mkutano

Mkutano Meets the Culture Musical Club of Zanzibar is an album by American blues artist Taj Mahal.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Ni aibu kubwa Kwa CHAUMMA, mkutano wao wa Zanzibar waudhuriwa watu wachache sana

    CHAUMA ebu punguzeni kujitia hasara. Utakodishaje mziki,na jukwaa afu unaishia kuhutubia watu 6. Hawa viumbe walidhani ma press conference ndo yangewafanya wapendwe na watu. Sahivi wanalia kilio Cha kusaga meno. Catherine Ruge Devotha Minja Moza Ally Suzan Kiwanga Tunawasubiri mshinde ubunge...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani Donald Trump amefanya Mkutano na Viongozi wa nchi tano za Afrika

    Rais wa Marekani Donald Trump, amefanya mkutano na viongozi wa nchi tano za Afrika, Gabon, Guinea-Bissau, Liberia, Mauritania na Senegal katika Ikulu ya White House. Mkutano huo uliandaliwa kujadili masuala ya biashara, ushirikiano, usalama na uwekezaji wa kiuchumi kati ya Marekani na bara la...
  3. JamiiForums Tanzania Video: Nyomi ya watu kwenye mkutano wa Tulia jimboni Uyole

    Kumeanza kuchangamka. Hapo ni Nsalaga jimbo jipya la Uyole.
  4. JamiiForums Tanzania Marekani yasusia mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Uhispania

    Mkutano wa kilele wa Umoja wa Mataifa kuhusu Ufadhili wa Maendeleo utaanza Juni 30 hadi Julai 3 na miongoni mwa mambo yaliyomo kwenye ajenda ya mkutano huo ni mataifa kuondolewa mzigo wa madeni. Kuongezwa misaada na marekebisho ya kodi.Viongozi wa ulimwengu watakuwepo katika eneo la kusini mwa...
  5. JamiiForums Tanzania Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 54 Juni 26, 2025

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa leo, Juni 26, 2025, kuwasilisha hoja ya kufunga shughuli za Bunge ikiwa ni hitimisho la Mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katika Mkutano huo umejadili mambo mbalimbali ikiwemo Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024, Mpango wa...
  6. JamiiForums Tanzania Bunge La Kumi Na Mbili, Mkutano Wa Kumi Na Tisa, Kikao Cha 53, 25 Juni 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=g6ObfpEE4Ck&pp=0gcJCdAJAYcqIYzv
  7. JamiiForums Tanzania Nimetua bongo usiku wa kuamkia leo,,,Fasta nikaingia nyumba ya Ibada,,,halafu mkutano na wajukuu zangu...

    Naam mkutano na wajukuu zangu pamoja na mama zao(wakwe zangu na binti zangu),,,, Hii ni baada ya kuzunguka na kuielewa hii dunia,hivyo sitaki mateso niliyopitia mimi pamoja na wanangu yafike kwa wajukuu zangu.... Kitu kikubwa nilichofanyia utafiti ni kutambua na kuelewa nguvu kuu katika...
  8. JamiiForums Tanzania Dr Wilbroad P. Slaa: Afichua mpango wa siri CCM kuitaka CHADEMA iandae wagombea uchaguzi mkuu 2025

    https://youtu.be/DzhhwThYJOY?si=IRsW6tOKSbFXAH_f Very unfortunately kuwa, wanasema haya wakati kwa mlango wa nyuma wanawatesa CHADEMA walio kinyume na mawazo yao maovu.... Mfano; CCM wanawezaje kuwa na hoja ya namna hii wakati Mwenyekiti wa chama kikubwa CHADEMA, mshindani mkuu wa chama...
  9. JamiiForums Tanzania Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 51, 23 Juni 2025

    Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea jijini Dodoma, leo Juni 23, 2025 pamoja na mambo mengine Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa atawasilisha taarifa ya Hali ya Dawa za Kulevya ya Mwaka 2024. Wabunge, wataendelea kuchangia bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka wa...
  10. JamiiForums Tanzania Zungu: Wanaotukana waache watukane, tuna Kiongozi Nusu Mtu Nusu Chuma (Bungeni leo Juni 20, 2025)

    Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea jijini Dodoma, leo Juni 20, 2025 pamoja na mambo mengine wabunge wataendelea kuchangia bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka 2025/2026. Wakati huo huo, wabunge watatoa michango kuhusu Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024...
  11. JamiiForums Tanzania Bunge la 12, Mkutano wa Kumi na Tisa, Kikao cha 49, Juni 19, 2025

    Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea Jijini Dodoma, leo Juni 19, 2025 pamoja na mambo mengine wabunge wataendelea kuchangia mjadala wa Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa fedha 2025/2026. Wakati huo huo...
  12. JamiiForums Tanzania Bunge la Kumi Na Mbili, Mkutano Wa Kumi Na Tisa, Kikao Cha 48, 18 Juni 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=U14SZR1OTYg&pp=ygUFYnVuZ2XSBwkJ3gkBhyohjO8%3D Serikali imesema itaendelea kuwalea na kuwapatia matunzo wazee wasiojiweza ambao hawana familia na ndugu wa kuwatunza kupitia makazi ya wazee na wasiojiweza 13 inayoyamiliki. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa...
  13. JamiiForums Tanzania Mkutano wa John Heche na Waandishi wa Habari ni Chadema kujichanganya kisheria. Usiri wao utawagharimu

    Kuna taarifa kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche atazungumza na waandishi wa habari leo tarehe 17 Juni 2025 saa tano kamili asubuhi, katika hotel ya Seashells Millennium Hotel, iliyopo Makumbusho Dar es salaam. Chadema imeamua kufanya mkutano huo kwa siri, usiri huo utawaponza hasa...
  14. JamiiForums Tanzania BUNGE LA 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 47, Juni 17, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=Ta0IRczlVrg
  15. JamiiForums Tanzania Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 46, Juni 16, 2025

    Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea Jijini Dodoma, pamoja na mambo mengine leo Juni 16, 2025 Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti itawasilisha taarifa ya Kamati hiyo kuhusu Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024, Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa...
  16. JamiiForums Tanzania Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 45 Juni 12, 2025 Dodoma

    Leo Juni 12, 2025 Waziri wa Fedha Dr. Mwigulu Nchemba atawasilisha Bajeti Kuu ya Serikali 2025/2026, nini vitakuwa vipaombele vya serikari? Matarajio ya Wanachi, Taasisi na Asasi za Kiraia yatafikiwa? Kabla ya kuwasilisha hotuba hiyo, Bunge linapitisha hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024 na...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo aongoza ujumbe wa Tanzania katika mkutano wa waratibu wa utekelezaji wa maazimio ya FOCAC

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Waratibu wa Utekelezaji wa Maazimio ya Jukwaa la Ushirikiano baina ya China na Afrika (FOCAC), unaofanyika tarehe 11-12 Juni 2025 jijini Changsha...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Nyie vyama "uchwara", akina ACT et al kama CCM wanafanya fujo kama leo kwenye mkutano, Je kwenye kupiga kura? Zitahesabiwa? Utatangazwa?

    ACT et al, tazama kilichotokea watu waliotumwana system... CHADEMA TAKE NOTE; Nawaza tu, nawaza tu, nawaza tu....Kitakachofuata ni kumpiga Heche risasi wakasingizia kuwa hawajui nani alipiga risasi maana polisi hawatakuwepo kama ilivyokuwa leo! Erythrocyte Ni kuchukua tahadhali tu!
  19. JamiiForums Tanzania Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 42 Juni 9, 2025 Dodoma

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 42 Juni 9, 2025 Dodoma https://www.youtube.com/watch?v=b-yeX29iuJg
  20. JamiiForums Tanzania Waliotaka kuvuruga mkutano wa Chadema Singida wadhibitiwa

    Vijana wanaodaiwa kutaka kuvuruga mkutano wa Chadema uliofanyika mjini Singida leo juni 9, 2025 wamedhibitiwa kabla ya kutekeleza walichokusudia.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…