Shamba ek 20 linauzwa Mbwawa Mlandizi

Shamba ek 20 linauzwa Mbwawa Mlandizi

JS Dairy Farm

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2022
Posts
347
Reaction score
756
Shamba lenye ukubwa wa eka 20 linauzwa lipo kijiji cha Mbwawa karibu na Mlandizi wilaya ya Kibaha.
Lipo karibu na chanzo cha kudumu cha maji(mto) ambao haukauki.
Linafaa kwa shughuli za kilimo cha umwagiliaji au ujenzi wa Shule,hspitali nk.
Bei kila eka milioni 7.
0756 625 286
 
Nunua mkuu Hilo shamba zuri mnoooo bei safiiiiiii Sana! Hongeren Sana heka M7? Hupati hasara kwa bei hiyo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom