mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Ushauri; Tujipange kubadilika; Huenda miaka ijayo binadamu mzee zaidi ataishi mwaka mmoja tu na kuzeeka

    Ulishawahi kuwaza zamani watu waliishije zama wayahudi? Walikuwa na maumbo gani? Mfano ukiangalia umri wa maisha ya mfalme Suleimani alivyoishi miaka ile na wake zake?,vipi kuhusu kina yakoub, Daudi, ibrahim na wengine? Naomba hili niliweke kimahesabu ili tuone mantiki! Sitaki kujiuliza sana...
  2. Mazoezi ya kuzuia majanga ya moto yazua taharuki TRA Dodoma, mmoja akimbizwa Hospitali

    Baada ya watu 191 kunusurika kwenye tukio la moto katika jengo la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), tukio hilo limetajwa kuwa ni mazoezi ya kukabiliana na majanga ya moto. Licha ya kunusurika huko mmoja wa wafanyakazi wa Mamlaka hiyo alikimbizwa katika kituo cha afya cha Makole kupatiwa...
  3. Kukalia kimya uhalifu ni kutotekeleza jukumu la kiraia

    Watu wengi wanaamini kwamba kupambana na uhalifu ni jukumu la vyombo vya usalama pekee. Lakini ukweli ni kwamba vyombo hivyo haviwezi kudhibiti uhalifu peke yao. Ushiriki wa wananchi katika kupambana na uhalifu ni jukumu muhimu la kiraia na kizalendo. Miongoni mwa mipango inayoweza kutumika...
  4. Nilikuwa mmoja ya watu wa kwanza kupinga usajili wa Bernard Morrison na kweli hajaniangusha. Huu ni uhuni kwa sisi Yanga

    Hawa watu niliwakataa 1. Haji Manara (huyu hana akili ila alituona sisi Yanga ndo hatuna akili. Simba wakamfukuza) sisi tukaona tumeokota Dodo. 2. Bernard Morrison (huyu alitudhalilisha sana...tulihangaika TFF, CAF na CAS. alikuwa anatuonesha dharau sana) ameachwa Simba tumemkimbilia ameanza...
  5. Nepal: Mmoja alikuwa Live Facebook kabla ndege haijaanguka

    Ndege ndogo ya abiria ilianguka kwenye bonde mkoani Pokhara, nchini Nepal, mapema jumapili. Ndege hii ilikuwa imebakiza sekunde 10 - 20 ili itue kwenye kiwanja kipya cha Pokhara kilichozinduliwa wiki 2 zilizopita. Mpaka hivi sasa watu 68 kati ya 72 waliokuwa kwenye ndege hiyo wamefariki dunia...
  6. Mpira wa miguu ni mchezo unaokutanisha msiba na harusi kwenye uwanja mmoja

  7. L

    Viongozi wanavyosema kila siku vijana wajiajiri, kuna hata mmoja kati yao amejiajiri?

    Hivi, viongozi wanavyosema kila siku vijana wajiajiri, kuna hata mmoja anaesema hayo, amejiajiri? Mie, nafikiri wanatumia neno kujiajiri vibaya, mfano: Juzi katambi kasema vijana jitoleeni, msisubirie kuajiriwa, yeye anajitolea? Mie, nadhani sera ya ajira ibadilike watumishi wa umma wawe na...
  8. L

    ELIMU BURE: Gharama ya kumsomesha mtoto mmoja wa primary kwa Mwaka ni Milioni 4, na serikali inalipa! Tunapigwa hapa

    ELIMU BURE: Gharama ya kumsomesha mtoto mmoja wa primary kwa Mwaka ni 4MIL, na serikali inalipa kila mwaka Hili limesemwa na Mwenyekiti wa Shule Binafsi Tanzania. Na amemshauri Rais akae na wataalam wake wamwambie ukweli. Anapoteza pesa nyingi sana, wakati Elimu itolewayo duni Bado mtoto...
  9. Hivi kuna 'Irene' mwenye mwanaume mmoja kweli?😜

    hawa wanawake wenye majina ya Irene.. ni kwikwi.😎😎
  10. Mwanachama humu amenikumbusha nilivyomfanyia jamaa mmoja aliyekuwa anajiona kafika kazini

    Huyu jamaa alifika kazini akawa anajiona yeye ndo yeye. Kazi anaipenda sana kuliko sisi wengine. Basi ikawa kila mfano mzuri boss anamsema yeye. Kila jambo jema mfano yeye. Jamaa akaanza kupewa pewa safaris nyingi sana. Akawa anapewa bonus kila mara, yaani kiufupi jamaa alianza kupendeza. Akawa...
  11. Darwin Nunez na Antony dos Santos ni wachezaji wa paundi milioni ishirini kila mmoja na siyo zaidi ya hapo

