mlandizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Kuna foleni kubwa Mlandizi hadi Chalinze, zaidi ya masaa matatu magari hayatembei

    Nipo Vigwaza, Mkoa wa Pwani natokea Dodoma. Kuna foleni kubwa kwa zaidi ya saa mbili sasa, na magari hayasogei kabisa. Foleni inaanzia eneo la Mlandizi hadi Chalinze, magari yanayotoka Dar es salaam hayasogei, na yanayotoka Morogoro nayo ni hali hiyo hiyo. Naambiwa kuwa kero hii imekuwa kubwa...
  2. joku

    Natafuta Center ya kufanyia mtihani wa form six kama private candidate kwa Mlandizi

    Habari zenu. Ndugu zangu nilikuwa na uliza kama Kuna mtu yoyo anaijua center yoyote ya kujisajilia kufanya mtihani wa form six Kwa mlandizi ani ambie
  3. The bump

    INAUZWA Mlandizi : Kiwanja Cha Ukubwa wa Hekari 2 na Nyumba ya Wafanyakazi inauzwa

    MWISHO WA MNADA, WA BEI RAHISI. MTEJA UTAKAEKUJA FAHAMU BEI SIO TENA 10M KAMA umejipanga na 10M usisumbuke Kunitafuta. GHARAMA YA SASA NI 17M bei ikipungua itashuka MWISHO 16M Na Sio HEKA 2 zote nikikuuuzia utanibakizia namimi eneo la 30 x 30 So katika HEKA 2 toa 30 x 30 inayobaki ndio ipo...
  4. Right Marker

    Je, ni wapi kunamfaa kuishi mtu wa maisha ya kati/chini - kati ya Dar, Kibaha, Mlandizi, & Bagamoyo?

    Wazoefu wa hii miji/maeneo. Je, ni wapi kunamfaa kuishi mtu mwenye maisha ya kati/chini - kati ya... A. DAR ES SALAAM, B. KIBAHA C. MLANDIZI D. BAGAMOYO. Right Marker Dar es salaam.
  5. JS Dairy Farm

    Shamba ek 20 linauzwa Mbwawa Mlandizi

    Shamba lenye ukubwa wa eka 20 linauzwa lipo kijiji cha Mbwawa karibu na Mlandizi wilaya ya Kibaha. Lipo karibu na chanzo cha kudumu cha maji(mto) ambao haukauki. Linafaa kwa shughuli za kilimo cha umwagiliaji au ujenzi wa Shule,hspitali nk. Bei kila eka milioni 7. 0756 625 286
  6. Mkalukungone Mwamba

    Chama Cha Walimu Wastaafu Mlandizi wamewahimiza wastaafu wenzao kutembelea vivutio vya utalii

    Chama Cha Walimu Wastaafu wilayani Mlandizi mkoani Pwani wamewahimiza wastaafu wenzao wastaafu wengine kutembelea vivutio vya utalii ikiwa ni sehemu ya kupongeza jitihada za kukuza utalii nchini. Wastaafu hao wametoa wito huo wakati wa ziara waliyoifanya kwneye mbuga ya Saadani iliyopo mkoani...
  7. Roving Journalist

    LATRA Pwani: Tunaziwajibisha Daladala zinazokatisha ruti Mbezi - Mlandizi, pia tumesitisha utoaji wa Leseni mpya

    Februari 8, 2025, Mwanachama wa JamiiForums.com alitoa wito kwa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) Mkoa wa Dar na Pwani kushughulikia kero ya daladala zinazotoka nje ya Dar es Salaam, ruti Mbezi - Mlandizi kwa madai kuwa zinakatisha ruti na kuishia Njuweni Maili Moja. Akasema kuwa hali...
  8. Just Pray

    Mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Mlandizi atiwa mbaroni akidaiwa kubaka watoto yatima watano kwa nyakati tofauti

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Stephano Maswala, miaka 35 mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Mlandizi (jina linahifadhiwa) kwa kosa la kubaka watoto watano kwa nyakati tofauti kuanzia mwezi Oktoba 2024 mpaka Januari 2025 waishio kituoni hapo. Muhumiwa huyo alikuwa...
  9. Wakujibwea45

    VITUO: Mbezi kuelekea mlandizi

    Msaada naomba kupangiwa kwa mtiririko hivi vituo vitano (5) ukiwa unatokea mbezi kuelekea mlandizi: Njuweni(maili moja), visiga, misugusugu, kongowe na viziwaziwa.
  10. Songambele

    Wazee wa Vizuizi wameyatimba Madambwe yameondolewa Kibaha - Mlandizi.

