Nyota wa Real Madrid, Fede Valverde, ameripotiwa kulazwa hospitalini baada ya kuzuka tena kwa ugomvi mkubwa kati yake na mwenzake Aurelien Tchouameni, hali iliyoanza wakati wa mazoezi ya timu siku ya Jumatano.
Kwa mujibu wa taarifa hizo, wachezaji hao wawili walihusika katika mabishano makali...