Hawa jamnaa ukienda kwa madirisha YAO unakuta madirasha yapo kama mannne hadi Matano lkn linalofanya kazi ni moja tu.
And the gui yuko hapo is like anawashwa anaingia anatolia. Yupo slowly kama funzaa
Shame on you NMB
Mimi ni mteja wenu hapa morogoro. Nilianza kuanza process za kuomba kuunganishiwa umeme toka December mwaka Jana.
Mwezi wa Tano nilifanikiwa kulipa huduma ya kupata umeme sehemu inaayohitaji nguzo Moja na nikapewa Muda wa mwezi mmoja Kuwa tayari nitakuwa nimeshafikiwa.
Mwezi ukapita, nikaenda...
Hii ni kama mara ya tatu inanitokea. Mara ya kwanza nilihisi labda nimekosea. Nikasema basi bahati mbaya nimekosea. Yapili tena nikashituka nikasema hapa nimepigwa. Hii ya tatu sasa nimeamini wanachofanya hawa jamaa ni utapeli kama utapeli mwingine.
Iko hivi,
Kabla sijajiunga na kifurushi huwa...
Binafsi nakerwa sana na watu wenye "line" lukuki za simu. Unakuta mtu ana line ya voda, tigo, airtel, zantel nk. Zote izo za kazi gani?? Matokeo yake kila ukimtafuta mtu utasikia mara..
"Nicheki kwenye airtel hiyo Voda haina chaji.."
"Nipigie namba ya tiGo, airtel nimeacha nyumbani"
"Hela...
Kwema ndugu zangu,
Bodaboda wana tabia za ajabu sana sijui kwanini.
Unaweza ukawa unatembea unashangaa wanakupigia honi.
Au upo njiani unatembea unashangaa boda huyu hapa "oya braza wapi" sasa nabaki najiuliza ina maana mimi sijui napokwenda au?
Leo nimeshuka kwenye gari akaja boda na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.