Leo nilikuwa hapo kariakoo kununua pamba Hawa jamaa wanazingua kinyama yaani Kuna mmoja nimemuambia mzee kalime viazi hii sio kazi ni usumbufu Kwa raia ningekua na bunduki.
Mngesikia winga kala shaba ya kichwa sababu Mimi sipendagi usumbufu nikiwa naenda kununua pamba nataka kichwa changu...
Mwanamke kitambi kikubwa mnakera kuwatizama ila hamjui tu.
Hakuna mwanaume anaependa mkewe awe na kitambi utazani ujauzito kumbe kitambi , kama ndo hivi vitambi vyenu wacha tuchepuke tu.
Shape namba 9 aweee mtabaki kuwa single maza tu
Mtu unamwambia sipendi kupigiwa simu napendelea sms tu mtu bado anasumbua anataka muongee (voice call) mpaka nimemuliza hivi kuna njia moja tu ya mawasiliano ?
Yaani watu hamuwezi kungumza bila sauti zenu kuhusika, ? Watanzania tujifunze kuheshimu haiba za kila mtu mimi binafsi napenda...
1. This is very disturbing, very stupid indeed!
Ni vurugu tupu...... leo kuna salary advance, pension advance, nisogeze loan etc etc kesho vimefutwa/hakuna...na ujinga kama huo mwingi.
Kibaya zaidi without notice! Toeni notice kuwa mwezi huu hakuna salary/pension etc advance! ili mtu ajipange...
Naenda moja kwa moja kwenye hoja yangu
Kampuni hii ya usafirishaji ina mambo ya kuudhi sana
Kwanza simu zao hawapokei, unaweza kupiga simu 1hr zinaita mara busy mara zinaita mara busy
Pili muda wao wa safari ni changamoto sana, mfano kama unaenda Iringa usiku wanasema basi linaondoka saa 4...
Kuna wanaume na wanawake asubuhi wao hawapigi mswaki wala halafu unakuja kazini au upo kwenye daladala unanuka mdomo sana ,.
Inakeraa naukifika kazini dah yaani unaweza kutapisha mtu ukiwa unaongea hadi kerooo.
Jingine mtu haogi vizuri
Ananuka makwapa sana unakaa naye unamvumilia , hadi...
Aisee mimi hakuna kitu kinachoniudhi kama nimepata na tatizo alafu unanionea huruma na haunisaidii hii ipo zaidi kwa wanawake Mwanamke kama huwezi msaidia mume mpenzi wako huna haja ya kumuonea huruma maana haisadii hii tabia wanayo zaidi wanawake.
Nachukiaga sana maneno kibao msaada kimya...
Hawa Meridian bet nilijiunga mara moja tu na nikajitoa(nililazimika kujiunga kwa muda mfupi ili niObserve kitu fulani kutokana na kazi zangu), lakini kila siku wanaendelea kunitumia meseji zao za ofa na promotion. Nimepiga simu zaidi ya mara tano wanasema tu watafanyia kazi lakini hamna kitu...
Ni kweli kuwa simu ni yako, ila unapokuwa kazini na umeandikisha namba yako kuwa ndio itumike kwa mawasilaino si busara kutopokea simu na huna sababu ya msingi ya kutopokea.
Hata mimi huwa sipokei kila wakati, inategemea na majukumu niliyonayo. Ila inapokwa muda wa kazi huwa nayapa kipaumbele...
Nipo jirani na msikiti,
Kuanzia saa 10 alfajiri,
Kuna shehe huyo amekuwa mtangazaji wa muda,
"Sasa hivi ni saa 10 dakika 20 ewe muislamu jiandae kuamka,
Swala swala,!
Na anaendelea kutaja muda mpaka inafika saa 11 alfajiri.."
Kwakweli hebu tunaomba msaada wenu,
Ni kweli hakuna namna ya...
Wanaume mnakera sana. Yani mtu anajua kabisa mwezi huu hajatuma hela ya matumizi Alaf anajikausha, unamkumbusha kwenye text mkiwa mnachat yeye anajibu sms nyingine hiyo anajifanya hajaiona unamtumia tena as a reminder anajibu oh I remember I will send . Anajikausha mpaka siku inaisha.
Ivi mna...
Za weekend?
Hivi mwanaume timamu kabisa mke wako kagombana huko na wanawake wenzake halafu wewe unaenda kuingilia ugomvi na kuanza kusutana na wanawake?
Kwanza mwanaume unatoa wapi ujasiri wa kurushiana maneno na mtoto wa kike? Mpenzi wako akiudhiwa huko na marafiki zake wewe msaada unaoweza...
Wadau hivi Vodacom wanawezaje kutoa numba tofauti ya kuwasiliana nao mbali na Ile ya 100 ambayo inahudumiwa na robot tu wala huwezi ongea na mhudumu.
Na hii walivotoa kama mbadala 0754705000 sio free lazima uwe na salio na kama haitoshi unakaa hewani nusu saa na zaidi hamna mhudumu anapokea...
Frateri Mtanzania aliyekuwa ametekwa nchini Nigeria, Merikiori Mahinini pamoja na mwenzake raia wa Mali, Padre Paul Sanogo wameachiwa huru usiku wa kuamkia leo Alhamis Agosti 24, 2023, Balozi wa Tanzania nchini Nigeria, Dk Benson Bana amethibitisha.
Mtanzania huyo ambaye pia ni frateri wa...
Vijana bhn yaani anatoka kwao ushaagoo kule ndani ndani anakuja Masaki anashangaa zile nyumba anaona kama kafika New York city 😂😂😂 Aisee ushamba mzgo
Wanashangaa vijana wadogo wenye magari makali anasema hao ni wachawi mafreemason au hizo Gari za familia ebo!
Fanyeni kazi bhn mpate madusko ili...
Wiki nzima mnatuma matangazo tangu asubuhi hadi usiku wa manane ni kama mmeajiri mtu anayemaliza kozi ya kutuma matangazo, anachoweza yeye ni kubonyeza bonyeza tu bila kujua athari anazosababisha kwa wateja
Haya ni baadhi ya matangazo mnayotumia wateja wenu wiki nzima kwa kujirudiarudia zaidi ya...
Nimepanda gari la jamaa yangu ameweka Radio zao hizi. Hawa jamaa wanakera matangazo yao yote ni Shule Shule Shule.
Inakera. Mara watu wa QT mara watu wa Ku "reseat" inakera Mara sijui Chuo gani, mara shule. Jamani mnabore sana. Matangazo hayana mvuto kabisa. Tafuteni na Matangazo mengine...
Nime recharge kifurushi hapa nicheki balance naambiwa niko na 3 GB za Boomplay ...
Boomplay itasaidia nini sasa ? Ondoeni huu upuuzi wa kuni convert Mbs zangu na kuzifanya za Boomplay
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.