mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Balozi Liberata Mulamula: Naamini nitakuwa mshauri mkuu kwa Mhe. Rais

    Baada ya kuapishwa Bungeni leo Mhe. Liberata Mulamula ambaye aliteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania siku ya jana kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki amefunguka haya: ...lakini kwa kumsaidia Rais, kama mulivyosikia ameniteua kuwa Waziri wa Mambo ya Nje...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kina Mbowe na wenzake wanazuka unapokaribia uchaguzi Mkuu tu

    Hili sina huruma nalo. Wananchi walio wengi huingizwa kwenye mkenge na viongozi hawa wa upande wa vyama vya upinzani na hata kuthubutu kuwaambia waandamane. Hivi sasa wamekaa kimya huwasikii kabisa na hata ukiwasikia sauti zao ni kama vile unatafuta station ya redio kwenye shortwave2...
  3. JamiiForums Tanzania Mliokuwa mkiomba Mh. Waziri Mkuu Majaliwa Majaliwa atumbuliwe mnajisiaje baada ya kutumbuliwa Dk Bashiru Ally?

    Wengi humu humu walitabiri nani angekuwa makamu wa rais wakimtaja hata Dk Bashiru Ally. Wengine walisema wazi waligemea mhe Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa atupwe. Haiwi haiwi huwa. Sijui mnajisikiaje ambao watu wenu wametoswa? Ni swali tu.
  4. L

    JamiiForums Tanzania CV ya Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Hessein Kattanga

    Habari ndugu zangu, naomba mwenye CV ya Katibu Mkuu Kiongozi mpya, Balozi Hessein Katanga, atupatie. Sisi kama wananchi tunahitaji kumfahamu vizuri Kiongozi wetu huyu...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya Waziri Mkuu kujiuzulu akiwa madarakani, sasa huenda ikawa ni zamu ya Makamu wa Rais alie madarakani

    February 7,2008, aliekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Edward Lowassa, alilazimika kujiuzulu kutokana na kashifa ya kampuni ya kufua umeme ya Richmond ambayo ilibainika kuwa ilikuwa ni kampuni hewa(kwa mujibu wa kamati ya Mwakyembe wakati huo). Wakati hayo yakitokea mwaka 2008, leo tumepata...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Bado nafasi mbili wazi Katibu Mkuu CCM na Waziri wa Fedha, hivyo January, Dkt. Nchimbi na Dkt. Mwigulu vuteni subra

    Ni katika kuwatia moyo makada wa CCM ndugu zangu January Makamba, Dkt. Nchimbi na Mwigulu Nchemba kwamba wawe na subra nafasi bado zipo. Bado kuna nafasi ya Katibu Mkuu wa CCM iko wazi. Kadhalika imejitokeza nafasi nyingine nyeti ya Waziri wa Fedha. Ila na nyie muachane na hayo makundi yenu...
  7. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila aanza kunena kwa lugha

    Bado haijafahamika kisa cha Mh Chalamila kuanza kujieleza kwa kiwango kikubwa kiasi hiki , huku akiwa hajaulizwa na mtu yeyote . Je anasukumwa na hofu ya upepo mpya unaovuma ?
  8. JamiiForums Tanzania Naendelea kuomba, CCM itatoka uchaguzi mkuu wowote ujao 2025

    Najua watu wenye Nia njema wamekua wakiomba kwa uwazi ama kwa kificho kuhusu haki mbalimbali za kisiasa hapa Tanzania.Mimi Ni mmojawapo niliyeomba kivyangu ili Mungu afanye mabadiliko bila vurugu Wala madhara. Mambo Ni hatua kwa hatua. Katika uchambuzi wangu pamoja na maombi naona yafuatayo...
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Ninaomba vyama vya siasa viwe makini kupendekeza Mgombea Mwenza kwenye Uchaguzi Mkuu

    Katika mchakato wa kupata Rais wa JMT, katiba inaelekeza kuwa ni lazima kuwe na mgombea mwenza ambaye Rais akishinda uchaguzi then mgombea mwenza huyo anakuwa Makamu wa Rais. Nikiri kuwa sikuwahi kuchukua cheo cha Makamu wa Rais kwa uzito mkubwa. Mara nyingi niliona kuwa makamu wa Rais ni takwa...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yashauri Katiba ifuatwe kuunda Serikali, Waziri Mkuu na Mawaziri waliopo hawakuapa mbele ya Rais wa sasa

