moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Neno Moja kwa Mwasibu

    Kati ya watu ambao wanaumia sana na matokea ya Jana basi Mwasibu ni no 1 , sasa huu ni Uzi maalumu kwa ajili ya kumtia moyo ndugu yetu Mwasibu. Uzi Tayar Updates: Inatia Uchungu kwa Mwasibu Kukosa Kikombe
  2. JamiiForums Tanzania Afghanistan ni nchi moja safi sana kibinadamu kama mgeni japo vyombo vya habari kutangaza vibaya

    Hawa jamaa sio kama vyombo vya habari vinavyo chukua mda wa stive mangere,mwijaku,dotto magari,baba levo na wapuuzi ambao wamejazana kila kona kueleza raisi wa nchi bila kufumbua watu nchi ambazo ni fursa. Katika kitu ambacho unatakiwa kuelewa walipotokea na ukarimu wa afghanistan ni kwamba...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi kuna watu wenye roho mbaya kama wahindi, wasomali, watutsi, na waarabu duniani? Ukiangalia wanavyowabagua wenzao ambao Ulaya huwekwa kundi moja

    Sina chuki na watu niliowataja hapo juu. Ila kiasili na kimatendo wana roho mbaya, wachoyo, na zaidi ni wabaguzi wa kunuka. Ukiwakaribisha kwenye nchi yako jua watataka wakutawala, wakubague, hata wakutupe nje. Je ni kwanini Tanzania tumejaza watu hawa bila kuchelea hatari yao? Ukienda...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Rufiji kumpitisha Mchengerwa mgombea pekee

    Wakuu Katibu wa CCM Wilaya ya Rufiji Prudence Sempa amesema atalifanyia kazi Ombi la Mwenyekiti wa Halmashauri ya Rufiji la kuwataka kumpitisha Mbunge Mohamed Mchengerwa kuwa Mgombea pekee wa Ubunge kupitia CCM. Bw. Sempa alitoa kauli hiyo baada ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Rufiji Abdul...
  5. JamiiForums Tanzania KERO YAS (zamani TIGO Tanzania) kila ikifika saa moja usiku hadi saa 4 huduma yao ya kifedha inasumbua nini shida?

    Hawa Nyash sorry YAS Yaani ikifika saa 1 usiku basi sio Lipa kwa mix by YAs sio wakala kukuwekea pesa mtandao unakua shida... Ila asubuhi na mchana inakuwa fresh tu! Na ukipiga huduma kwa wateja wanajibu simple tu wanashughulikia.. Lakini tatizo ndio liwe kila siku??
  6. JamiiForums Tanzania Watumiaji wa Simcard moja karibuni

    Wakuu Mimi natumia Sim Card Moja tu kufanya Mawasiliano yangu yote, Pamoja na Kuwa simu yangu ina Support dual sim na Ina Esim capability ila still bado naona Furaha Kutumia Line Moja tu at a time, naona Hii pia inaipa simu yangu efficiency fulani Simu yangu ina Line 6 ambazo ni Esim almost...
  7. JamiiForums Tanzania Nawatia moyo JWTZ, kifo ni matokeo yasiyokwepeka kwenye kazi yao; wakiua mmoja, ongeza Battallion moja

    Huo ni mchezo maarufu sana unaojulikana kama Chess. Ni mchezo ambao ukizoea kuucheza sana, utaitengeneza akili yako kuwa mtu wa mikakati zaidi kwa wakati wote. Kuna mafunzo mengi sana unaweza kujifunza kwenye mchezo wa chess, mojawapo ikiwa ni 'sacrifice' and 'trade off'; ili ushinde mchezo...
  8. JamiiForums Tanzania AI yamuweka Kagame kuwa kiongozi bora zaidi kuongoza Afrika moja iliyoungana!

    Ni ChatGPT AI
  9. JamiiForums Tanzania Wakati Chama cha Mapinduzi kinaelekea kutimiza miaka 48 tangu kuzaliwa kwake, moja ya kitu kinajivunia ni kuwa na ofisi nzuri zenye hadhi na muonekano

    Wakati Chama cha Mapinduzi kinaelekea kutimiza miaka 48 tangu kuzaliwa kwake, moja ya kitu kinajivunia ni kuwa na ofisi nzuri zenye hadhi na muonekano wa chama. Hii ni ofisi ya CCM Kata ya Manzese ambayo muonekano wake ni bora na yenye kuvutia. Asante Dotto Magari kwa kututembelea na...
  10. JamiiForums Tanzania Paradise inaweza kuwa moja ya show yenye pilot episode kali zaidi

    Achana na trailer, synopsis ama kitu chochote. Tafuta means ya kustream hii kitu ama kudownload kupitia torrents. Utakuja kukubali.
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kufanya nae mapenzi aliniachia laki moja na ujumbe unaosomeka "nimepata ninachotaka"

