moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Siku moja utagundua kuwa hakuna mtu aliyekuwa akikutazama na ungeweza kufanya chochote unachotaka

    Hakuna alietaka kuwa impressed na wewe kuwa na demu mkali. Hakuna aliekuwa akikushangaa au kukusimanga kisa una degree lakini ukaamua kujishikisha katika vibarua wakati wa kutafuta ajira. Hakuna alie kuwa affected na aina ya mitupio yako ya nguo mtaani. Hakuna aliekuwa anakuona mshamba au...
  2. JamiiForums Tanzania Handaki leye urefu wa zaidi ya kilomita moja laangamizwa huko gaza!!

    Habari za uhakika Handaki lenye urefu wa kilomita moja limeangamizwa na majeshi ya Israel huko Gaza. Magaidi wa Hamas wanaendelea kupoteza maeneo kila kukicha. Mahandaki huko Gaza ndiyo maficho ya magaidi hao na Kafri yanavyoangamizwa ndivyo Hamas wana kosa udhibiti wa Gaza.
  3. JamiiForums Tanzania Al Masry kwenye michezo mitano iliyopita kashinda mechi moja tu, Simba hii anavuka

    Eid Mubarak watanzania wote. Wapinzani wa Simba kwenye mchezo wa robo fainali ya kombe la shirikisho Afrika, Al Masry wameshinda mchezo mmoja tu, huku wakifungwa mechi moja na kudroo mechi tatu. Katika mechi hizo tano amefungwa goli 7 na kufunga goli 7. Hii inatoa taswira kwamba, Simba...
  4. JamiiForums Tanzania Hawa jamaa ungewaambia hapa kwamba siku moja watahimizwa kwenda VETA wasingekuelewa unamaanisha nini

    😂😂
  5. JamiiForums Tanzania Edibily Lunyamila - Moja ya wachezaji bora Nchi iliwahi Pata. Yupo wapi?

    Nenda kawaulize waganda wenye miaka kuanzia 45 kuja mbele. Wanamfahamu vizuri sana. Jamaa alikuwa na kipaji. Wakati tu haukuwa sahihi. Yanga miaka hiyo Yanga kweli kweli... Tuna wachezaji tunapiga mtu goals kiukweli kweli. Si masikhara.
  6. JamiiForums Tanzania Geita: Watoto watatu wa familia moja Bukombe wajeruhiwa na radi, mmoja afariki Dunia

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linathibitisha kwamba Machi 23, 2025 majira ya saa 12 jioni katika Kitongoji cha Igwamanoni, Kijiji cha Kakoyoyo Wilayani Bukombe mtoto mmoja Ibrahim Masumbuko (09) mwanafunzi wa Darasa la Kwanza Shule ya Msingi Kakoyoyo alifariki baada ya kupigwa na radi...
  7. JamiiForums Tanzania ATCL mmejichanganya ! Hizi safari nitazipangua moja hadi nyingine! Mlioko tayari mjoini

    Naona safari za bei rahisi nyingi sana Nianze zipi wakuu
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mnyukano ligi kuu ya TRA sio wa kitoto !! kama huna connection hakikisha nje ya uwezo wako umshikilie sana Mungu wako ama urudi kwa babu kujiongeza

    LIGI KUU YA KUWANIA AJIRA ZA TRA Academic officer II= 3/2375 - Atapita moja kwenye kundi la watu 791 Accountant = 2/712 - Atapita moja kwenye kundi la watu 356 Accounts officer II = 12/2894 - Atapita moja kwenye kundi la watu 241 Administrative officer II = 3/2045 - Atapita moja kwenye kundi...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi upitapo kwenye magumu na Mungu akakupa Option hizi mbili uchague moja utaenda na ipi?

    Option 1: Akuache uwe hai ila uteseke? Option 2; Achukue uhai ukapumzike? Mimi ntaenda na option ya pili, wewe je?
  10. JamiiForums Tanzania Vijana chaguo ni moj; Kilimo au VETA

    Maisha na mazingira ya sasa yanatulazimisha Vijana kuchagua KILIMO au VETA, Uwe na kazi, usiwe na kazi ili kujiongezea kipato zaidi ya mshahara ,siku zote tunajua mshahara hautoshi,Vijana kilimo NDIO Maisha., Wale wenzangu na mimi nyumbani pakavu utaamua wewe usubiri ajira kwenda tandahimba...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa mshahara wangu wa million moja, itanichukua miaka mingapi kununu hii chuma?

