanyooka vibaya mno. Kiuno Dondora. Yakamshinda nikatema sumu ya king cobra, mtoto chaliii miguu juu macho rebwerebwe. Tukapanga siku yakukutana ili nimnyandue, siku ikafikia. Toto likasema halina nauli, nikamuagizia Bolt, mtoto akaletwa...
  19. Wafungwa kula mlo mmoja kwa siku na hufanya kazi ngumu, hii ni haki?

    Hizi jela zetu zimekuwa sehemu ya mateso na sio sehemu ya kumrekebisha mtu tabia. Mfano hapa jela ya Mbeya Mjini watu wanafanya kazi asubuhi hadi saa nane mchana, hio kazi wanayofanya ni nzito ambayo uraiani anastahili malipo ya chini iwe kumudu milo miatu lakini wao wanapewa chakula mara moja...
  20. Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Wakuu, Kutokana na wadau kadhaa kuja na mijadala anuai inayoonyesha kuwa wanayo mitaji yenye kuanzia kiasi cha TZS 100,000/= hadi TZS 999,999/=, tumeona ni vema tukawa na mjadala mmoja endelevu ambao utatoa mawazo mbalimbali ya jinsi ya kutoka kimaisha ukiwa na mtaji huo. Aidha, tunashauri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…