Ndugu zangu Watanzania,
Mwamba Paul Makonda Ataendelea kung'aa Kiuongozi ,kushika nafasi nyeti ,kupaa kiuongozi Kutokana na uchapakazi wake uliotukuka na wa kuleta matokeo chanya na ya haraka. Huyu Mwamba ni kama amekuja kwa kazi maalumu hapa Duniani.
Ni mtu ambaye ukimpatia kazi anaifanya...
Simulizi la awali la Muhammad kwa mkewe lilikiwa kwamba alipokuwa pangoni Hira, alitokewa na kiumbe wa ajabu ambaye aliamini alikuwa shetani au jini, huyo kiumbe alimwambia asome, akasema yeye hajui kusoma, yule kiumbe akaanza kumbana na kumwachia, akirudia tena na tena, akimlazimisha asome, na...
Mkuu wa Wafanyakazi Eyal Zamir: "Tuko tayari kushambulia kwa nguvu kubwa katika eneo lolote na dhidi ya adui yeyote anayetishia usalama wa Taifa la Israeli." Ameongez salamu hizi ziwafikie Hamas, Hezbollah, Houth na Bwana wao Iran.
Ndugu zangu Watanzania,
Hii ndio picha Bora ya kufungulia Mwaka,picha iliyoteka hisia za watu ,picha iliyoleta tabasamu kwa watu,picha iliyoleta furaha mitaani kote. Picha iliyoamsha matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania.
Picha iliyoonyesha utii , unyenyekevu na Heshima mbele ya...
Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Viongozi wa Wizara ya Ulinzi, Jeshi la wananchi na Jeshi la Kujenga Taifa, Ikulu Ndogo ya Tunguu - Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania...
Ni General Dan Caine, mkuu wa majeshi ya Marekani [Chairman of the Joint Chiefs of Staff].
Nimemtazama na kumsikiliza leo kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika baada ya operesheni ya kumkamata Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ilipomalizika kwa mafanikio...
Mkuu wa Majeshi ya Jeshi la Libya, Mohammed Ali Ahmed Al-Haddad, amefariki dunia Jumanne baada ya ndege aliyokuwa akisafiria kuanguka muda mfupi baada ya kuondoka katika mji mkuu wa Uturuki, Ankara. Taarifa hiyo imetolewa na Waziri Mkuu wa serikali ya Libya inayotambulika kimataifa, ambaye...
Hivi majuzi nilipata bahati ya kukutana na "mkuu wa majeshi", tukagonga "cheers" na kula kuku, kwa kweli tuliburudika.
Ni mtu mwema na muadilifu sana, ana moyo wa huruma na mwenye kutanguliza maslahi ya Taifa mbele.
Sikuwahi kudhani kama ningewahi kutokwa na machozi ya furaha kiasi kile...
Mkunda alisema vijana wetu ni wahalifu. Vijana wanaopamba kuasi mfumo kandamizi dhidi ya ufisadi na utekaji.
Tangia utekaji umeshamili nchini, ni lini Mkuu wa Jeshi tena la Wananchi JWTZ aliwahi kukemea utekaji na kuonyesha kuchukizwa na vitendo vya utekaji dhidi ya wananchi. Kama kuna mwenye...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Hivi huyu mkuu wa usalama wa taifa hicho cheo alikipataje?
Chawa wake ni akina nani , ana magari mangapi, analala chumba gani, ana watoto wangapi, kaiba sh ngapi, yaan kwa kifupi ni hovyo kabisa
Anazidiwa mpaka na akina Jesca Magufuri ni...
Ukichelewa kuwawahi wanamtandao (wahuni) akina kikwete na wenzake, watakuwahi wewe.
Kwasasa wanaweza kutokuwa na imani na ww baada ya taarifa isiyoeleweka kutoka JWTZ kuhusu captain Tesha, mgawanyiko wa Jeshini unaotokea ambao unakufanya ufikirie kuwaleta pamoja kwa kuwapa haki wananchi...
Akizungumza kupita Global TV Naibu katibu mkuu wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA Amani Golugwa amesema wamemuandikia barua mkuu wa majeshi nchini kumkumbusha kauli ya ya baba wa taifa kuhusu wajibu wa jeshi la wananchi kulinda katiba na mfumo wa vyama vingi.
"Tumemuandikia barua mkuu...
Mkuu wa IDF awatishia viongozi wa Hamas nje ya nchi: 'Tutawafikia pia'
Mkuu wa IDF, Lt. Jenerali Eyal Zamir (kushoto) akizungumza katika tathmini pamoja na Mkuu wa Kamandi ya Kaskazini Meja Jenerali Rafi Milo, Agosti 31, 2025. (IDF)
Kufuatia mauaji ya Israel kwa maafisa wakuu wa Houthi na...
Ndugu zangu Watanzania ama watanganyika,naona vibaya hata kuandika hii barua kutokana na mambo yanavyoendelea kutoka kwa wadau mbali mbali na pia naweza kuwaita wazalendo waliojitolea kututoa matongotongo machoni,na kutuzibua masikio.
Sasa naweza kusema inatosha kwa sasa viongozi hawana nia...
Ukiwa na akili na uelewa wala huulizi nini anafanya polepole kwani iko wazi anachofanya ni kuwahamisha wananchi kutoka kwenye umakini na kuwachanganya wasahau yanayowasibu.
Polepole hana jipya labda kama lakini kwa mdomo mtu kama Lissu,Silaa,Rungwe,nk t
Tofauti na marais wengi duniani ambao huwaapisha kiapo cha utumishi maafisa na watumishi lukuki wa serikali na mihimili mingine ya nchi, rais wa Marekani kiutamaduni yeye huwa anamuapisha mkuu wa majeshi ya Marekani/mwenyekiti wa kamandi za jeshi la Marekani tu.
Mawaziri na watumishi katika...
Nimeitaja CCM kwa sababu wengi wao uitumia CCM Kama Daraja kwa sababu awafatiliwi wakiwa CCM.
Kuna watia Nia hasa ndani ya chama Cha mapinduzi wa ubunge na udiwani sio raia wa Tanzania
Naomba mamlaka ya uhamiaji iwachunguze watia nia wote
Kwani Hawa ni watu muhimu Sana kwenye ulinzi na...
Israel imemuaa Jenerali Ali Shademani yaani Mkuu wa Majeshi mpya wa Iran ambaye alichaguliwa kushika nafasi hiyo baada ya aliyekuwa mkuu wa Majeshi kuuawa na Israel.
Jenerali Ali ametumikia nafasi hiyo kwa siku 4 na masaa 3 tu.
Taarifa imethibitishwa na kiongozi mkuu wa Iran.
Kila anayechukua huo wadhifa analiwa, tangazeni hiyo nafasi tena, wanawahishwa kwa mabikira....
Ayatollah tunamsaza tu ili atie saini mkataba wa kuisahau nyuklia, la sivyo tungekua tushamla na lile gauni lake
====================
The IDF on Tuesday assassinated the replacement Iranian Khatam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.