mlevi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mlevi hawezi kukusaidia zaidi ya kukununulia pombe

    Unampigia kuwa una shida fulani, anakwambia njoo sehemu fulani, ukifika anakwambia agiza bia, kunywa tani yako usahau shida zako, Lakini kukupa pesa mkononi ni mwiko, sijui kwanini walaevi huwa hawapendi kutoa pesa taslimu, pombe utakunywa ya kutosha lakini wakati mwingi hata chakula tu hawezi...
  2. Kijue kisa cha mlevi aliyeiba ndege na kwenda kuipaki Baa

    "MWAMBA ALIYEIBA NDEGE KWA UBISHANI" Mwaka 1956 mwanaume mmoja aitwae Thomas Fitzpatrick au "Tommy Vitz" waliwekeana dau wakiwa Bar na mlevi mwenzake kuwa anaweza kuiba ndege na kwenda kutua katikati ya mji kwa kutumia muda mchache. Baada ya mabishano ya kuwekeana kibunda Tommy Vits alikwenda...
  3. Ndugu yangu amekuwa mlevi wa kupindukia, nataka nimpeleke sober house

    Natumai wote hamjambo humu. Nina ndugu yangu amekuwa mlevi wa kupindukia, hapo awali alikuwa ni mtu smart na mpambanaji wa maisha, sijui kitu gani kimemkuta, anakunywa pombe muda wote hata kazi ameacha kwa sababu ya pombe. Watu wengi wamenishauri nimpeleke sober house {Kwa kiswahili sijui...
  4. FAHAMU Faida za unywaji BIA kwenye mwili wa Binadam

    Siku zote ukiwauliza watu kuhusu unywaji wa pombe aina ya Bia, watakuambia sio nzuri kiafya, na watakuelezea na matatizo mengineyo yanayoambatana na unywaji wa Vilevi. Je umewahi kufikiria kuhusu faida za unywaji wa BIA kiafya. Sasa mimi sio mchoyo, nimekutana na Kipande cha video hii...
  5. Nini madhara ya kuwa mlevi wa asali?

    Naipenda sana asali, hasa asali mbichi. Ni tamu, na ina faida za kiafya. Je! Kuna ubaya endapo nitatumia kiasi kikubwa cha asli mbichi? Nimejiwekea utaratibu wa kutumia asali mbichi mara kwa mara. Mwanzoni nilikuwa nikitumia Kwa siku chache mfululizo, kisha naacha kipindi kirefu kipite bila...
  6. U

    Je Mwakinyo aliyepigwa na Mlevi Kaoneka, ni mzuri kiasi anajinadi

    Nimeona Dogo Mwakinyo anamcheka jamaa Kiduku, baada ya kupigwa na dogo kutoka south, je yeyey mwakinyo angeweza kumsimamisha huyu msauzi. Kwa maana tukumbuke huyu Mwakinyo alipigwa na Mlevi Shambani kaoneka mbabe wa Mandonga. Pambano lile nililicheki, Kiduku alizidiwa na Suala sio kwamba labda...
  7. Uliwezaje kuwa mlevi wa pombe(kunywa pombe)

    Alooooooooo. Habari za wakati huu wana jukwaa. Kama kawaida ya watu wengi wamekua wakizifagilia pombe kwamba ni miongoni wa starehe pendwa duniani. Lakini kwangu mimi ni tofauti maana si mtumiaji wa pombe kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ya kiafya. Nahitaji uzoefu wenu katika hili...
  8. Update: Muuguzi mlevi aliyetuhumiwa kumbaka mjamzito wodini aachiwa huru

    .......................................................................................... TABORA: Muuguzi daraja la pili, Rayson Duwe aliyetuhumiwa kumbaka Mjamzito wa Wiki 32 aliyekuwa amelazwavkatika Hospitali ya Wilaya ya Sikonge, ameachiwa huru na Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Wilayani humo...
  9. Nahisi nimekuwa mlevi wa Coffee, natamani kuacha

    Habari ya jioni wana JF. Mko salama jamani?😊 Ninaimani kichwa cha habari kinajieleza vyema. Yes! natamani sana kuacha kunywa coffee hususani espresso. na cappuccino. Nisipokunywa Kwa asilimia 60 siku yangu inakuwa ya hivyo sana🥲 Nifanye nini ili niweze kuacha kunywa? Kama kuna mtu yeyote...
  10. SI KWELI Kinachosababisha mlevi kuyumba ni kasi ya mzunguko wa damu kuongezeka

    Kuna mahala nimesikia kuwa mlevi huyumba yumba kwa kuwa kasi ya mzunguko wa damu yake huwa kubwa. Hii ni kwa sababu pombe hiyo husababisha mabadiliko hayo Je, ni kweli kuwa hali ya mlevi kuyumba yumba husababishwa na ongezeko la kasi ya msukumo wa damu? Na sio pombe kuathiri mishipa ya fahamu?
  11. M

    Haya Wananchi mshindwe wenyewe kusukuma mlevi!

    Timu yenyewe mnayocheza nayo inaburuza mkia, ni cha wote hicho! Mshindwe wenyewe kusukuma mlevi huyo mzembe! Ila msije hapa kujisifu! LKwani nani anaweza kushindwa kusukuma mlevi?
  12. P

    Nilikuwa mlevi sana wa kuokota wanawake wa kila aina nikafilisika

    Wakati huo nilikuwa nipo njema Sana kiuchumi, sasa katika harakati za ulevi nikakutana na mdada bar, tukalewa tukaenda guesti mdada akalala chali kuomba mzigo akaniambia panda mgongoni, nimle kisamvu. Kwa akili za kilevi nikamchakata baada ya hapo nikawa nimenogewa kula kisamvu lakini...
  13. Kipi kinachopelekea mtu mpaka unakuwa mlevi?

    Maana naona vijana wengi wamekuwa walevi wa vilevi mbali mbali kama bangi, mirungi, pombe shisha na nk. Tatizo ni nini?
  14. FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023

    Kwa Mkapa hatoki mtu!! Hii ni kauli mbiu maarufu kwa mashabiki wa Simba Sports Club linapokuja suala la mechi za Kimataifa za CAF. Kwa kauli hiyo ashakufa Al Ahly, Orlando Pirates, As Vita, Kaizer Chiefs na wengineo na sasa ni zamu ya kufa Raja Casablanca. Nani anabisha? Kikosi cha Simba...
  15. Nimempinga mpangaji ngumi je, nipo sahihi?

    Naomba ufafanuzi, Mimi ni introvert mtaa mzima wanaelewa kuwa sina makuu na mtu. Siongeagi na mtu yoyote pasipo sababu za msingi. Sasa hapa ninapopanga kuna mpangaji analewa then ananigonga madirisha yangu bila sababu. Nimefungua dirisha na nimemsalimia na kupitisha mkono vizuri na kumpa ngumi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…