moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Uganda na Zambia ni moja ya nchi kumi zitakazopata fursa zaidi ya soko nchini China

    Kwa mara nyingine tena China imeendelea kuonyesha udhati wake kwenye kuzipatia fursa nchi zilizonyuma kiuchumi, kwa kufungua zaidi soko lake na kupunguza masharti ya kuingia kwenye soko. Hatua mpya ya mwelekeo huu ni ile iliyotangazwa na kamisheni ya ushuru ya baraza la serikali ya China...
  2. JamiiForums Tanzania Kiapo cha Baba Mkwe; Upendo wa Baba Kwa Binti Yake; Moja ya sharti atakalompa Mkwe wake(atakayeoa binti yake)

    KIAPO CHA BABA MKWE; UPENDO WA BABA KWA BINTI YAKE, MOJA YA SHARTI ATAKALOMPA MKWE WAKE(ATAKAYEOA BINTI YAKE). Anaandika, Robert Heriel Hakuna atakayebisha kuwa Baba yeyote anaupendo mwingi Kwa mabinti zake. Halikadhalika, mabinti wengi huwapenda Baba zao zaidi kuliko Mama zao. Wakati kina...
  3. JamiiForums Tanzania Toyota Rav 4 Miss TZ moja ya Karata nzuri walizocheza Toyota

    . Rav 4 hii ni generation ya 3 kwa Rav 4 ambayo ina generation 5, Rav 4 Miss Tz Coded XA Imeanza 2005-2012. Na naweza sema ni moya ya gari ambayo imefanikiwa kuwapa watu feeling kama wanaendesha big SUV.. . Kama ile old gari ni ngumu na himilivu aisee ndo maana wakaiita Land Cruiser mtoto na...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Droo ya Hatua ya Makundi CAF: Yanga yapangwa na TP Mazembe, Simba wapangwa na Raja Casablanca

    Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya ligi ya mabingwa pamoja na shirikisho Africa, Simba na Yanga mchana huu watakuwa wakifuatilia droo ambapo makundi yatapangwa. Droo hii itaanza saa 8:00 kwa masaa ya hapa nyumbani. Hivyo karibu jukwaani ujue nani kapangwa na nani? Droo itakuwa live...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mo Dewji akamatwe mara moja kwa udanganyifu na arudishe hisa zote bila kupewa chochote

    Ati anataka kuuza hisa zake zipi? Kama ni kweli akamatwe na ahojiwe Kwa kutupotezea muda wetu, hizo hisa alinunua lini na pesa alimpa nani? Na kama pesa ipo inafanya kazi Gani? Ifike muda tuwakatae wahuni wanaokuja kuharibu Mpira wetu na vilabu vyetu!
  6. JamiiForums Tanzania Mimi na kaka yangu tulipiga kura za hapana lakini matokeo yanaonesha kura ya hapana ni moja kule Dodoma

    Tulikuwa tumekubaliana hivyo kabla ya vikao lakini baada ya matokeo kaka akaanza kunifokea kwanini nilifanya kinyume na makubaliano. Hapo ndio nikaelewa kumbe kilichotokea Dodoma ni upotoshaji mkubwa kwasababu mimi pia nilipiga kura ya hapana.
  7. JamiiForums Tanzania Wasambaa ni moja ya watu wenye lafudhi mbovu zaidi Tanzania

    Wako kienyeji enyeji sana, kile Kiswahili mnachokisikia cha watu wa Tanga, ni Wabondei na w Wadigo, Wasamba hamna kitu
  8. JamiiForums Tanzania Moja ya mashujaa wanoishi

  9. L

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wanauza machungwa moja kwa moja kwenye mtandao mkoani Hunan China

    Mavuno mazuri ya machungwa yamepatikana mkoani Hunan, China, na watangazaji wanauza bidhaa hizo moja kwa moja kwenye mtandao ili kuwasaidia wakulima kuongeza mapato yao.
  10. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kupigwa mswaki zaidi ya mara moja kwa siku?

    Ya nini kama bado meno yatasumbua tu huko mbele, kuna ndugu yangu tangu kijana mdogo hawezi kulala bila kupiga mswaki kama masharti ya mganga, sasa ni mzee lkn ashafanya root canal zaidi ya 1 na saa hiz kuna jino linamsumbua nafkiri atafanyiwa nyingine. Wengine kila baada ya kula wanapiga...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Naamini lengo la CCM ni zuri lakini hili la kuteua wagombea siku moja kabla ya uchaguzi linafikirisha

    Kidumu Chama cha mapinduzi, Pongezi na hongera kwa kila mmoja aliyefanikisha uchaguzi wa Chama na jumuiya kwa ngazi zote. Mmefanikisha kuitekeleza demokrasia kwa vitendo. Kesho tarehe 07/12/2022 Chama kinakwenda kuhitimisha uchaguzi kwa kuchagua viongozi wakuu wa chama na wajumbe wa NEC Taifa...
  12. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Bongo maisha yamekuwa magumu kwa sasa? Nimepigwa mzinga na wahitimu watatu ndani ya siku moja. Kiwango wanachoomba ndiyo kimenishangaza!

