CDF General Mkunda washauri Wanajeshi wako wasipende 'Kujilundika' katika 'Baa: Moja na 'Kugambeka' ovyo

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,686
109,103
Kuna Baa Tatu maarufu zilizoko sehemu tofauti tofauti Wilayani Kinondoni Wamejazana kiasi kwamba Tanzania ingekuwa na Waasi au Magaidi na Bomu Kutupwa waliko hivi sasa Jeshi na Tanzania lingekuwa linaomboleza Vifo vya Wanajeshi wake wapatao Tisini ( 90 ) waliokuwa Wakilewa ( Wakigambeka ) katika Baa maarufu tofauti tofauti Tatu Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar es Salaam.

Ukiona GENTAMYCINE nimeanza Kukemea Jambo fulani jua kuna Kitu kibaya nimeanza Kukihisi kuwa kisipowahiwa sasa kwa Kudhibiti hali itakuwa mbaya huko mbeleni na mtakuja hapa kusema kuwa GENTAMYCINE ni Nabii au Muonaji au Mchawi kwa Kutabiri Tukio ( Matukio ) ambayo huwa yana 85% ya kutokea.
 
Bar ya kawe pale kuanzia leo wameanza kumiminika wajeda wakigambeka
Hasa ya La Roca na Wanalewa ( Wanagambeka ) Kipumbavu na Kishamba mno na Siku Adui akitupa Bomu pale Idadi yao Ndogo ambayo tutawazika ni 30 hadi 50.
 
Back
Top Bottom