mkutano

Mkutano Meets the Culture Musical Club of Zanzibar is an album by American blues artist Taj Mahal.

View More On Wikipedia.org
  1. Balozi wa Kenya aishambulia Russia kwa kuyatambua kama majimbo huru ya Ukraine

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilifanya mkutano wa dharura baada ya Rais wa Urusi Vladimir Putin kusema kwamba sasa anatambua sehemu ya Ukraine kama Urusi na atatuma wanajeshi wake kuwa walinzi wa amani katika majimbo hayo mawili. Uingereza ilichukua hatua ya haraka kutangaza vikwazo...
  2. Ayub Rioba aitisha mkutano na waandishi wa habari Februari 21, 2022 kuhusu madai ya rushwa

    Ameandika katika ukarasa wake wa fb usku huu. kuwa jumatatu ataweka wazi juu ya madai ya kufuatiliwa na TAKUKURU kwa madai ya rushwa. Ukumbi na eneo mtajuljshwa. Pia soma >Ayub Rioba adai kufuatiliwa na TAKUKURU
  3. Shaffih Dauda ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa TFF, malalamiko angepeleka TFF

    Adhabu aliyopewa Shaffih ni kubwa sana lakin ukifuatilia hili sakata utagundua Shafii anakosea sana wewe ni mjumbe wa mkutano mkuu mda uko bize kuniponda TFF kama ni malalamiko angeyapeleka TFF na sio mitandaoni. Shafii angetakiwa ajiuzulu ujumbe wa mkutano mkuu wa TFF ili awe na uhuru wa...
  4. Manyara: Vingozi wa CHADEMA wakamatwa kwa kufanya Mkutano Stendi, Wakiri kosa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara linawashikila Viongozi watatu wa CHADEMA kwa kosa la kufanya mkutano bila kibali katika eneo la Stendi ya Katesh wilayani Hanang. Viongozi wanaoshikiliwa ni Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake (BAWACHA) mkoa wa Manyara Regula Mtei (45), Valentina Shayo (37) Mhasibu...
  5. W

    Mkutano wa 50 wa mwaka wa Uwindaji wa Kitalii (Annual Hunting Convention)

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amewasili Jijini New York, Marekani leo tarehe 18 Januari 2022 kwa ajili ya kushiriki mkutano wa 50 wa mwaka wa Uwindaji wa Kitalii (Annual Hunting Convention) ulioandaliwa na Jumuiya ya Uwindaji ya Kimataifa Mkutano huo unaotarajiwa kuanza...
  6. Josephat Gwajima kuliamsha dude kesho saa 5 asubuhi

    Ameitisha mkutano na wanahabari muda huo
  7. Q

    Maazimio ya Mkutano kati ya Msajili wa Vyama vya Siasa na Wadau wa Siasa

    HAYA NDIYO MAAZIMIO YA MKUTANO WA MSAJILI NA VYAMA VYA SIASA JUU YA HALI...
  8. Zitto: Nimepima, nimekutwa na maambukizi ya UVIKO. Naendelea vema

    Jana nimepima nikakukutwa na virusi vya Korona (COVID 19). Sina maumivu yoyote mpaka sasa zaidi ya mafua tu lakini nimekutwa positive. Chanjo imesaidia kutopata madhara makubwa. Nimekaa eneo tengwa (isolation) ili kutoambukiza wengine mpaka hapo nitakapopima tena. Nawaomba muendelee kuchukua...
  9. B

    Mkutano wa wadau wa Siasa: Sababu za Chadema Kukerwa

    Ya msingi ni taslimu kama yalivyo elezwa kwa ufupi hapa: Kwa majibu haya ya Mh. Zitto. Tunapiga hatua: Kuvunjika kwa kile si mwisho wa uhunzi. Kwa hakika maslahi ya taifa ni muhimu zaidi kuliko maslahi binafsi. Tutafika tu.
  10. Q

    Jaji Mutungi: Mkutano wa leo Sio mkutano wa Rais na Vyama vya Siasa ni mkutano wa Wadau wa Siasa, Rais anakuja kuufungua tu.

    Baada ya Chadema kuususia na kuonyesha msimamo Msajili kabadili gia angani, kwa hiyo Chadema walikuwa sahihi kwa vile wao waliandika barua ya kuonana na kuzungumza na Rais sio kuhutubiwa na rais. ====================== “Mkutano wa kesho ulioitishwa na Baraza la vyama vya siasa sio mkutano wa...
  11. Chadema, P'se, Msisusie Mkutano wa Vyama, Wasilisheni Hoja Zenu Mezani, Zitamfikia Samia, Ana Nia Njema na Nchi Hii, Mpeni Ushirikiano!.

