mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Wanaume wenye hela na wale magenius hawaoi Mke zaidi ya Mmoja

    Kipimo cha akili na uwezo wa kifedha kwa Mwanaume ni namna anavyocontrol hisia zake za mapenzi. Duniani kote mwanaume mwenye akili hapendi migogoro kwenye ndoa yake wala maisha yake. Ndio maana hata wale waliofanikiwa kiuchumi, masadaka au siasa hawaoi kabisa au wana kuwa na mwanamke mmoja tu...
  2. Maono binafsi kuhusu ukurasa mmoja wa Instagram

    Habarini za jioni ndugu zangu wakubwa na wadogo. Moja kwa Moja niende kwenye lengo la Uzi huu. Nimekuwa nikifuatilia moja ya kurasa ya mtumiaji wa mtandao wa kijamii wa Instagram, ukurasa huo sitautaja kwa jina ila wenyewe unahusu kupeana ushauri, maono na kwa kiasi kidogo kutafuta mwenza awe...
  3. Wanaume wenzangu MNAWEZAJE kutulia na Mwanamke mmoja?

    KIUKWELI Mimi nmeshindwa, vishawishi nivingi hapa mjini, kwenye mitandao na mitaani ndio usipime, vishawishi ndio hatari kabisa. Natamani nitafute hata mganga aniloge niache tamaa ya kutaka Kula kila nitakachokiona, am tired! natamani Leo iwe mara ya mwisho isijirudie tena kufanya huu ujinga...
  4. Ni kituko kuingia mkataba wa USD billion 42 za mkopo kwa ajili ya mradi mmoja tu wa kutengeneza natural gas refinery

    Tanzania bado haija-sini mkataba wa kujenga natural gas refinery ila uko mezani mpaka sahivi Mwanasheria wa serikali alitaka mazungumzo zaidi juu ya mkataba kwa sababu kuna mambo bado kama serikali hajaridhika nayo Wito ni huu tunaomba serikali isi-sini huo mkataba iangalie option nyingine...
  5. Yanga agalieni uwezekano wa kumrudisha Youssef Ammar, na kusajiri mshambuliaji mmoja mzuri kijana jahazi linazama

    Mimi siyo mtaalamu wa soka wala siyo daktari wa michezo. Hapa nitaweka mtazamo wangu kwa hisia tu hivyo mkiona nipo sahihi fuateni, mkiona sina hoja puuzeni tu. Nikiangalia muenendo wa viwango vya wachezaji kiafya na viwango vyao wanaporudi toka majeruhi na kurudia kupata majeraha na utimamu wa...
  6. Kama una ndoto za kuanzisha biashara anza kwanza kutafuta wazo la biashara kabla ya mtaji au tafuta vyote kwa wakati mmoja

    Aslaam, Kutokana na changamoto za Maisha ambazo hutufanya kawaza kutafuta ridhiki kila kukicha, wengi tumejikuta kujikita Mawazo yetu kwenye kufanya biashara ili tuweze kujikwamua katika mambo mbalimbali ya kimaisha hasa kwenye Nyanja za maendeleo. Imekuwa kawaida yetu mtu anapowaza kujiajiri...
  7. Inaposemwa mwanaume hawezi kuwa na mwanamke mmoja huashiria kwamba hata mkeo anaweza kuwa wa mwanaume mwingine

    Imezoeleka kusemwa kwamba mwanaume katu hawezi kuwa wa mwanamke mmoja ila lazima awe na wanawake wengi,je umeshawahi kujiuliza kwamba huyo mwanaume ambaye hakai na mwanamke mmoja kwamba anaweza pita na mkeo? Kama hivyo ndivyo basi nadhani wanaume ifike kipindi tujue kwamba kama sisi hatuwezi...
  8. Valentin Nouma amerejeshwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Burkina Faso, Aziz Ki aachwa

    Beki wa kushoto wa Simba SC, Valentin Nouma amerejeshwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Burkina Faso (The Stallions), kinachojiandaa kucheza michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025, huku nyota wa Yanga Stephane Aziz KI akiachwa tofauti na ilivyozoeleka. Chanzo: mwanaspoti_tz
  9. Hakuna mantiki yoyote itakayojibu swali la mwanamke la "Kwanini wanaume wanapenda kucheat sana?". Maelezo haya yanaweza kurelate na swali lao

    Mwanaume anacheat kwa sababu ana uwezo wa kucheat. Sio kwa sababu eti mfuska , hapana, hata wale normal familiy loving men wana cheat. Mwanaume ana cheat sio kwa sababu ya mke wake amridhishi au labda mke wake ni pasua kichwa, ila anacheat kwa sababu technically mwanaume ni sex machine...
  10. M

    Si ajitokeze mdada mmoja anipikie pikie

    Si ajitokeze mdada mmoja wa dar aje anipikie pikie
  11. Unaweza kudhani labda huyu mtoto wa mmoja wa waanzilishi wa Hamas kanunuliwa na Israel, hapana, ni basi tu amekataa kuwa mhanga wa itikadi za kitapeli

