Je Mwakinyo aliyepigwa na Mlevi Kaoneka, ni mzuri kiasi anajinadi

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,964
3,895
Nimeona Dogo Mwakinyo anamcheka jamaa Kiduku, baada ya kupigwa na dogo kutoka south, je yeyey mwakinyo angeweza kumsimamisha huyu msauzi.

Kwa maana tukumbuke huyu Mwakinyo alipigwa na Mlevi Shambani kaoneka mbabe wa Mandonga.

Pambano lile nililicheki, Kiduku alizidiwa na Suala sio kwamba labda dogo wa kisauzi mrefu sana, hata taisoni alikuwa akitandika watu warefu huku yeye ni mfupi
 
Simpendi Mwakinyo, ila ukweli ni kwamba kipindi anapigwa na Kaoneka, Mwakinyo alikuwa Bado under dog na Kaoneka alikuwa katoka prime yake, licha ya hivyo kwenye rematch Kaoneka alidundwa kwa Knockout round ya pili.
kunywa soda mkuu hapo ulipo
 
Simpendi Mwakinyo, ila ukweli ni kwamba kipindi anapigwa na Kaoneka, Mwakinyo alikuwa Bado under dog na Kaoneka alikuwa katoka prime yake, licha ya hivyo kwenye rematch Kaoneka alidundwa kwa Knockout round ya pili.
Hv kumbe walisha remach na kuoneka akalazwa round ya pili
 
Kukata mzizi wa fitina mwakinyo apigane na yule msouth.
Hili hata mimi nililifikiria.

Ila watu wanachoangalia ni maslahi ,yani hilo pambano litakusaidia nini ikitokea umeshinda?Sio unapigana pigana tu bila maslahi ya maana wala kukuvusha kwa chochote.
 
Hili hata mimi nililifikiria.

Ila watu wanachoangalia ni maslahi ,yani hilo pambano litakusaidia nini ikitokea umeshinda?Sio unapigana pigana tu bila maslahi ya maana wala kukuvusha kwa chochote.
Yule nadhani alichukua mkanda wa kiduku, lakini pia ana mkanda mwingine,
Hapo ni kuwekewa dau nono tu mezani, azipige na msouth.
 
Back
Top Bottom