mkurugenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KERO Barua ya wazi kwa Waziri wa Afya, Katibu Mkuu na Mkurugenzi Mkuu wa NHIF

    YAH: MALALAMIKO KUHUSU ZUIO LA USAJILI WA POLYCLINICS (KLINIKI ZA KIBINGWA) MPYA KATIKA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF) Mhe. Waziri wa Afya, Katibu Mkuu wa Afya, Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Sisi, wadau wa sekta ya afya nchini Tanzania, tunakuandikia barua hii kwa nia ya kuwasilisha...
  2. Libya: Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari wa Benki Kuu atekwa, Benki yasitisha Huduma zote

    Benki Kuu ya Libya imetangaza kusitisha shughuli zake hadi pale Afisa wake muhimu, Musab Msallem aliyetekwa nyara, atakaporejeshwa Taarifa ya Benki hiyo imesema Msallem alichukuliwa kutoka nyumbani kwake na "kikundi kisichotambulika" na pia wafanyakazi wengine wa Benki hiyo wametishiwa kutekwa...
  3. Wizara ya Sheria yawaita Wananchi wenye changamoto za Kisheria waliopo Dodoma kwenda NaneNane

    Kilele cha maonesho ya Wakulima na Wavuvi Nanenane kimewadia, Wananchi wanaendelea kujitokeza kwa wingi kwenye mabanda tofauti likwemo la Mama Samia Legal Aid Campaign ili kupata msaada wa kisheria Jijini Dodoma. Kupitia maonesho hayo yenye kauli mbiu ya “Chagua Viongozi Bora wa Serikali za...
  4. Benki ya Tanzania (TCB) inayo furaha kumkaribisha Bi Lilian Mtali kuwa Mkurugenzi wa Biashara za wateja

    Benki ya Tanzania (TCB) inayo furaha kumkaribisha Bi Lilian Mtali kuwa Mkurugenzi wa Biashara za wateja Wadogo na wa Kati. Bi. Mtali ana uzoefu wa miaka 26 katika sekta ya huduma ya kifedha akibobea katika usimamizi na uongozi wa huduma za biashara za wateja wateja wadogo, wa kati na wakubwa...
  5. KERO NIDA kuna matatizo ya rushwa na urasimu

    Ni siku tatu zilizopita nimelalamikia nida Kawe na uhuni nilioona. 1. Siku naenda kujiandikisha nilifika saa nne nkaitwa saa tisa kupigwa picha. Unaweza hisi ni makusudi ama wewe pekeyako lakini lundo la watu mnaitwa saa tisa wengine walikata tamaa wakaondoka. 2. Nililalamika ushenzi...
  6. Je, ni kwanini Millard Ayo na Mkurugenzi wa TANAPA wasishtakiwe kwa uhujumu uchumi?

    Sote tunafahamu umuhimu wa utalii kwenye kuchangia pato katika uchumi wa nchi yetu. Hivyo basi, panapotokea taharuki inayoweza kusababisha kupungua kwa idadi ya watalii, anayesambaza hiyo taharuki ni sawa na mhujumu uchumi tu. Sasa kulikuwa na haja gani kwa hawa watu wawili kupiga makelele na...
  7. Shaibu ametoa Wito kwa Waziri wa TAMISEMI kumuwajibisha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya

    ACT WAZALENDO YACHARUKA HUJUMA UJENZI WA KITUO CHA AFYA KYANG'OMBE, RORYA Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu ametoa Wito kwa Waziri wa TAMISEMI kumuwajibisha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya kwa kuruhusu Mradi wa Kituo cha Afya Kata ya Kyang'ombe kujengwa chini ya...
  8. Mkurugenzi Mtendaji wa Eilat Port Golber ametangaza kuwa kazi katika bandari ya Eilat imesimama kabisa

