moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Je, Ujasusi wa Nchi za Magharibi waweza kuwa moja ya ujasusi wakutisha zaidi ktk Karne ya sasa?

    Igweeee wana Jamii. Naipongeza sana Jamii forum kuwa sehem ya kila mtu wasilisha mawazo na fikra yake pasipo vunja sheria za nchi na kimataifa. Mimi leo nimependa kuchambuwa ujasusi wa Nchi za Magharibi ambao kwa sasa ndio Habari ya mjini. Uwenda unajuwa ama ujuwi ila Kuna jambo lakutisha sana...
  2. JamiiForums Tanzania Tunauza Rim paper aina karibia zote cartoon moja sh 65,000/= unatumiwa mpaka mkoani

    Kama Tangazo linavyosema tunauza rim paper cartoon moja sh 65,000/= kwa aina zote za rim, kwa aliyeko dar ukichukua cartoon Zaid ya mbili unaletewa bure na tunatuma mpaka mikoani zifuatazo ni mfano wa zilizopo. 255713520180
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaonunua Magari kwa Kuyaagiza Moja kwa Moja kutoka 'Majuu' na hawa wanaoyanunua 'Yards za Tanzania' Wanadharauliana sana?

    Wenyewe wanasema kuna Raha yake Kuliagiza Mwenyewe kutoka Mamtoni ( Majuu ) kuliko Yule ambaye anaenda Kununua Yard tena na Fundi wake kabisa Ili Kubahatisha lililo zuri na salama. Haya mlio na Magari yenu mliyoyaagizia kutoka Majuu na mliyonunua hapa hapa Yards za Tanzania tafadhali karibuni...
  4. JamiiForums Tanzania Primal, season moja kali sana

    Hii season kali sana, actions mwanzo mwisho.
  5. JamiiForums Tanzania Neno moja kwa aliyekutoa bikra

    Wanawake nawakaribisha mtoe neno moja kwa dume lililokutoa bikra, inawezekana bado uko naye au yuko mbali mshaachana naye. Kupitia uzi huu nimeona siyo busara kuwasahau hawa watu muhimu katika maisha yenu. Wakumbukeni kwa maneno mawili matatu au hata neno moja tu. Karibuni
  6. JamiiForums Tanzania Kilimo cha Nyanya: Aina za mbegu, mbinu za kulima na masoko yake

    Utangulizi: Nyanya ni zao la mboga ambalo hulimwa sehemu nyingi duniani kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na pia kama zao la biashara. Inahisiwa kuwa asili ya nyanya ni nchi ya Peru/Equador huko Amerika ya Kusini. Mmea huu ulianza kuzalishwa kama zao katika nchi ya Mexico na baadaye kusambaa...
  7. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu hukujua kuwa wanasiasa ni wanafiki? Angalia wanafiki leo hii wapo meza moja na vibaraka wa mabeberu. Walikutumia vibaya kubwatuka

    Ili uwe mwanasiasa kwa siasa za kiafrika lazima uwe mnafiki. Lazima penye uongo ukubali na kusapoti huku ukikenua meno. Hayati Magufuli alikataa unafiki na ndiyo maana mpaka leo Watanzania wanasikitika. Lissu hakujua Mbowe na wana CHADEMA ni wanafiki na wachumia matumbo. Wakamtumia Lissu...
  8. JamiiForums Tanzania Wanaume ichukueni hiii, kama hufanyi anza sasa

    Kama ulikuwa ni mtu usieenda kabisa club, si mbaya ila nikwambie kitu bro jitahidi walau once kwa miezi miwili tembelea hayo maeneo, fululiza weekend mbili mfululizo club zenye majina, Utanishukuru Siku Moja. Kama hujawahi tembelea sehemu wanawake wanajiuza, unawasikia tu watu wakitamka tu...
  9. JamiiForums Tanzania Je kumiliki blog nyingi zenye mambo tofauti huingiza pesa nyingi?

    Kuna mdau nilikua naongea nae anasema anablog tano hadi nimeshtuka! Anasema kwa mwezi angalau kuliko alivo kua na blog moja, wadau wazoefu hili likoje?
  10. JamiiForums Tanzania Marekani: Urusi ikitumia Nyuklia tutaingilia kati moja kwa moja

    Mshauri wa Masuala ya Usalama wa Marekani, Jake Sullivan ametoa kauli hiyo baada ya Rais wa Urusi, Vladimir Putin kunukuliwa akigusia uwezekano wa Nchi yake kutumia silaha hizo katika vita dhidi ya Ukraine. Sullivan hajafafanua ni kwa namna gani watajibu mapigo moja kwa moja lakini amesema...
  11. JamiiForums Tanzania Wasanii wa bongo hawatoi album, wanatoa tu nyimbo nyingi kwa siku moja

