mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Bomu laripuka kwenye msikiti kule Afghanistan na kuua mkuu wa dini na waumini wengine

    Hawa nao sijawahi kuelewa sababu zao za kulipuana huko Afghanistan wakati wote dini moja.... At least one cleric and several civilians have been reported killed in the city of Herat, despite Taliban claims they have improved security. An explosion rocked the Guzargah mosque in the city of Herat...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Mwanasheria Mkuu apinga madai ya Chebukati kushinikizwa kubadili Matokeo

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Paul Kihara Kariuki amepinga madai ya Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi (IEBC), Wafula Chebukati kuwa Maafisa Wakuu Serikalini ambao ni Wajumbe wa Baraza la Usalama la Taifa walijaribu kumshinikiza kutomtangaza William Ruto kuwa Rais Mteule. Mwanasheria Mkuu pia...
  3. JamiiForums Tanzania Ni nani atamtibu mgonjwa? Mganga Mkuu naye analalamika eti madaktari nao wanaumwa

    Mechi ishakuwa ngumu, tayari tumeshafungwa na wachezaji wanafanya makosa ila hawataki tuwazomee wakikosea! Ati tukiwasema hatuna adabu na tayari tushafungwa 2 - 0. Mganga Mkuu analalamika, anasema eti mlundikano wa wagonjwa mawodini ni kwa sababu madokta nao wanaumwa! Kwa hiyo hakuna wa...
  4. JamiiForums Tanzania Malaysia: Waziri Mkuu wa zamani alazwa baada ya kukutwa na UVIKO-19

    Ofisi ya Waziri Mkuu wa zamani Mahathir Mohamad imethibitisha kuwa kiongozi huyo amekutwa na maambukizi hayo na leo asubuhi amelazwa katika Taasisi ya Kitaifa ya Moyo kwa uchunguzi kama ilivyoshauriwa na timu ya Madaktari Mahathir mwenye umri wa miaka 97 tayari amepata Chanjo dhidi ya virusi...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Jaji Mkuu ataja Hoja 9 zitakazoamua mustakabali wa Urais wa Ruto

    Hoja hizo zilizotajwa na Martha Koome, zitaamua Uhalali au Ubatili wa Matokeo ya Urais ni:- 1. Iwapo Teknolojia iliyotumiwa na Tume ya Uchaguzi (IEBC) kwenye Uchaguzi Mkuu ilifikia viwango vya Uadilifu, Uthibitisho, Usalama na Uwazi ili kuhakikisha matokeo sahihi na yanayoweza kuthibitishwa...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mwanasheria Mkuu asema hapingani na Pingamizi la Raila Odinga

    Paul Kihara Kariuki amewasilisha andiko hilo Mahakama Kuu akionesha kwamba hatosimama kupinga na maombi 8 ya Pingamizi lililowekwa na Raila Odinga la kutaka kubatilishwa Matokeo wa Urais. Wakili Mkuu, Kennedy Ogeto, akizungumza kwa niaba ya Mwanasheria Mkuu, alithibitisha hatua hiyo katika...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi Mrema naye alikuwa anapokea 80% ya mshahara wa waziri mkuu?

    Habari, Nasikia marehemu Mrema amewahi kuwa Makamu Waziri Mkuu. Cheo ambacho leo hakipo. Waziri mkuu akistaafu hupata 80% ya mshahara. Vipi kuhusu Mrema alikuwa anapokea hiyo? Na vipi wajane wa watu kama Waziri Mkuu na Rais, huwa wana stahiki gani? NB: Cheo cha waziri mkuu kifutwe.
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini CDF aitwe Mkuu wa Majeshi wakati Polisi, Magereza na Uhamiaji wana wakuu wao?

    Nimekuwa nikishuhudia CDF akiitwa mkuu wa majeshi ilihali jeshi la Magereza,Polisi na Uhamiaji yanao wakuu wao. Sasa ni ipi sababu hasa ya CDF kuitwa mkuu wa majeshi?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa yupo mjini Tunis kwa mkutano wa TACID

    26 August 2022 Tunis, Tunisia MKUTANO WA TICAD Mh. Kassim Majaliwa yupo mjini Tunis akimwakilisha rais wa Jamhuri ya Muungano ktk mkutano wa TICAD WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa akipokewa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Mhe. madame Najla Bouden Romdhane katika uwanja wa ndege wa Carthage, jijini...
  10. JamiiForums Tanzania Japan: Mkuu wa Jeshi la Polisi kujiuzulu kutokana na kifo cha Shinzo Abe

    Itaru Nakamura Mkuu wa Jeshi hilo amesema kuwa ameamua kuwajibika juu ya dosari za Usalama ambazo uchunguzi ulionesha kuwa Jeshi halikumlinda ipasavyo Waziri Mkuu wa zamani, Shinzo Abe aliyeuawa Julai 8, 2022. Taarifa hiyo inakuja wakati ripoti yaUchunguzi iliyotolewa leo ikionesha kuwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wazo duni? Rais Samia atayaweza mengine, Muungano mtihani kwake

    Nimebahatika kufuatilia na kushiriki mikutano na mijadala maeneo mbalimbali kuhusu Muungano wa Tanzania hii. Mitazamo ya baadhi ya watu inaashiria muungano wa Tanzania Bara na Zanzibar unaendelea kuwa moja ya mambo yenye udonda sugu. Kila inapotokeza fursa ama tukio la kuujadili muungano, mambo...
  12. JamiiForums Tanzania Ni ipi sababu ya kuteguliwa Rafael Chegeni kabla ya kiapo cha Mkuu wa Mkoa?

