mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkuu wa nchi lazima awe mkali na aogopwe. Asipoogopwa kila kitu kitakwenda mrama. Hata hayati Julius Nyerere aliogopwa na alikuwa mkali

    Mkuu wa nchi ambae ndio ndio custodian wa mali za taifa la watanzania kudai kuwa hawezi kufokea mtumishi wa umma ni kushangaza umma wa watanzania. Kwamba watumishi wa umma wakiharibu atawabembeleza? Nimekaa na wazee wengi waliofanya kazi na hayati Julius Nyerere wanasema wazi kuwa Mwalimu...
  2. Maoni kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    MAONI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2025 Watu wajiepushe na kumponda Magufuli maana aliyoyafanya hayahitaji Maelezo mengi bali yalionekana Physically sasa Hawa watu huenda wakajikuta kwenye wakati Mgumu sana 2025, Nguvu ya umma sio ya kubeza hata kidogo,Mwaka 2015 ilikuwa CCM vs UKAWA usijeshangaa...
  3. Kura za kanda ya ziwa huwa zinatoa maamuzi makubwa kwenye uchaguzi mkuu hapa nchini. Mwaka 2010 watu wa kanda ya ziwa waliikataa CCM dhidi ya upinzani

    Nani anajifanya kusahau juu ya uchaguzi wa 2010? Wananchi wa kanda ya ziwa waliikataa CCM ya kifisadi na matokeo ya uchaguzi yalikuwa juu kwa upinzani hasa Chadema. Upinzani ulipata madiwani, wabunge na kura nyingi za urais toka kanda ya ziwa. Mwaka 2025 utathibitisha hili bila chenga...
  4. Yaliyojiri Mkutano Mkuu Maalum wa CCM. Kinana apita kwa kura zote 1,875 zilizopigwa

    Leo ni mkutano mkuu maalum wa chama cha mapinduzi ambao pia utaenda kupitisha mabadiliko ya katiba ya CCM. Kwasasa anaongea katibu mstaafu wa CCM, Yusuph Makamba ambae anasema mchungaji Gwajima alimuuliza yeye kama mtabiri, anatabiri nini kwenye utawala wa mama Samia baada ya kutabiri ubatizo wa...
  5. Hakimu akamatwa akiwa na binti mdogo kwenye nyumba ya kulala wageni

    Hakimu akamatwa akiwa na binti wa chini ya umri wa miaka 18 akiwa kwenye nyumba ya kulala wageni Afisa huyo wa mahakama ambaye jina lake limehifadhiwa alinaswa akiwa na msichana huyo wa umri wa miaka 17 katika nyumba ya kulala wageni katika Kituo cha Kaplong huko Bomet. Kamanda wa Kaunti ya...
  6. Mkuu wa kituo Mabwepande huyo Mama uliyemuweka ndani kisa mchango wa ulinzi shirikishi Tsh. 15,000 kwa mwezi, ipo siku utalipa

    Umeshirikiana na kiongozi wa CCM mnamnyanyasa huyo Mama. Tena mtumishi wa Serikali kisa Tsh. 15000/= za ulinzi shirikishi. Yaani kweli kila mwezi mtu alipe Tsh.15,000/= tena kwa Walinzi ambao hata hajui Kama wanalinda. Najua mnataka kugeuza kesi. Lakini ipo siku utalipa nakuapia. UPDATE: Mama...
  7. Mabadiliko CCM: Nani kuchukua nafasi ya Daniel Chongolo? Kinana kurejea kama Makamu Mwenyekiti

    Salaam Wakuu, Inadaiwa Daniel Chongolo anatemwa Ukatibu Mkuu CCM! Kinana aandaliwa kuwa Makamu Mwenyekiti, hana Mpinzani Vyanzo ndani ya CCM vinadokeza kuwa fukuto linaendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi na ndugu Daniel Chongolo amekalia kuti kavu. Chanzo kinabainisha kuwa wanaodaiwa...
  8. T

    Kuelekea mkutano mkuu wa CCM Aprili 01, nini maana ya mkutano mkuu wa CCM na nguvu yake?

    Na Bwanku M Bwanku. Jumamosi Machi 12, 2022 Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka alitangaza Uamuzi wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kujadili pendekezo la kuitishwa kwa Mkutano Mkuu wa CCM lililotolewa kwenye Kikao chake cha Desemba 18, 2021 na...
  9. Kamanda, mkuu wa kikosi cha vifaru Urusi ajitoa uhai

    Hii ni baada ya kutathmini idadi ya vifaru kwenye hifadhi na kugundua vingi vimeibiwa "parts" na havipo tayari kwa shughuli huku vilivyo kwenye uwanja wa mapambano vimeliwa shaba na kupunguzwa pakubwa. Jamaa ameona isiwe tabu maana utamjibuje Putin na alivyokua chizi hashikiki wala kushaurika...
  10. CCM kuitisha mkutano Mkuu maalum wa kufanya mabadiliko ya katiba yao

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kinatarajia kuitisha mkutano Mkuu maalum wenye lengo la kufanya mabadiliko ya katiba yake ili kuongeza kasi ya ufanisi wa kazi na utekelezaji wa uamuzi ya vikao vya chama hicho. Taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Machi 12, 2022 na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu...
  11. Bunge la Pakistan kupiga kura ya kutokuwa na imani Waziri Mkuu Imran Khan