    Hizi nyimbo wanatoa wakina HARMONIZE (HIGH SCHOOL), IBRA (THE KING OF NEW SCHOOL) .kwa upande wangu ni mkusanyiko wa nyimbo kali tu. na sio album. yale maneno ya ROMA MKATOLIKI kwenye nyimbo ya 2030 " MZIKI UMEJAA STRESS KILA NYUMBA INA MSANII " ayo maneno yalikuwa yapo sahihi na ndo...
  12. JamiiForums Tanzania Bei kwa Kilo Moja. Mchele 3,500, Maharage 3,800

    Juzi nimelejea toka huko majuu niliko Kaa mda wa mwezi hivi. Niliacha Mchele ukiwa 2,800 kwa kilo. Mda huu niko dukani Bei ndio hizo hapo juu. Hii nchi hadi tufike January 2023 ambapo wakulima wataanza kuvuna tena tutakuwa tumechoka sana.
  13. JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ya moja ya tarehe mbaya kutokea (Worse Date Ever)

    1. Binti alikuwa mwanachuo, chuo flani Mkoani. Nimeenda kikazi ndo bado kijana miaka hiyo. Katika kupita pita town nikakutana naye kwenye duka moja la vinywaji. Nikamtamani nikaomba namba ya simu. Akanipa. Baadaye tukawa tunachat na hatimaye nikamwambia kusudio langu na kumtaka aje tupate...
  14. JamiiForums Tanzania Ebu tujadiliane hili suala mara moja wakuu

    Naishi Hapa Dar mtaa fulani, Nina kama mwaka hivi sasa, Na mahali nilipopanga ni pana mazingira mzuri kiasi chake maana mwenye nyumba wetu ni mtu pia anaependa mali zake hivyo basi hayupo nyuma kutuhakikishia tunapata yale mahitaji ya msingi Kama maji kwa haraka zaidi na marekebisho ya dharura...
  15. JamiiForums Tanzania Ugomvi wa Profesa Kapuya na Mbowe jioni moja pale Bungeni

    Ila Mbowe amepitia mengi sana! Jioni moja pale Bungeni kwenye Ukumbi almaarufu sasa wa Msekwa uliibuka ugomvi wa maneno ya kejeli baina ya Waziri wa Elimu na Utamaduni kipindi hicho bwana Kapuya na bwana Mbowe uliopelekea wakubwa wale nusra wazichape. Kisanga kilianza pale Mbowe mchango wake...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Yanga watashinda mbili kwa moja nyumbani, na kutoa sare ugenini, hivyo kufuzu kwa hatua ya makundi

    Huu ndio utabiri wangu kwa Yanga watapocheza na Al Hilal ya Sudan nyumbani na ugenini. Kwa upande wa sare, uwezekano mkubwa ni sare ya moja moja au mbili mbili na si zaidi ya hapo Tofauti na hapo, ni ushindi wa tatu kwa mbili nyumbani na sare ya mbili mbili ugenini. Msisime sikuwaambia.
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia apandishwa Basi huko London kwenye Msiba wa Malkia Elizabeth II

    Aibu! Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi. Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha 😄.
  18. JamiiForums Tanzania Kila ndoto ina sababu na kusudi, usije ukapuuza ndoto yako hata moja

    Ni kweli kwamba ndoto, maono na njozi huja mara nyingi katika hali ya mafumbo sana ambayo kibinadamu ni ngumu kuelewa, lakini kwa msaada wa Mungu aliyefunua hayo huandaa na tafsiri halisi kuyahusu maono hayo ama ndoto na njozi hizo. Nina wakaribisha katika tafsiri za Ndoto.
  19. D

    JamiiForums Tanzania Yanga kwa utaratibu huu watalia siku moja

    tangu kuanza kwa ligi klabu ya Yanga imekuwa ikipata matokeo kipindi cha pili. wasipobadilika itawacost siku moja hasa katika mashindano ya CAF coz timu zijazo sio za kitoto.
  20. JamiiForums Tanzania William Saliba ni moja kati ya mabeki wa kati bora zaidi duniani

    Mwaka 2019, aliponunuliwa na Arsenal kwa paundi milioni 27 akiwa na miaka 18 niliona kama ni hasara. Alikaa kwa mkopo Saint Etienne, Nice na Marseille. Kazi anayoifanya sasa hivi baada ya kurudi kutoka kwenye mkopo ameonesha waliomsajili waliona mbali. Kila la heri kwake katika miaka ijayo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…