    Anayejiita Dk ilihali u daktari wake ni wa mashaka bwana Rafael Chegeni mapema mwezi uliopita aliteuliwa awe RC Mara ajabu kabla ya masaa ya uapisho wake uteuzi wake ulitenguliwa pasina kusemwa sababu leteleza. Kwa wingi wa wajuvi humu jf pengine huenda wapo walio na ufahamu wa kipi hasa...
  13. JamiiForums Tanzania Thailand: Mahakama yamsimamisha kazi Waziri Mkuu

    Mahakama ya Katiba imemsimamisha kazi Waziri Mkuu Prayuth Chan-ocha baada ya kuwekewa pingamizi na vyama vya Upinzani vilivyodai kiongozi huyo amemaliza muhula wake wa miaka minne Inaelezwa kuwa pingamizi hilo la kisheria linaweza kumuondoa kazini Kiongozi huyo ikiwa ni miezi michache imesalia...
  14. JamiiForums Tanzania Aliyejifanya Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa ashughulikiwa

    Tarehe 12/08/2022 RAYMOND NJOFU BWIRE (28) Mkazi wa Kamguluki Mkoa wa Mara alikamatwa na Jeshi la Polisi kwa kosa la kutuma ujumbe mfupi kwenye simu ya mkononi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mlele Mkoani Katavi anayejulikana kwa jina la TERESIA IRAFY. BWIRE alimtaka Mkurugenzi IRAFY...
  15. JamiiForums Tanzania Mali yamteua Msemaji wa Serikali kuwa Kaimu Waziri Mkuu

    Kanali Abdoulaye Maiga ambaye ni Msemaji wa Serikali na Waziri wa Utawala, ameteuliwa kuwa Kaimu Waziri Mkuu wa nchi hiyo akichukua nafasi ya Choguel Maiga, aliyeshauriwa kupumzika kutokana na masuala ya Kiafya. Mapema mwezi huu, jarida la Jeune Afrique la nchini Ufaransa liliripoti kuwa...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FAHAMU: Katiba inamzuia Rais wa Kenya kufanya haya baada ya Uchaguzi Mkuu

    Kwa mujibu wa Katiba ya Kenya, baada tu ya Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9, 2022 Rais alipoteza; Mamlaka ya kuteua Majaji wa Mahakama Kuu, kuteua Afisa yeyote wa Umma, kuteua au kumfukuza kazi Katibu wa Baraza la Mawaziri, Katibu Mkuu na Maafisa wengine wa Serikali. Kwasasa hawezi kutumia Mamlaka ya...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Japan akutwa na COVID-19

    Taarifa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Fumio Kishida imethibitisha kuwa Kiongozi huyo amepima na kukutwa na maambukizi ya COVID-19, ikiwa ni wiki moja kabla ya kuhudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Maendeleo ya Afrika (TICAD) nchini Tunisia. Licha ya kupata maambukizi, imeelezwa kuwa Kiongozi huyo...
  18. JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali: Kumekuwa na upotoshaji kuhusu tozo, Wizara ya Fedha itatoa ufafanuzi tozo zilizopunguzwa

    Kupitia ukurasa Rasmi wa mtandao wa Twitter, Msemaji Mkuu wa Serikali umetoa taarifa ifuatayo kuhusu upotoshaji unaoendelea kuhusiana na Tozo mbali mbali TAARIFA Kuna upotoshaji mkubwa kuhusu tozo za miamala ya kielektroniki iliyoanza katika mwaka huu wa fedha (2022/23). Serikali imepunguza...
  19. JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu Katoliki Dar es Salaam amtimua nchini Padri wa Nigeria

    Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi amemwamuru Padri Christopher Fosudo, ambaye ni raia wa Nigeria, kuondoka mara moja jimboni mwake na kurejea nchini kwao. Padri Fosudo alikuwa paroko msaidizi, Parokia ya Watakatifu Mashahidi wa Uganda, Magomeni Dar es...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia, ni lini utateua Mkuu Mpya wa Magereza?

    Ni takribani mwezi mmoja sasa toka umuondoe aliyekua mkuu wa Jeshi la Magereza. Je, lini utateua mkuu mpya?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…