    Wanabodi, Hili mada ya ushauri wa bure kwa Chadema, nimesoma humu kuwa wamesusia mkutano wa kesho wa vyama vya siasa kule Dodoma kwa hoja mpaka kesi inayomkabili Mwenyekiti wao ifutwe. Nawashauri ndugu zangu Chadema, wasisuse unless wana uhakika, kwa kususa kwao, kuna something tangible, they...
  12. Shaka muonye Humphrey Polepole mapema kwenye mkutano mkuu Desemba 2021

    Nawasalimu Kwa Jina La Jamhruri Ya Muungano Wa Tanzania. CCM inatarajia kukutana Kwa Ajili ya Mkutano DEC 15 2021. Naomba ndugu Yangu Kijana Shaka Hamdu Shaka. Tumia Fursa hii kumbananisha Pole Pole na Kumpa Ushauri Wa Bure, Ukishirikiana na Manguli Wengine Wa Kwenye Chama Hichi Kikongwe...
  13. B

    Kuelekea Mkutano wa Vyama vya Siasa Kitaeleweka tu

    Kuelekea ule mkutano wa vyama vya siasa: 1. Chadema hawa hapa: 2. NCCR nao hawa hapa: Hadi siku ya siku mbona kitaeleweka tu? ZZK na bwana Nondo namna gani pale?
  14. L

    Ni kweli ni mkutano wa kilele kuhusu Demokrasia au kuna ajenda nyingine?

    Na Fadhili Mpunji Tarehe 9 na 10 mwezi huu Rais Joe Biden wa Marekani atakuwa mwenyeji wa unaoitwa “mkutano wa kilele kuhusu Demokrasia” ambao utawakutanisha viongozi kutoka serikalini, mashirika ya kiraia na sekta kibinafsi. Mkutano huo unatarajiwa kuangazia changamoto na fursa zinazokabili...
  15. Je, Mbowe kufutiwa kesi kabla ya mkutano wa wadau wa demokrasia na vyama vya siasa?

    Kesi ya Mbowe na wenzake inatarajiwa kuendelea tena mahakamani tarehe 14 Desemba. Wakati huohuo, Mheshimiwa rais Samia anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa wadau wa demokrasia na vyama vya siasa tarehe 16 na 17 Desemba. Je serikali itamfutia kesi mwenyekiti wa CHADEMA ndugu Freeman...
  16. Q

    Rais Samia kuwa mgeni rasmi Mkutano wa Vyama vya Siasa - Desemba 16

    Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa vyama vya siasa pamoja na wadau mbalimbali wa siasa. Mkutano huo ambao awali ulitakiwa kufanyika Oktoba 21, mwaka huu lakini ukahairishwa, imeelezwa kuwa utafanyika Desemba...
  17. Upanga, Dar: Yaliyojiri kutoka Ukumbi wa JWTZ, Mkutano na Waandishi wa Habari

    Salaam Wakuu, Leo Jeshi la Wananchi Tanzania, linafanya Mkutano na Waandishi wa habari. Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kutoa Tamko Maalumu 30 Novemba, 2021 Nipo Nimefika kwenye Ukumbi huu kuwajuza kila kitakachojiri. ===== UPDATES: 1022hrs ====== Waandishi wameshafika eneo la tukio 1034...
  18. CHADEMA DIGITAL balaa, CCM yaanza kutumia Polisi kuidhibiti

    Tulionya tangu mapema sana kwamba huu mpango wa Chadema wa kusajili wanachama kwa njia ya kisasa ya kidigital utaua cccm na mamluki wake , hii ni kwa sababu Wananchi wengi sasa wamefahamu kwamba Chadema ndio Mkombozi wa kweli wa dhiki na tabu zao . Masuala ya Tozo , mgao wa maji na umeme ...
  19. BoT - Mkutano wa 20 wa Taasisi za fedha Tanzania 25th & 26th November 2021

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Tupate muelekeo wa uchumi toka kwa Govana, Wizara na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania
  20. Live From Arusha: ITAC - Mkutano wa Kimataifa Kuhusu Uwazi na Uwajibikaji Nchi za Afrika Day 2: Prof. PLO Lumumba, Mhe. Dotto Biteko Ndani ya Nyumba!

    Wanabodi, Bado niko jijini Arusha, kuwaletea live ya day 2 ya , mkutano wa kimataifa wa ITAC ITAC is a brainchild of WAJIBU designed for people to meet and discuss trends on transparency and accountability, sharing best practices, successes and challenges in order to promote an...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…