    Toka Mwezi wa tisa nimekuwa nikipigwa mara KWA mara simu na watu ninao wafahamu wakiomba kukopeshwa hela. Wanasema maisha yamekuwa magumu sana hela hawaioni. Leo nimepigwa simu na watu watatu graduates ambao ninafahamiana nao. KILA mmoja kanipigia KWA wakati wake. HAWA ni graduate ambao...
  13. JamiiForums Tanzania Nani aliyewadanganya Watanzania kuwa moja ya Sifa ya kuwa Rais wao ni mpaka Umiliki PhD ya Kutishia / Kubembeleza Watoaji?

    Anyways kwakuwa sasa kwa Tanzania kama una Ndoto za kuja Rais wao basi Sharti ni lazima Umiliki PhD (Doctorate) iwe ya Academical au Honorary (ya Huruma, Utu na Upole) ili Uogopwe na Wapiga Kura. Na Mimi GENTAMYCINE najipanga sasa Kuwaroga Watoa PhD's maarufu nchini UDOM na UDSM ili wajikute tu...
  14. JamiiForums Tanzania Tunga sentesi moja kwa kutumia hii picha.

  15. JamiiForums Tanzania Wanajeshi 600 kuuawa kwa siku moja, hivi Putin huwa anawajibu nini wazazi wa hawa vijana

    Hivi mbona Marusi sio kama wazungu wengine, ujamaa husababisha watu wanaishi kama mazombi ya kupelekeshwa na serikali, mtu mmoja kwa uchizi wake ameingiza nchi kwenye vita visivyokua na tija yoyote na kusababisha maelfu ya vifo vya vijana, ameishiwa wanajeshi mpaka anaokoteza walalahoi vijiweni...
  16. JamiiForums Tanzania Qatar yapiga marufuku mapenzi ya jinsia moja, ulevi na biashara ya ngono wakati wa Kombe la Dunia

    Wapenzi wa Soka ambao watakuwa nchini Qatar kwa ajili ya Kombe la Dunia la Novemba 2022 wamepewa maagizo ambayo ni lazima wayafuate ili kufurahia kukaa kwao wakati wa mashindano ya kimataifa ya soka. Zifuatazo ni hatua muhimu za tahadhari: Mapenzi nje ya ndoa ni kinyume cha sheria nchini...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Moto wa Kabaka: Wajumbe mkutano mkuu UWT wamekubaliana kwa kauli moja Kabaka mitano tena

    KABAKA MITANO TENA MGOMBEA NAFASI YA MWENYEKITI UWT TAIFA Wajumbe kwa kauli Moja wamekubaliana kumchagua kwa awamu nyingine (MITANO TENA) ndugu Gaudensia Kabaka ili kuendeleza Yale mazuri aliyoyaanzisha ili yaweze kukamilika na kuyasimamia yale yaliyokamilika. Kauli hiyo imekuja siku chache...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Rais kukukumbusha maono yangu ya kulifanyia kazi eneo la Jangwani. Vizazi vitakuingiza katika kundi la mashujaa moja kwa moja

    Hili ono haliishi kunijia, nami, kwa upendo mkuu, nakufikishia Rais wangu mpendwa. Tafadhali fanya kitu pale jangwani; ondoa mateso ya mafuriko kila mwaka tangu tupate uhuru na badala yake ligeuze liwe eneo la kufurahi na kiuchumi, yaani 'kijiutalii' fulani hivi. Mama uwezo (fedha au mbinu za...
  19. JamiiForums Tanzania Bomba la gesi lalipuka Urusi, zaidi ya watu milioni moja kukosa gesi, hivi vita vinakwenda pabaya

    Hili tukio linadhaniwa kama ulipizaji wa kisasi baada ya Urusi kushukiwa kwenye ulipuaji wa bomba la gesi la "Nord Stream". Zaidi ya Warusi milioni moja kukosa gesi, huku wakielekea kwenye msimu wa baridi, kwa kifupi hivi vita havifai, Putin anapaswa afahamu anaowashambulia na wao pia wako...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Olivier Giroud anaenda kuwa mfungaji bora wa jumla wa Ufaransa kupitia Kombe la Dunia 2022

    Jamaa kashamzidi Michael Platini, David Trezeguet na Zinedine Zidane kwa idadi ya magoli kwenye Timu yaTtaifa ya Ufaransa. Amebakisha magoli mawili kuifikia rekodi ya Thierry Henry. Anaonekana kama mchezaji anyedharauliwa zaidi hapa duniani na ninaona akienda kupata kuanzia magoli matatu (ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…