Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Rais wa Heshima wa Klabu ya Simba Mo Dewji ameandika
"Nimetoa almost 3 billion kufanikisha huu usajili, istokee kwamba MTU aseme ‘Mo hajatoa hela’ tuepuke na wapotishaji"
GENTAMIYCINE nilidhani ukiwa Tajiri basi hata na Uwezo wako wa Kufikiri nao unakuwa ni wa Kitajiri ( nikimaanisha ni mkubwa ) kumbe hali ni tofauti kabisa.
Matajiri Mohammed Ghullum Dewji wa Simba SC na Gharib Said Mohammed wa Yanga SC kwa Historia Kubwa ya Simba na Yanga hasa katika Siasa za...
Rais wa heshima wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji 'Mo Dewji'kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema "Transformation ya Simba bado haijakamilika. huu ni mwaka wa 6. Karibuni ntakata tamaa"
Mohammed Dewji aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu Simba miaka minne mfululizo hadi...
Mfanyabiashara maarufu Mohammed Dewji ameshinda tuzo ya Afrika ya mzalishaji bora wa bidhaa za viwandani.
Mo ambaye ni bilionea namba moja Afrika Mashariki na Kati alitangazwa mshindi jana, nchini Afrika kusini katika kilele cha tuzo za viongozi wa biashara barani Afrika (All Afrika Business...
GENTAMYCINE naujua Mpira, Nimecheza Mpira, Nauchambua Mpira na Jicho Kali na Tukuka la Kumjua Mchezaji na nikipointi huwa sibahatishi ila Tajiri Wewe umeshindwa kunifuata PM hapa ili tuwasiliane ili nikusaidie Usipigwe Hela na Wajanja na Matapeli waliokuzunguka na niisaidie Simba SC yangu...
Mo Dewji naomba haraka sana kujua yafuatayo......
1. Zile Tsh Bilioni 20 za Uwekezaji umeweka Benki gani Tanzania?
2. Simba SC kama Klabu inapata Kiasi gani kutokana na Udhamini wa Brands zako?
3. Kila mwaka unatoa Shilingi ngapi kama Hela ya Usajili Simba SC?
4. Mpaka hivi sasa tokea uwe...
Ukiwa tayari nikufanyie hii Kazi Tukuka nenda Ofisi za JamiiForums mtafute Kaka yangu na Mtani wangu mkubwa wa Kihaya JamiiForums Founder Maxence Melo mkabidhi huo Mzigo nitaukuta Kwake.
Nitaanzia Zambia kuna Chuma Kimoja nimekiona kisha nitaenda Uganda kuna Chuma nimekiona, nitaenda Egypt kuna...
Nimekwazika sana tu kusikia ( tena kutoka kwa Msemaji Ahmed Ally akikiri hivi punde EFM Sports Headquarters na kusema zimechelewa tu kidogo kutokana na Masuala ya Fedha ) kuwa Wachezaji wa Simba SC wana manung'unuko ya Moyoni baada ya kutopewa / kutolipwa Posho zao kwa wakati ambazo Sisi...
Stay tuned hapa kwa updates mbalimbali kwa yatakayojiri katika droo hii hapo baadaye saa 3:30 usiku.
Simba SC 🇹🇿 anaweza akakutana na timu moja wapo kati ya hizi
• ES Tunis 🇹🇳
• Mamelodi Sundowns 🇿🇦
• Wydad Club Athletic 🇲🇦
Yanga SC 🇹🇿 inaweza kukutana na tumu moja wapo kati ya
• A = USM Alger...
akili
bangi
dewji
fainali
inahitaji
kombe la shirikisho
kuamini
ligi ya mabingwa
modewjimorocco
news
rivers united
salama
shirikisho
simba
simba sc
tanzania
wapenzi
yanga
yanga na simba
Badilisha baadhi ya maneno kwenye taarifa hii, lakini ujumbe ule ule: "Kikosi cha Simba kipo Casablanca, Morocco kwa ajili ya mechi yao ya mwisho ya Kundi C ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Raja Casablanca itakayopigwa saa 7 usiku wa kuamkia Jumamosi. Timu zote mbili zimeshafuzu kwa robo...
Majibu ya Dewji kuhusu kuangalia mechi za Yanga, kumuona Mshambuliaji Fiston Mayele na pengine kama anatamani asajiliwe Simba.
"Kwa bahati mbaya niwe mkweli mimi sifuatilii sana mechi za Yanga "
"Sijamuona kwenye mechi lakini namsikia namuona kwenye mitandao, naona clips zake anavyofunga...
Kwenye mada "Nani anamiliki Tanzania..." Mwana JF Kinyungu akagugo kwa kutumia neno " Who is the owner of Tanzania" na jibu likaja Mo Dewji. Alipoweka hilo jibu kwenye ile mada nikadhani ni maskhara ama utani, lakini na mimi jibu likaja hilo hilo, nikashangaa sana.
Imekuwaje Google waseme Mo...
Mo anasema kuwa mwaka jana katika dirisha kubwa la Usajili alitoa kiasi cha bilion 1.5 ili kisaidie kufanya usajili wa wachezaji wapya.
Kwenye usajili wa Simba, hivi kwa kutazama wachezaji waliosajiliwa mwaka jana wanafika bilion 1.5 kweli..?
Au Mo anapigwa.
"Huko nyuma nilipojiunga na Champions, hawa wafanya interview za kujitafutia Rizki ya kula,waliandika hilo ndio anguko la Haji, haikuwa kwa Uwezo wa Allah.
Nilipofungiwa waliandaa hadi Party Kwamba nimekwisha, Mungu yule yule akakataa. Brand iliyoojengwa kisawa sawa haifi kwa maneno ya...
Taarifa ya Rais wa Heshima wa Simba Mwekezaji Mo Dewji
Nimeteua wajumbe wanne wapya kwenye Bodi ya Simba Sports Club. Karibu Dk. Raphael Chegeni, Mhe Rashid Shangazi, Bwana Hamza Johari na Bwana Zulfikar Chandoo. Wanachama hawa wataleta uzoefu mkubwa ambao utasaidia katika kutimiza lengo la...
Kwangu mimi Mengi alikuwa na akili ya kutafuta hela kuliko MO.
Sababu zangu ni hizi:-
1. Mengi alitafuta mtaji kwa jasho lake. MO alizaliwa 1975 akakuta mtaji kwenye akaunti.
2. Mengi ni hustler aliyeanza kuuza karanga, kalamu na sare za shule. MO alikuta mali tayari zipo.
3. Mengi alikuwa...
Wanabodi,
Mo Dewji if not yet, then probably is going to be the richest man in Tanzania!. Has 150 products, he is going to knock down Coca Cola and Pepsi Cola!, ametupaisha kimataifa, ila pia ametubagaza kuwa "we have got tons of arable land that can feed Africa, but he is surprised why are...
Ripoti ya utafiti iliyotolewa na Forbes Januari 30, 2023, Mo Dewji alikuwa nafasi ya 15 hapo awali, amepanda kwa nafasi mbili kutokana na utajiri wake unaokadiriwa kufikia Dola 1.5 bilioni (Sh 3.5 trilioni).
Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji 'MO Dewji amepanda kwa nafasi mbili katika...
Kama kumbe kigezo cha kusajili Mchezaji siku hizi ni kwanza ajue kupiga kanzu, nawaombeni mje mnisajili na mimi GENTAMYCINE kwani pamoja na huu uzee (ukongwe) wangu wa miaka 60 sasa huku mitaani katika ligi zetu huwa napiga mno mikanzu kuliko hata Sewakubwa wenu.
Halafu tukisema kuwa Yanga SC...