    Wakuu kama mada inavyojieleza hapo, nijichange vipi aiseeh niivute hii chuma ya ndoto zangu kabla sijadanja.
  12. JamiiForums Tanzania Muislamu yeyote hakikisha una kitabu cha Mkweli Mwaminifu. Hii ni moja ya nukuu mujarab toka humo.

    Sifa kubwa ya waislamu ni kusoma, mtume ametuasa kuitafuta elimu popote ilipo ndiyomaana watoto wa kiislamu anaanza kusoma madrasa mahali ambapo anapata madini yakutosha. Leo tupitie na kutafakari nukuu hii mujarabu toka kitabu cha Mkweli Mwaminifu "Anamwijia mmoja wenu shetani katika sala...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 TANROADS yasaini mkataba wa Km 3.8 kwa Tsh Bilioni 54 na Wachina kujenga barabara ya Njia Nne Mbagala Rangi Tatu–Kongowe

    Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam imetia saini mkataba wa ujenzi wa barabara ya njia nne kutoka Mbagala Rangi Tatu hadi Kongowe kwa kiwango cha lami, ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan la kutatua...
  14. JamiiForums Tanzania TANZANIA: Viongozi hawajihughurishi na matatizo ambayo hayawanufaishi moja kwa moja.

    Sijui kwa jimboni kwako, sijui kwa upande wa kada yako Kama kijana, mtu mzima au mzee. Ila iwe iwe wapinzani, iwe wale wa chama tawala Lakini in general wanasiasa wa Tanzania hawapendi kabisa na hawawezi kujishughurisha na vitu ambavyo havina faida ya moja kwa moja kwa wao wenyewe. Hoja hii...
  15. JamiiForums Tanzania Unit moja ya umeme inatakiwa iuzwe sh 50 huku viwanda vikinunua kwa sh 20

    Kama Tanzania inataka kuachana na umaskini basi ni wazi unit moja ya umeme inatakiwa iuzwe sh 50 kwa matumizi ya wananchi na sh 20 kwa matumizi ya viwanda Faida ya unit kuwa bei ndogo Ukuaji na kuongezeka maradufu kwa shughuli za viwanda Ukiajia wa biashara Kuongezeka mapato serikali Mfano...
  16. JamiiForums Tanzania Simba waliandika barua Moja tu, Yanga makelele kila siku

    Yaani hadi inachosha, Simba waliandika barua Moja tu, Sasa baada ya hapo Yanga kila siku ni makelele na hawajui nani wa kumlaumu. 😄😆😀😃
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Moja ya hasara ya kuoa, ni mke kukukasirisha hadi unashindwa kufanya kazi au kuvurunda

    Msione mtu anakesha baa au anajipa safari safari, kuna nyumba nyingine hazikaliki, ndani kwa moto. na sio kua mtu sio mwanaue kamili, la hasha, ila kuna majanga unakutana nayo, ni kama uji wa moto mdomoni, kumeza huwezi kutema huwezi. Kila mwanamke anajoto lake, anakuvuruga kwa namna yake...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Je, ikitokea Simba amemaliza nafasi ya kwanza kileleni na Yanga nafasi ya pili na imebakia mechi moja ya Simba vs Yanga, Je Yanga mtakaa kucheza?

    Nna uhakika Simba akimaliza nafasi ya kwanza kileleni na Yanga akashika nafasi ya pili, je mechi ya mwisho mtakayopangiwa na Bodi ya Ligi ili mcheze na Simba mkishinda mnabeba kombe, mtakaa kwenda kucheza kweli? Yaan Yanga amebakiza mechi moja na Simba ili awe bingwa, mtakaza msicheze Simba awe...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Shida ni Siasa- Aliyekuwa M.kiti wa Simba amethibitisha Rais Samia ndio aliekeza Mechi ya derb 20/21 isogezwe saa moja

    Kabla Mods hamjakimbilia Kuushusha Uzi naomba msome kwanza , muangalie na Source ya habari Hii , naweka Link. Aliyekuwa Mwenyekiti wa Simba msimu wa mwaka 2020/2021 , Bwana Muhina Kaduguda ametoa siri ambayo haijawahi kuongelewa popote, Kaduguda amesema dhahiri kuwa wakati huo yuko mwenyekiti wa...
  20. JamiiForums Tanzania Ujio wa Mapinduzi ya Viwanda vya Giza

    Sekta ya uzalishaji inatarajiwa kuingia katika hatua mpya ya maendeleo ambapo viwanda vitaendeshwa kikamilifu kwa teknolojia bila kuhitaji wafanyakazi wala mwanga. Viwanda hivi vitajulikana kama viwanda giza, kutokana na uwezo wake wa kufanya kazi bila mwanga wa taa, kwa kuwa havihitaji uwepo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…