mo dewji

  1. DELETED ACCOUNT

    Teuzi za wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi zilizofanywa na Mo Dewji na Mangungu zinadhihirisha tatizo la Simba liko wapi

    Baadhi yetu tumepiga sana kelele kuonyesha kuwa tatizo kubwa la Simba ni ukosefu wa mfumo thabiti wa uongozi unaowezesha timu kuendeshwa kwa ukaribu na umakini. Simba haina management imara, bali management ipo kama jina tu ila haina watu na waliopo hawana meno ya kutenda majukumu yao. Chukulia...
  2. Erythrocyte

    Bakhresa, Mo Dewji na GSM wajitosa kuwekeza kwenye SGR

    Ni vema ukayafahamu haya mapema kwa faida yako Bali wadau wengi wanajiuliza kwamba ni kitu gani ambacho Serikali ya Tanzania inaweza kufanya, maana unaambiwa ni afadhali hata mtoto mwenye Polio waweza kumpa Magongo akatembea mwenyewe Kampuni sita za Kitanzania ni miongoni mwa kampuni kadhaa...
  3. ESCORT 1

    Mo Dewji: Nitatoa majina ya wajumbe wa Bodi Saa 2:30 Usiku

    Mo Dewji: Nitatoa taarifa kuhusu Wajumbe wa Bodi ya Simba Sports Club kutoka upande wa Mwekezaji, leo saa mbili na nusu usiku. Unahisi jina gani halitokosekana? ===== Kutoka kwa Ahmed Aliy Msemaji wa Simaba: Tajiri yupo kazini, Leo saa 2:30 Usiku anatoa taarifa kuhusu Uteuzi wa Wajumbe wa...
  4. OMOYOGWANE

    Nimefanya review mtandaoni nimejiridhisha Simba SC ni mali ya MO Dewji anaimiliki kisheria

    Nimepitia mchakato mzima ni jinsi gani Mo allimilikishwa hisa zake 49%, Nimebaini Mo alilipia hisa zake zote, Katika asilimia 51% zinazomilikiwa na wanachama ni asilimia 10% tu ndizo zilizolipiwa zinazobaki 41% hazijalipiwa. Kampuni ya Mo Simba yenye 49% ndiyo inayoilea na kuirisha simba kwa...
  5. Mjanja M1

    Hii ndio thamani ya miwani ya Mo Dewji

    Kama wewe ni mpenzi wa Fashion naimani utakuwa uliiona Miwani aliyoivaa MoDewji siku ambayo alikuwa anaongea na mashabiki wa Simba Sc kufuatia sintofahamu ya baadhi ya wajumbe kujiengua kwenye nafasi zao. Miwani aliyoivaa Mo inaitwa Alexander Mcqueen AM0372S-001 ni custom made with Diamond...
  6. Mwanadiplomasia Mahiri

    Miwani ya Mo Dewji jana ina thamani ya Laki 6

    Ni miwani aina ya Alexander Mcqueen AM0372S-001 ambayo ni custom made with Diamond plated. Bei yake ni Euro 243 ambazo ni sawa na pesa ya madafu Shilingi 688,920/=
  7. Suley2019

    Wadau wanahoji kama mchakato wa 'transformation' wa Simba umekamilika, vipi kuhusu Yanga?

    Salaam Wakuu, Kumekuwa na hoja ya wadau mbalimbali wa michezo, wanachana wa Simba na wasio Simba. Watu wanataka kujua nini kinakwamisha mchakato wa transformation kukamilika pamoja na uhalali wa Mo Dewji kuwekeza hisa 49% peke yake. Yanga wapinzani wao wa jadi nao wapo kwenye mchakato wa...
  8. L

    Mapendekezo yangu wajumbe wanaofaa kumsaidia Mo Dewji kwenye Bodi ili kurejesha heshima yake iliyopotea

    Wa kwanza niteue mimi, nimeanza kushabikia, kushangilia na kuwa member wa Simba tangu mwaka 1989.Simba inamfunga Yanga bao 2 kwa 1 kwa bao la marehemu John Makelele zigzag huku beki Fred Felix Minziro Majeshi Baba Kataraia akimzaba makofi niko uwanjani, Simba anakosa ubingwa vs Stella niko...
  9. Mkalukungone Mwamba

    Kilichopo nyuma ya pazia Mo Dewji kuonekana kuidai Simba mabilioni ya pesa

    Kwa sasa hali ya hewa ndani ya Simba sc haipo sawa baada yakuibuka madai tofautofauti juu ya Muwekezaji wao Mo Dewji kuidai Simba pesa zake ambazo alikuwa anazitoa nje ya mkataba wake wa uwekezaji wa Bilioni 20. Hayo yalibainishwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba upande wa Wanachama CPA...
  10. Roving Journalist

    Mo Dewji asema wameanzisha Kampeni ya kukusanya chupa za rangi nyeusi, wameshakusanya tani 21

    Video kutoka kwa Mohamed Dewji "MO" Mwezi uliopita, tulizindua kampeni ya kuongeza ukusanyaji wa chupa za rangi. Tulikusanya tani 21 za chupa nyeusi kwa ajili ya kuchakata! MeTL ni fahari kuwa mwanachama wa Petpro, shirika la wajibu wa ziada za wazalishaji wa chupa za PET kwa ajili ya...
  11. J