    Bunge la Pakistan linatarajiwa kukutana Ijumaa kwa lengo la kushiriki zoezi la kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Imran Khan, katika kile kinachotazamwa kuwa ni wakati mgumu kwake tangu aingie madarakani 2018. Mapema mwezi huu muungano wa vyama vya upinzani nchini humo uliwasilisha...
  12. B

    Mke wa Waziri Mkuu wa zamani wa Ukraine adaiwa kujaribu kutorosha mamilioni ya dola

    Ama kweli ni kipi kilicho bora kuliko pesa? Wengine wakisema pesa ni sabuni ya roho. Hizi si ndiyo chimbuko la tozo? Ndiyo chimbuko la kung'angania madaraka? Chimbuko la wizi wa kura? Chimbuko la kukataa katiba mpya? Hawa ni wa Ukraine mbona hata kwetu ni hivi hivi? Hapa mke wa mbunge mmoja...
  13. Waziri Mkuu Kasim Majaliwa tayari umeshajikanyaga, fanya hima ukawaombe radhi wana NgoroNgoro

    NB :Hii itabaki kumbukumbu ya vizazi na vizazi. Baada ya PM Majaliwa kuingilia na kuunda kamati ya jinsi gani kuwaondoa jamii ya Kimaasai katika eneo la Ngorongoro, watanzania na dunia wamesikitishwa na kulia machozi ya damu baada ya kufanyiwa fitina na siasa isiyo na chembechembe ya UTU kwa...
  14. Rais Samia: Tutafanya mabadiliko kwenye Elimu. Mkuu wa Idara ya Elimu awe mmoja ndani ya Halmashauri

    Katika kurekebisha mfumo wa elimu ninashauri Rais aanze na hili nililolisikia leo ambalo sijaamini ,kuwa kila Halmashauti nchini Tanzania ina wakuu wawili wa idara za elimu ( Elimu msingi na Elimu Sekondari). Ninashauri ateuliwe mtanzania moja moja mwenye elimu na uzoefu wa kutosha kuisimamia...
  15. B

    Kwanini Katibu Mkuu wa CCM amekosa kabisa ushawishi Kwa jamiii? Je, CCM wana mgomo baridi dhidi yake?

    Moja ya kipimo Cha wazi Cha kukubalika Kwa kiongozi Kwa Karne hii Duniani ni pamoja na idadi ya watu wanaofuatilia hotuba na Taarifa zake kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii. Njia hii inatumiwa na Dunia Kwa sababu tayari wananchi wengi kila Kona ya Dunia wanaweza kupata Taarifa...
  16. Mbowe: Nimetoka Gerezani kwa moyo mweupe. Katiba ni ajenda yetu, Sisi sio magaidi

    MBOWE ANAZUNGUMZA MAAZIMIO YA CHADEMA, ASEMA ALICHOZUNGUMZA NA RAIS SAMIA Sehemu ya nukuu za Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akizungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa Machi 18, 2022: "Leo nazungumza na vyombo vya habari kwa mara ya kwanza baada ya miezi saba na nusu ya kuwa...
  17. Wasanii wamjia juu Fid Q kwa kufanikisha Steve Nyerere kuwa Msemaji wa Wanamuziki wote Tanzania

    Shirikisho la Muziki Nchini Tanzania ambalo Fid Q Ni katibu Mkuu, lilimtangaza Steve Nyerere kuwa Msemaji wa Wanamuziki Wote nchini. Wasanii wamaupinga huu uteuzi na kudai wanataka Kusemewa na Mtu anaejua Changamoto zao na sio Steve ambae ni Mwanasiasa na Muigizaji. Wasanii Wameonekana kutokua...
  18. Hospitali ya Mzena inamilikiwa na nani? Kwanini iitwe Mzena?

    Hii hospitali inayoitwa Dr. Mzena iko wapi na inamilikiwa na nani, na huyo Dr Mzena ni nani hasa? Yupo au alikuwa hospitali gani? ========= Kwanini hospitali ya Usalama wa Taifa inaitwa Mzena? Emilio Mzena, alikuwa Mkurugenzi wa kwanza wa Idara ya Usalama wa Taifa, na aliongoza idara hii...
  19. Asilimia mbili tu ya mizigo ya Uganda ndio inayopitia Dar es Salaam port, huku asilimia 98% ikipitia Mombasa port, asema mkurugenzi mkuu wa TRC

    Wadau mimi nilijua kwamba asilimia 20 ya mizigo ya Uganda hupitia Dar es Salaam port sasa leo nimepigwa na butwaa kusoma maneno aliyosema mkurugenzi mkuu wa TRC Masanja Kadogosa kwamba asilimia mbili tu ya mizigo ya Uganda ndio hupitia Dar es Salaam port. Hio ina maana kwamba asilimia 98 ya...
  20. U

    Picha: Mkuu wa Majeshi Urusi, Jenerali Valery Gerasimov

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Urusi General Valery Gerasimov ameongoza kwa mafanikio makubwa operesheni kadhaa za kijeshi Chechnya, Syria na Ukraine. Aliye na Picha zake na wasifu wake anakaribishwa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…