mlandizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata daladala za kufika Bagamoyo haraka kati ya Chalinze na Mlandizi?

    Kwenu wana JamiiForums, naomba kujua ni route hipi ya haraka na rahisi kupata daladala za kwenda Bagamoyo, kati ya Chalinze to Bagamoyo au Mlandizi to Bagamoyo. Na nauli ikoje kutoka hayo maeneo kwenda Bagamoyo. Natanguliza shukran za dhati.
  2. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba heka 20 linauzwa Mlandizi, Dar es Salaam

    Shamba heka 20 linauzwa Kikongo Mlandizi, ni sehemu nzuri sana kwa biashara na kilimo, eneo lina rotuba ya kutosha. Unaweza kulima mazao yote ya ukanda wa joto. Pia unaweza kuwekeza katika miradi ya ufugaji, makazi nakadhalika. Fursa ni nyingi sana kuna miradi mikubwa inaendelea ikiwemo viwanda...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Morogoro Road eneo la Mlandizi hakupitiki kutokana na ajali

    Kuna bonge la foleni morogoro road,ajali mbaya , zimetokea Kama mbili,fuso imegonga gari kubwa,na fuso nyingine ya nyanya imepinduka bondeni,watu wanazoa nyanya,hizi ajali mlandizi zimezidi Sasa,juzi newforce,Kuna pepo baya
  4. A

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kibaha Mlandizi

    Kiwanja kipo kibaha mlandizi. Ukubwa 20 Kwa 20 Bei ni milioni mbili. Kimepimwa tayari,mawe yapo. Km Moja na nusu toka morogoro road 0629075172
  5. fdizzle

    JamiiForums Tanzania Safari ya Mlandizi mpaka Bagamoyo kwa miguu na tulivyonusurika kushambuliwa na Ngiri

    Tuliamka asubuhi na mapema mimi, kaka yangu na dada angu tukaanza safari ya kutoka Mlandizi kwenda Bagamoto kwa miguu. Ikumbukwe wakati huo usafiri ulikua ni wa shida, hivyo suala la kutembea kwa miguu lilikuwa ni jambo la kawaida tu. Mpango wa safari yetu ulikua tutembee kutoka Mlandizi mpaka...
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania TANZIA Profesa Honest Ngowi afariki dunia kwenye ajali Mlandizi Pwani. Alikuwa mhadhiri Chuo Kikuu Mzumbe

    Habari Wote. Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Lughano Kusiluka anasikitika kutangaza kifo cha Prof. Honest Ngowi na Dereva wake, waliofariki asubuhi ya leo kwa ajali ya gari wakiwa njiani kuja Kampasi Kuu Morogoro. Tunaomba muwe watulivu wakati Menejiementi inaendelea kufuatilia taarifa kamili ya...
  7. The bump

    JamiiForums Tanzania Natafuta Watu wa kung'oa visiki shamba heka mbili Mlandizi

    Natafuta Watu wa kung'oa visiki shambani kwangu Mlandizi, shamba halina visiki vikubwa ni visiki vya miti size ya mkono wa mtu mzima. Ukubwa ni Heka Mbili, Mtu au Watu watakaofanya hii kazi ni lazima Wakae huko huko shamba kwa kipindi chote watakachokua wakifanya hiyo kazi ili kuepuka gharama...
Back
Top Bottom