mkurugenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Je, nikweli kwamba Rais Samia amemtuma mkurugenzi wa halmashauri ya Morogoro kuwaadhibu walimu watakaoshindwa kutoa hela ya mwenge?

    Mkurugenzi wa halmashauri ya Morogoro ndugu Jeshi Lipembe amesema kwamba ameagizwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwaadhibu walimu na watumishi wa sekta ya afya watakaoshindwa kutoa mchango wa mwenge (10,000/=) Aidha ameagiza walimu wakuu, wakuu wa shule, na viongozi katika idara ya afya...
  2. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Sharifa Nyanga, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu

    Mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais Ikulu ni mtu muhimu sana kati ya Rais na vyombo vya habari. Mtakumbuka Rais Samia alivyoingia tu madarakani alimteua Jafari Haniu kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu kabla ya kumtengua na kumteua Zuhura Yunus. Baadae akamteua Sharifa Nyanga kuchukua...
  3. sonofobia

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema alaani vikali kiongozi wa Chadema taifa kupigwa na mlinzi wa Heche

    Nimesikitishwa na taarifa hii ya Chama ,pamoja na kutolewa kwa kuchelewa sana ,masikitio yangu yanatokana na mambo yafuatayo; 1. Chama hakikuona haja ya kulaani tukio la kiongozi wa wanawake taifa kupigwa na kuumizwa ,kipigo kilichotolewa na Mwanaume,bali kinasema ni taarifa zinazosambazwa...
  4. Bird Watcher

    JamiiForums Tanzania Press ya Mkurugenzi wa Tanesco Vipi?

    Wakuu Tumeambiwa Mkurugenzi wa Shirika La Umeme Tanesco atazungumza Na Waandishi wa habari Kuelezea Kuhusu Mambo yaliyofanyika na yatakayofanyika Kwenye Shirika La Umeme Wamesema Muda ni saa 4:00 ila mpaka muda huu naona Kimya TANESCO
  5. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Samsung Han Jong-Hee Amefariki Dunia

    Mkurugenzi Mtendaji Samsung Electronics Han Jong-Hee aAmefariki kutokana na mshtuko wa moyo siku ya Jumanne,hiini kulingana na msemaji wa kampuni kubwa ya teknolojia ya Korea Kusini. Han alikuwa na umri wa miaka 63. Alizaliwa mwaka wa 1962, Han alikuwa amesimamia biashara za kampuni hiyo za...
  6. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Kada CCM amvaa Mkurugenzi Moshi DC uuzwaji shamba la Shule,ni Deo Mushi

    Deo Mushi kada was CCM na Diwani wa zamani wa Kata ya Kibosho Magharibi amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Moshi Vijijini kuacha mzaha juu ya uuzwaji wa shamba la Shule ya msingi WERENI. Shamba hilo ambalo miaka mingi limekuwa likitumiwa kwa ajili ya kulima mahindi kwa ajili ya wanafunzi wa...
  7. milele amina

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Mkurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika Kutoka Ivory Coast, West Africa

    Katika miaka ya hivi karibuni, shirika la afya duniani (WHO) limekuwa na jukumu muhimu katika kushughulikia changamoto za afya zinazokabili nchi mbalimbali, hasa barani Afrika. Mkurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika anatarajiwa kuchaguliwa hivi karibuni, na kuna uwezekano mkubwa kwamba atakuwa...
  8. milele amina

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Serikali za Mitaa, Tamisemi, Angelista Kihaga, Tunakuomba Utembee Miradi ya Maendeleo ya Moshi Manispaa Kuna harufu ya ufisadi mkubwa

    Mkurugenzi wa Serikali za Mitaa, Tamisemi, Angelista Kihaga, tunakuomba ufanye ziara ya kustukiza kutembelea miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Halmashauri ya Moshi Manispaa. Miradi hii ina umuhimu mkubwa kwa maendeleo ya jamii na inahitaji uangalizi wa karibu ili kuhakikisha inatekelezwa...
  9. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kuna office nimeitembelea leo,office nzima mpaka mkurugenzi hawajui kuongea Kiingereza

    Hii nchi ina vituko sana. Kuna wageni kutoka marekani wametembelea Tanzania kujifunza mambo flani flani,boss wangu akaniteua mimi na wenzangu wawili tuwaongoze kwenye shughuli zao zilizowaleta. Cha ajabu kuna office tumeenda leo,office nzima hakuna anayeweza kuongea kiingereza kizuri,hadi...
  10. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa NHIF: Aga Khan walisema huduma zao ni za viwango vya juu na bei tunazowalipa ni ndogo hivyo hawawezi kuendesha biashara