    Wazee wa vizuizi wameyatimba, Morogoro Road shwari Madambwe ya Rushwa na kubambikia Madereva vyeti yameondolewa. Tumeshaandika thread nyingi humu kulalamika kuhusu Jeshi letu kuongeza barriers hatarishi humu na kukusanya 2,000 kwa madereva, jana tumeona shwari mpaka mlandizi hakuna hata kimoja...
  11. radhiya

    Plots, Apartments for Sale

    Apartments for Sale Nzuri sana ya kisasa, iko Mikocheni Karibu na palm village, barabarani kabisa. Fully furnished, 3 master bedroom, kuna gym na swimming pool. Inauzwa $220,000 ( Dola laki mbili na ishirini) Ina mteja analipa kodi $1500 per month, Kama mtu anataka kuhamia mteja atapewa notice...
  12. MLIMAWANYOKA

    TANZIA Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi ya Sauli, Solomoni Mwalabhila afariki dunia

    Tumepokea taarifa ya ajali ya gari ndogo ambapo mmiliki wa Mabasi ya kampuni ya Sauli Luxury Solomoni Mwalabhila amefariki dunia kwenye ajali hiyo. Tunatoa pole sana kwa Kampuni ya Sauli Luxury. Ajari ya barabarani imeondoka na roho ya mmiliki wa mabasi ya Sauli Luxury siyo mbali sana na...
  13. sanalii

    Ni wakati sasa serikali waweke barabara nne kwenye daraja la Mkaramo mlandizi

    Hili eneo limekua kero, na limeua watu wengi sana ndugu zangu, kwa mfano leo hii yenyewe ni foleni kubwa sana. Serikali fanyeni jambo,
  14. Faana

    Foleni ndefu Mlandizi hadi Visiga kisa lorry moja bovu

    Kuna lorry limeharibika nje tu ya kituo cha polisi Mlandizi na kusababisha foleni hadi Visiga, mnaoelekea usawa huo jiandaeni kisaikolojia
  15. Exogenous Factor

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mlandizi Msufini, SQM 753

    Kiwanja kinauzwa,kipo Mlandizi Msufini sheli, Block J, kama unatoka Mbezi kipo mkono wa kushoto, kina ukubwa wa SQM 753 (39.56 urefu kwa 19.01 upana) ni kiwanja kwa ajili ya makazi. Kiwanja kipo karibu na barabara ya Dsm-Morogoro maarufu morogoro road. Kutoka kituo cha magari Msufini mpaka...
  16. uberimae fidei

    House4Sale House for sale at Kibaha Mlandizi

    Ina vyumba 4, viwili master bedroom. Kiwanja kikubwa, square meter 1200 Umbali km 1 kutoka Morogoro road. Umeme na maji vipo Bei milioni 45
  17. TODAYS

    Mwalimu afanywa chizi kisa na mkasa ni huu!

    Ubhukile msani wa JF. Kwa kifupi; Nilikuwa napita maeneo fulani hapa Lushoto nikamuona dada flani akipita na kuimba huku akikata kiuno ndipo nikakumbuka stori hii hapa chini. Ilikuwa tarehe za mwishoni mwa mwaka nikitokea Dar to Iringa nikapata usafiri wa IT iliyokuwa inaenda Zambia, tulifika...
  18. Mhaya

    Wapi nitapata daladala za kufika Bagamoyo haraka kati ya Chalinze na Mlandizi?

    Kwenu wana JamiiForums, naomba kujua ni route hipi ya haraka na rahisi kupata daladala za kwenda Bagamoyo, kati ya Chalinze to Bagamoyo au Mlandizi to Bagamoyo. Na nauli ikoje kutoka hayo maeneo kwenda Bagamoyo. Natanguliza shukran za dhati.
  19. Mr Why

    Plot4Sale Shamba heka 20 linauzwa Mlandizi, Dar es Salaam

    Shamba heka 20 linauzwa Kikongo Mlandizi, ni sehemu nzuri sana kwa biashara na kilimo, eneo lina rotuba ya kutosha. Unaweza kulima mazao yote ya ukanda wa joto. Pia unaweza kuwekeza katika miradi ya ufugaji, makazi nakadhalika. Fursa ni nyingi sana kuna miradi mikubwa inaendelea ikiwemo viwanda...
  20. Z

    Tahadhari: Morogoro Road eneo la Mlandizi hakupitiki kutokana na ajali

    Kuna bonge la foleni morogoro road,ajali mbaya , zimetokea Kama mbili,fuso imegonga gari kubwa,na fuso nyingine ya nyanya imepinduka bondeni,watu wanazoa nyanya,hizi ajali mlandizi zimezidi Sasa,juzi newforce,Kuna pepo baya
Back
Top Bottom