    MO Dewji: Kwa kila Jambo kuna Majira yake na Wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu

    Huu ujumbe alioandika MO Dewji ukurasani X unawahusu Sana Wanachama wa Chadema na viongozi wao waliong'ang'ania madarakani. "Kwa kila Jambo kuna Majira yake na Wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu, Wakati wa kuzaliwa na Wakati wa kufa, Wakati wa kupanda na Wakati wa kung'oa yaliyopandwa" Muh...
  12. Frank Wanjiru

    Kigwangwala: Kama kudaiana, Simba tunamdai MO hela nyingi sana

    Anaandika Mhe. Hamisi Kigwangwala “Kama ni kudaiana tu, tena bila mikataba, basi na sisi wana @SimbaSCTanzania tunamdai mwekezaji pesa nyingi sana!” “Tulimtaka aweke bilioni 20 kwenye account yetu ili tununue bonds, kumbe hakuweka! Kama angeweka tungenunua bonds za miaka 25, at a coupon rate...
  13. enzo1988

    Nani mkweli, Mo Dewji au wanachama?

    Kuna mgogoro unaendelea kwenye klabu kongwe ya Simba, kama unafuatilia vyombo vya habari na ukiwa mdau wa michezo hutashangaa! Kwenye mgogoro huu kuna makundi makuu mawili ambayo ni; a) Wanachama: Kwa mujibu wa mchakato mpya wa mabadiliko ya uendeshaji (uwekezaji kwa mfumo wa hisa) hawa...
  14. Kipenzi Changu

    Mangungu jiuzuru kuepuka aibu ya kung'olewa na wanachama

    Kwa takribani saa 48 sasa kuna mambo kibao yanaendelea ndani ya Simba. Tajiri Mohamed Dewji ‘MO’ ameingia msituni mwenyewe. Ameamua kufumua kitu kimoja baada ya kingine kwa vitendo katika kuhakikisha Simba inakuwa moto wa kuotea mbali msimu ujao na kurejesha heshima ambayo imepoteza katika...
  15. Suley2019

    Tetesi: Boom: Wajumbe wote wa Bodi ya Simba upande wa Mo Dewji wajiuzulu

    Shaffih anatupa za ndaaani kabisa, anasema Wajumbe wa Bodi ya Simba wamejiuzuru. Nini maoni yako kuhusu move hii kama itakuwa na ukweli PIA SOMA - Tetesi: - Simba inatarajia kumrejesha tena Barbara Gonzalez kwenye Bodi
  16. K

    Tetesi: Mo Dewji anawekeza kwa majirani Uganda pia

    🚨 MOHAMED DEWJI ATUA UGANDA. Mfadhili Wa Simba sc na Tajiri namba 17 barani Afrika Mohammed Dewji Yuko mbioni kununua Hisa asilimia 51% katika Klabu ya Express FC ya nchini Uganda🇺🇬 Baada ya kuwekeza katika Klabu za Tanzania sasa ni rasmi Mohamed amedhamiria kuwekeza Uganda. Express FC msimu...
  17. G

    Kihasibu hatuna cha kumdai Mo Dewji, Kanunua timu kwa bilioni 20 na bado anaendelea kuigharamia, tutake nini zaidi wanasimba ?

    Kihasibu Mo Dewji hana anachodaiwa Simba, Ana kila haki ya kuifanya Simba iwe mali yake, Hata kumpa 49 % bado ni ndogo ukilinganisha na jinsi alivyoisaidia Simba. Licha ya kutumia kiasi cha bilioni 20 kununua umiliki wa timu timu kwa 49 %, bado anaendelea kujitoa mno, anatumia pesa zake...
  18. GENTAMYCINE

    Mo Dewji nakuuliza nivujishe Siri ya Bilioni 20 ulikoiweka na sasa unajipatia Hela za bure bila wana Simba SC kujua au niuchune tuendele kuwa Mazuzu?

    Hakika Wewe Mhindi ni Mjanja sijapata kuona. Kwahiyo mwenyewe ulidhani Siri itafichwa sana na wenye Ubobezi wa kutafuta Taarifa Ngumu Ngumu na za Hatari akina GENTAMYCINE hatutoijua? Nina uhakika nikilisanua hapa kwa ulichokifanya leo hii hii Amani inatoweka Simba SC na hata Serikali itatukamata...
  19. GENTAMYCINE

    Nataka Kumroga Mo Dewji aiachie Simba SC yetu mwenyewe, je nitapata wapi Mganga hatari?

    Yaani sijui ni kwanini nikiiona tu Sura ya Mo Dewji na Simba SC yangu ilivyo kwa sasa ninatamani hata Kumpiga Ngumi!!!
  20. GENTAMYCINE

    Baada ya kumjua kuwa kumbe Adui Mkubwa wa Simba SC ni Mwekezaji Mo Dewji nawaomba Msamaha 'Mangungu' na 'Try Again'

    Mo Dewji Wewe kweli ni wa Kutufanyia haya Sisi wana Simba SC? Yaani una bahati nimekuja kuyanza Maisha mapya huku Kampaa Uganda ila hakyanani ningekuwa huko Dar es Salaam Tanzania ungenitambua. Yaani Mo Dewji Wewe leo ni wa kuipa Simba SC Shilingi 185 za Operations kwa Mwezi badala ya zile...
Back
Top Bottom