    Hali vipi wana JF! Niingie moja kwa moja kwenye kisa changu : 👉Nilipata mwanadada kama miezi mitatu hivi iliyopita 29 of age nikawa nakula nae gud time namtoa out kwenye viwanja vyetu vya bei ya kawaida, 👉Basi siku ya siku juzi jumamosi weekend tukaenda lodge moja hivi tukafanya yetu Ila...
  12. JamiiForums Tanzania Imethibitishwa shilingi Milioni moja na elfu hamsini imetumwa kwa Mama yangu Mzazi

    Hayo sio maneno yangu, bali ni maneno ya Vodacom Mpesa, wakinijulisha kuhusu muamala nilio ufanya asubuhi ya leo. Miaka kadhaa iliyo pita hela hii ningeiweka kwenye akaunti ya Mr. Muggetta in the name of school fees. ( Nilikuwaga fala Mie.. Nizomeeni Kwa ufala nilio kuwaga nao) Wewe...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chawa wanasema 2025 wanaenda na mama, ingawa hawajui wanaenda wapi

    Wakishapewa mikopo na bahasha wanaongea tu none stop. Kila mtanzania anaepata nafasi ya ulaji anabadilika moja kwa moja. Kila mmoja anaangalia tumbo lake hata kama litakost wengine. Pesa ya kuwapeleka wasanii dodoma ipo ila kuweka gloves za wazazi kunifungulia hakuna. Chawa wamekua kirusi...
  14. JamiiForums Tanzania Kama una lipa ada milioni moja na nusu hadi 3 Kwa mwaka, badala ya Dola elfu thelathini Basi jua unafanyiwa mchezo

    Vitu vya kupewa Bure wewe unavinunua Kwa hela , hela yenyewe ndogo. Wenzako wanauziwa Dola elfu 30 Kwa mwaka wewe unauziwa Dola elfu moja Kwa mwaka. Huoni kwamba unapigwa? Unazidiwa na wale wanaochukua bure Kwa sababu wamejipima wameona gharama halisi ni Dola elfu thelathini Kwa mwaka, hii Dola...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Msanii namba moja tanzania

    Habari zenu.. In current situation righit now MARIO ndo msanii mkubwa kwasasa tanzania,wale wawili diamond na alikiba wapewe heshima yao kwa kufikisha mziki wa Tanzania hapa ila kwa hali ilivyo sasa MARIO namba moja na JAY MELODY namba mbili,HARMONIZE namba tatu na RAYVANNY namba nne,yeyote...
  16. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wanaopata ufaulu wa Division One Point 7, kama hawakukariri wapelekwe University moja kwa moja

    Nchi hii ina miujiza mingi sana Nimeona shule moja ina watoto almost wote wamepata Division One Point 7 Mtoto anayepata distinction, straight 7 As, au kwa lugha nyingine mtoto ambaye ni A material, hapaswi kuachwa kwenye darasa ambalo analiweza. Anapaswa apelekwe kwenye darasa ambalo litampa...
  17. JamiiForums Tanzania Mabinti bwana, ukianza nae mahusiano meseji anakujibu neno moja moja, sasa ngoja muanze kukaa nae ndani inakuwa vice versa 😂😂

    KABLA YA KUISHI PAMOJA: WEWE: "unajua baby xxxxxxxxxxxxxxxxxx xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxccc" YEYE: "k" MKIANZA...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi maamuzi haya ni moja ya dhambi zangu, zitakazo nisumbua na kuni tesa kwenye maisha yangu

    I am just getting shits out of my chest, so Kama ime andikwa vibaya vumilia tu. hizi ni kumbukumbu mbali mbali za maisha yangu. Mwaka jana nili pata ajali nikiwa safarini, Mimi na wenzangu watatu. ajali hiyo ili sababisha maumivu makubwa kwa baadhi yetu, kuanzia dereva aliye pata shida ya...
  19. JamiiForums Tanzania Thailand imehalalisha rasmi ndoa za watu wa jinsia moja. Ni nchi ya kwanza Kusini-mashariki mwa Asia kuhalalisha ndoa za watu wa jinsia moja

    Aisee, Hata unakosa cha kuandika, upuuzi wa kiwango kilichopitiliza.
  20. JamiiForums Tanzania Napenda kuwafundisha somo moja vijana kuhusu Network na connection.

    Vijana wengi wanachomini kuwa hauwezi kufanikiwa pasipo Connection . Ila ukweli ni kwamba kuwa hauwezi kufanikiwa Pasipo network. Nini maana ya Connection - Kuungana wewe na mtu Fulani . Mfano mwaka fulani pale UDSM nilikuwa na ndugu yangu (RIP) alikuwa ni lecturer huyu jamaa alikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…