    VITA YENU SIO YA UKOMBOZI WALA HAKI, ILA NI YA ITIKADI, ITIKADI YA KITAPELI. Mwamba anaitwa Mosab Hassan Yousef. https://youtube.com/shorts/06CNNyOmG0o?si=qaIhsskImYcfSPkj https://youtube.com/shorts/JLR7e6Gl1Rc?si=WqrAKJeMu6w3dabd https://youtube.com/shorts/4wwi8jW72cQ?si=TiduWhz6rCXcLUQN
  12. Afrika ina Rais mmoja tuu Mwanamke, Samia Suluhu Hassan

    Hapa kuna orodha ya baadhi ya marais wa kike duniani, wasifu wao, na bara wanakotokea. Muhimu ni kunote kwamba Samia Suluhu Hassan ndiye rais pekee wa kike barani Afrika kwa sasa. 1. Samia Suluhu Hassan - Tanzania (Afrika) • Wasifu: Samia Suluhu alizaliwa mwaka 1960 Zanzibar, Tanzania...
  13. Ndani ya mwezi mmoja Hezbollah imechakaza vifaru zaidi ya 40 vya Israel

    🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨Hesbollah wameonesha uwezo wao katika uwanja wa vita kwa kuviwinda vifaru vya adui na kuviangamiza pamoja na wanamgambo waliomo ndani ya kifaru.......tupate taarifa zaidi:- ..⚠️ 𝐁𝐫𝐞𝐚𝐤𝐢𝐧𝐠 𝐍𝐞𝐰𝐬 ⚠️ 𝟰𝟬 𝗠𝗲𝗿𝗸𝗮𝘃𝗮 𝗧𝗮𝗻𝗸𝘀 𝗗𝗲𝘀𝘁𝗿𝗼𝘆𝗲𝗱 𝗯𝘆 𝗛𝗲𝘇𝗯𝗼𝗹𝗹𝗮𝗵… Hezbollah has announced the destruction of two...
  14. Nina mwaka mmoja na nusu sijafanya uzinzi

    Je Wajua? KISANGATI - Ni mtu mwenye tabia ya kutopenda kutumia na kutoa kilicho Chake Kwa wengine (Kwa mujibu wa BAKITA) Wakuu ni mwaka mmoja na zaidi Sasa sijafanya Uzinzi/Uasherati na bado Niko poa kabisa! Kitu ambacho namshukuru Mungu kunipatia ni kutokuwa na tabia ya kupenda wanawake...
  15. Kwenye list ya Ma-genius wanaishi kuanzia 2007 hakuna hata mmoja ametoka Africa

    Hili limeshangaza sana hakuna hata mmoja ametoboa kwenye 100 bora..huenda kwenye milioni 200 bora labda mkenya mmoja. Osama ameshika namba 43, Hans Zimmer (na. 73) The master piece mimi bado naamini ni Genius licha ya kwamba ameshindwa kuishi na wanawake kwa kutajarisha zile background music...
  16. B

    Kuoana watu wa system ni zaidi ya mtihani anapohamishwa mmoja kikazi

    Unaweza ukalichukua poa poa hili swala Ila litakapokukuta ndio utanielewa vizuri ujue zamani mwanaume ata kama Wote mlikuwa wafanyakazi wa serikali kulikuwa kuna ule urahisi wa mwenza wako kuhamia kikazi pia mahali ulipo kutokana na ile capacity ya chance tofauti na Sasa kuomba uhamisho si jambo...
  17. Swala la kuoa mke mmoja sio mpango wa Mungu

    Kama hujaoa, unaweza kuona suala la kuoa mke zaidi ya mmoja ni uzinzi, lakini baada ya kuoa utagundua kuwa kuoa mke zaidi ya mmoja kuna faida zake. Mke mmoja anaweza kutesa sana, kuumiza, na hata kusababisha huzuni. Kwa mawazo yangu, suala la kuoa mke zaidi ya mmoja ni mila ya kizungu, si mpango...
  18. Kulala na wanawake wa wili kwa mda mmoja nimekutana na tatizo kama hili

    Wana Jf leo nimelala na wana wake wawili kwa mda usio pishana dakika 20 Wa kwanza nilipo maliza zikapita dakika 20 akaja Mwengn lakn kila mmoja nime mwaga mara moja tu nimeshindwa kupanda round ya pili je, hizi ni dalili za upingufu wa nguvu za kiume
  19. Nimeamua rasmi nianze ku Date mishangazi TU na ikiwezekana nioe kabisa mmoja

    INSPIRED BY THIS PHOTO Nikiangalia huyo kijana ( IBWE ) ni Kama Mimi tuu kuanzia muonekano, body,utanashati, umri na kila kitu hatujapishana Sana labda kazi TU Binafsi nimechoka kuwa na mahusiano na hivi videmu vya 2000 usumbufu mtupu!! na kupotezeana muda TU. Binafsi bila kusurutishwa na...
  20. I

    Malipo kwa ajili ya uboreshaji wa daftari la wapiga mbona katika mkoa mmoja kila wilaya inavyotaka

    Hivi inakuwaje mkoa mmoja kila wilaya inalipa jinsi inavyopenda?Inaamanaa hili zoezi kila wilaya wilaya linaendesha zoezi hili kila linavypoenda? Hii ina maana tume ya uchaguzi haikupanga kiwango sahihi kwa waboreshaji la daftari kiwango cha kulipa? Hii inatengeneza loop hole kwa wasimamizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…