    Wanaukumbi. Mkurugenzi Mtendaji wa Eilat Port: "Operesheni zimesimama kabisa katika Bandari ya Eilat kutokana na meli kushindwa kupita upande wowote kufika bandarini." https://x.com/suppressednws/status/1815004127891423470?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
  9. Rais Samia amteua Shedrack Mziray kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Bwana Shedrack Salmin Mziray kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii - TASAF kuanzia tarehe 03 Julai 2024. Kabla ya uteuzi huu Bwana Mziray alikuwa Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Ndani (TASAF). Bwana Mziray...
  10. Mkurugenzi wa Moshi Manispaa kujenga bweni la wavulana 80 kwa Tsh 150,000,000/= Ni upigaji mkubwa

    mwananchi.co.tz Moshi kujenga bweni la watoto wa kiume kukabiliana na ukatili Mbunge wa Moshi Mjini, Priscus Tarimo akizungumzia ujenzi wa bweni la wavulana linalojengwa katika shule ya kutwa ya Msandaka iliyopo Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro mara baada ya kulikagua. Picha na Janeth...
  11. Waziri Mkuu Majaliwa: Mhandisi, Afisa Elimu Sekondari, Mkurugenzi nawasimamisha kazi, mnapelekwa Mahakamani

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambana Mhandisi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo kushindwa kusimamia matumizi ya Fedha ujenzi wa Bwalo shule ya Sekondari ya Wasichana Lugalo. Ashangazwa kutumika kwa fedha yote ya ujenzi wa Bwalo lakini mpaka sasa halijakamilika. Bwalo hilo lilipangiwa sh...
  12. S

    Mkurugenzi Bodi ya Sukari jibu kurasa 95 za hoja za Mpina kuhusu vibali vya sukari acha kurukaruka

    LUHAGA MPINA amewasilisha kwa umma hoja zenye kurasa 95 kuhusu suala la vibali vya sukari lakini nimesikiliza press ya bosi wa bodi ya sukari sijaona akijibu hoja badala yake kuruka ruka. Hoja za Mpina ziko kwenye kurasa 95 tunaomba majibu ya hizo hoja kama ni za uongo au za kweli weka matrix...
  13. Dar: Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amsimamisha kazi kaimu Mkurugenzi wa DAWASA, Shaban Mkwanywe kwasababu ya uzembe kazini

    AWESO AIPANGUA DAWASA, AIWEKA CHINI YA UANGALIZI MAALUM Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemtaka Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (DAWASA), Kiula Kingu akae pembeni kwa muda, pia amemsimamisha kazi, Mkurugenzi wa Uzalishaji na Usambazaji Maji-DAWASA, Shaban...
  14. Spika wa Bunge Akutana na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF

    SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA NSSF Na MWANDISHI WETU, Dodoma. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Bw. Masha Mshomba, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), baada ya kuhitimisha Bunge...
  15. Betty Mkwasa anafaa kuwa Mkurugenzi - Mawasiliano

    Mheshimiwa Ni mzoefu na anajua kazi ya uandishi vyema
  16. Zuhura Yunus kaboronga wapi mpaka kutolewa Ikulu?

    Wakuu salama? Nadhani mmeona mkeka wa mama, Zuhura Yunus kaondolewa kutoka kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu mpaka kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu). Zuhura atakuwa kamkorofisha wapi mama mpaka katolewa Ikulu? Au ndio anapikwa kuja kuwa...
  17. Inakuwaje Marehemu Milton Lupa anateuliwa mkeka mpya wa Rais?

    Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi. How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya? Pia, soma=> Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali. Zuhura Yunus aondolewa Ukurugenzi wa...
  18. Ajira- mkurugenzi wa Wanachama na Mashabiki anahitajika klabu ya Simba

    Kazi kwenu
  19. N

    DOKEZO Ofisi ya Rais Utumishi, TAMISEMI na Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga okoeni mtumishi huyu

    Mtumishi mwenye Mkataba namba Na. SMC/CW/PF.113/3 amefika Ofisini kwetu na ameomba tupaze sauti kwa niaba yake. Hii hapa historia fupi ya malalamiko yake. Wakati wa zoezi la uhakiki wa Watumishi wa Umma 2016/2017 mwajiri wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga alizuia...
  20. PreGE2025 Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi: Wapigakura wapya 224,355 kuandikishwa Kigoma

    Wapiga kura wapya 224,355 wanatarajiwa kuandikishwa mkoani Kigoma wakati wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unaotarajiwa kufanyika mkoani humo kwa siku saba kuanzia tarehe 01 hadi 07 Julai, 2024. Uboreshaji huo wa Daftari utatanguliwa na uzinduzi wa zoezi hilo utakaofanyika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…