Bondia wa Marekani, Mohamed Ali alipitia majanga mengi sana kabla ya kuwa bondia anayeheshimika duniani kwa rekodi yake ya kuwa bondia bora wa muda wote.
Alizaliwa Januari 17, 1942 Louisville, Kentucky, U.S na aliitwa Cassius Marcellus Clay Jr. Katika maisha yake alipata majanga mawili makubwa...