  11. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Armenia kujiuzulu kuruhusu uchaguzi mpya kufanyika

    Waziri mkuu wa Armenia Nikol Pashinyan ametangaza kujiuzulu kuruhusu uchaguzi mpya wa mapema wa bunge ufanyike. Pashinyan ametangaza uamuzi wake huo leo wakati akizungumza na wakaazi wa mkoa wa Armavir ambapo amesema atajiuzulu mwezi Aprili. Atabakia katika nafasi hiyo mpaka uchaguzi...
  12. JamiiForums Tanzania Kocha mkuu wa timu ya miguu ya Taifa ni nani?

    Mechi iliyopita kati yetu na E. Guinea ambayo tulitunguliwa dakika za mwishoni kwa goli moja, kocha msaidizi wa klabu ya Simba Suleiman Matola ndo alikuwa kwenye mstari wa kutoa maelekezo kama kocha mkuu. Sasa najiuliza nani kocha mkuu wa timu yetu wakati tuliambiwa ni Kim Poulsen?
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko

    Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Ripoti ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, ametoa agizo la kusimamishwa Mkurugenzi Mkuu wa Bandari(TPA) kutokana ubadhirifu mkubwa unaoikumba mamlaka hiyo. Rais Samia Suluhu Hassan amesema haya “Ripoti...
  14. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika amtembelea Mama mzazi wa Hayati Alphonce Mawazo kijijini kwake

    Helena Yegera ambaye ni mama Mzazi wa Hayati Alphonce Mawazo , mtu aliyeuawa kinyama pengine kuliko binadamu yeyote nchini Tanzania , leo amepokea ujumbe mzito kutoka Chadema Makao Makuu ulioongozwa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Mh John Mnyika . Baadaye Msafara huo ukatembelea Kaburi la...
  15. T

    JamiiForums Tanzania James Mbatia amtaka Majaliwa ajiuzulu Uwaziri Mkuu

    JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa chama cha upinzani cha NCCR-Mageuzi, ametoa ushauri kwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa kujiuzulu ili kumfanya Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan kuunda baraza jipya. Mbatia amesema, hatua hiyo itamsaidia Rais Samia kuunda Serikali yake. ===== JAMES...
  16. JamiiForums Tanzania Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina. Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndio anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki. Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Serikali/Waziri mkuu wameshindwa kusema pole kwa maafa ya Uwanja wa Uhuru Dar? Nimeogopa!

    Kila mtu anajua kilichotokea Dar wakati wa kumuaga JPM! Cha ajabu leo Mwenyekiti wa Kamati ya Mazishi Mh. Waziri Mkuu amevipongeza vyombo vya Ulinzi na Usalama kwa kazi nzuri kipindi chote. Jambo Hili limenishangaza watu wamekufa kwa uzembe Serikali inakaa kimyaa hata pole? Sasa hio kazi nzuri...
  18. JamiiForums Tanzania Kenya Abdallah Hassan, Katibu Mkuu wa kwanza Muislam Wizara ya Elimu, amefariki

    KENYA ABDALLAH HASSAN KATIBU MKUU WA KWANZA MUISLAM WIZARA YA ELIMU AMEFARIKI Kenya Abdallah Hassan nimemfahamu toka utoto wangu Moshi katika miaka ya 1960. Siku hizo mimi nikiwa shule ya msingi madarasa ya chini sana yeye alikuwa Mawenzi Secondary School. Kenya alikwenda Makerere, Uganda...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna siri gani ambayo Jenerali Venance Mabeyo anataka kumpa Rais Samia Suluhu?

    Wakati wa hotuba yake fupi huko Chato, General Mabeyo alitaka kuzungumza kitu ila akajizuia badala yake akamwambia Rais Samia kuwa suala hilo atamuona ofisini wataliongea. Je, ni suala gani hilo au ni siri gani hiyo kubwa namna hiyo?
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kuna Mzanzibar amewahi kuwa Mkuu wa chombo Cha Usalama hapa Tanzania?

    Tunaposema vyombo tunazungumzia JWTZ, TISS, Magereza, Uhamiaji na Polisi. Je, Kuna wazanzibar wamewahi ongoza vyombo hivi katika nafasi ya juu kabisa( mkuu wa chombo)? Tuwafahamu Kama wapo!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…