    Kila nikiwaangalia hawa wachezaji wawili nashindwa kuelewa ilikuwaje wakanunuliwa kwa bei kubwa namna ile. Hawa ni underdogs wawili waliotumika kufanya utapeli pale Liverpool na Man united. Nunez kweli ulipe Euro 75m na Antony ulipe Euro 95m? Madrid walimnunua Toni Kroos kwa Euro 25m.
  12. K

    Mwaka mmoja wa Samia, Tanzania yapaa Kimataifa vita dhidi ya Rushwa

    Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Salum Hamdun amesema Tanzania imetambulika kuwa ni miongoni mwa nchi chache Afrika zilizopiga hatua katika mapambano dhidi ya Rushwa. Kwa mujibu wa shirika la International inaonyesha Tanzania imeshika nafasi ya 2 katika...
  13. Nimeshangaa kumuona Profesa mmoja maarufu wa pale UDSM akisali sala ya Bikira Maria

    Moja kati ya mambo ambayo yapo wazi kabisa katika biblia ni maelekezo ya namna maombi yanatakiwa kufanywa. Agizo la maombi lipo very open. Yesu Kristo alisema mara nyingi sana kwenye injili ya Yohana kwamba tuombe kwa jina lake. Mtume Paulo ameandika tufanye yote katika jina la Yesu Kristo...
  14. Saido mmoja ni sawa na foward nzima ya Yanga

    Uwezo wa Saido hauhitaji uchambuzi mwiiiiiiiingi. Sitaki kujiba kazi ya kuchambua, kama unataka uchambuzi chambua mwenyewe. Mimi nakuwekea sinema tu. Kwa wewe ambaye hukumuona jana basi jionee, maana unaweza kupotoshwa na haters. Ukiangalia kwa jicho lisilo na husda utakubaliana na mimi kuwa...
  15. Ofa: Kesho nitaombea wote wenye uhitaji wa kuombewa. Kama wewe ni mmoja wapo jiunge nami

    Anaandika; Robert Heriel Kuhani Katika Hekalu Jeusi. Kesho ni mwisho wa Mwaka. Kuanzia majira ya 12:00 - 4:00 Usiku nitautumia muda huo kuombea watu wote wenye kuhitaji msaada wa KUOMBEWA. Nafahamu sio Watu wote wanaoamini kwenye mambo ya maombi. Nawaelewa Watu wa Aina hiyo. Maombi haya ni Kwa...
  16. Waziri wa mambo ya nje wa Marekani amtaja Mbosso kama mmoja ya msanii wake bora 2022

    Waziri wa Mambo ya Nje ya Marekani (U.S. Secretary of State) Blinken ameachia orodha ya ngoma alizozizimia kwa mwaka 2022 ambapo miongoni mwa ngoma hizo, ameitaja Yataniua yake Mbosso Khan akimshirikisha Diamond Platnumz aka Simba.
  17. Basi la Modern Coast latumbukia mtoni, mmoja afariki na wengine kujeruhiwa

    Mtu mmoja amefariki huku wengine kadhaa wakijeruhiwa baada ya basi la Modern Coast kutumbukia kwenye mto Masosa kwenye makutano ya Makutano mjini Kisii. Kamanda wa Polisi wa Kisii Central Amos Ambasa amesema gari hilo lenye nambari za usajili T247 DKE lilikuwa likielekea Homa Bay kutoka...
  18. L

    Maswa: Kijana achukuliwa na wasiojulikana. Familia yamtafuta vituo vya Polisi bila mafanikio

    Breaking: Kijana mmoja achukuliwa Maswa na wasiojulikana, AFUNGWA PINGU na kupandishwa kwenye gari,Familia yatafuta vituo vya polisi bila mafanikio.
  19. Kwa mujibu wa Biblia, unaweza kujikuta wewe ni mmoja ya watu ambao Mungu aliwakataa hata kabla hawajazaliwa

    Ukisoma Biblia , 2 Timotheo 2: 19 Mungu anasema yeye anawajua watu wake hata kabla hajaumba misingi ya ulimwengu. Ukisoma tena Mathayo 22:14 Biblia inasema walioitwa ni wengi lakini wateule ni wachache. Kwa msingi huo wewe unaweza ama inawezekana umeitwa tu, yaani umekuja tu Duniani lakini...
  20. Dodoma: Mtu mmoja afariki kwenye vurugu za Sungusungu na vijana wa Bahi

    Mtu mmoja amefariki dunia baada ya kutokea vurugu kati ya sungusungu na baadhi ya vijana katika Kijiji cha Mwitikila wilayani Bahi Mkoa wa Dodoma. Inadaiwa kuwa vurugu hizo zilizotokea usiku wa kuamkia leo Jumapili Desemba 18, 2022 zilianza baada ya sungusungu kuanza kukamata vijana wanaodaiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…