    Wakuu, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Dkt. Irene Isaka, amesema mfuko huo unaendelea na mazungumzo na Hospitali ya Aga Khan ili kurejesha huduma za bima kwa wanachama wa NHIF katika kituo hicho jijini Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu wa NSSF: Dhamira ya Serikali ni Kuhakikisha Wananchi Walioajiriwa Wananufaika na Hifadhi ya Jamii

    MKURUGENZI MKUU WA NSSF: DHAMIRA YA SERIKALI YA AWAMU YA SITA NI KUHAKIKISHA WANANCHI WALIOJIAJIRI WANANUFAIKA NA HIFADHI YA JAMII. Awapongeza wananchi kwa muitikio wa kujiunga na kuchangia ili kujiwekea akiba kwa maisha bora ya sasa na ya baadaye kupitia kampeni ya NSSF Star Mchezo Mkurugenzi...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Karatu: Dkt. Samia Suluhu Hassan ni chachu ya maendeleo kwa wanawake wa wilaya ya Karatu

    Kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu mkoani Arusha, Juma Hokororo, amemtaja Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kama chachu ya maendeleo kwa wanawake wa wilaya ya Karatu kutokana na uwezeshaji wake mkubwa wa kiuchumi na kijamii, kwa...
  13. Doyi

    JamiiForums Tanzania Uongozi serikali ya mtaa babati mjini kwa hili vumbi mnalotulisha wapiga kura wenu ni haki?? Mkurugenzi na timu yako mjitathmini

    Tunafahamu kuna ujenzi wa daraja maeneo ya msasani barabara ya kuelekea stendi mpya inaendelea na ni sehemu ya juhudi za serikali katika kuboresha miundo mbinu,ila kosa la kwanza mlilofanya ni kumpa tenda mkandarasi asiye na weledi kabisaa kabisaa,kwa maarifa yangu madogo alipaswa ajenge njia...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso ateua Mkurugenzi Mpya wa Maji Morogoro, aelekeza iundwe timu maalum ya Wataalam

    Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso leo terehe 22 February 2025 amefanya mabadiliko ya kiutendaji katika Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA). Waziri Aweso kwa Mamlaka aliopewa na Sheria ya Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira Na. 5/2019 amemteua CPA Sais Andongile Kyejo...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kash Patel, Mkurugenzi wa FBI ameanza kwa kuilisha matango pori seneti ya US kuhusu mauaji ya dikteta Idi Amin!

    Akiwa katika mahojiano yake ya kuthibitishwa kuwa Mkurugenzi mpya wa FBI, Kash Patel alipoanza kwa kuelezea historia ya familia yake alisema baba yake alikimbia Uganda ya Idi Amin, dikteta muuaji wa kimbari ambapo Wahindi laki tatu(300,000) waliuwawa kwasababu ya kuwa Wahindi kama yeye tu. Huu...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi TET, Dkt. Aneth: Zaidi ya Bilioni 297 zinatarajiwa kutumika kuchapisha vitabu vya kiada takribani Milioni 54

    Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Dkt. Aneth Anselmo Komba amesema kwamba wanakusudia kufanikisha kupandisha wiano wa vitabu vya kiada ili kufikia kitabu kimoja kwa mwanafunzi mmoja yaani (1:1) kuanzia ngazi ya awali hadi kidato cha sita, ambapo mpango huo utarajia kugharimu...
  17. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkurugenzi wa Jiji Dar asema Jiji halitawavumilia wakandarasi wanaochelewesha miradi, Ufungaji wa kamera za CCTV katika Soko la Kariakoo kuanza

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Elihuruma Mabelya, amesisitiza kuwa jiji hilo halitawavumilia wakandarasi wanaochelewesha miradi. Tamko hilo amelitoa katika Viwanja vya Karimjee kwenye hafla ya utiaji saini wa miradi mitano muhimu inayolenga kuboresha huduma za jamii na...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi PSSSF acha dharau na mazoea kwenye haki za watumishi

    Wanajukwaa habari za wakati huu. Ninatamani weekend inaenda kuanza vyema na wale wenye changamoto Mungu awafanyie wepesi Nitakuja jukwaani tena kuujulisha umma kwamba huyu mkurugenzi wa PSSSF anadharau juu ya haki za watumishi wenzake ambao wanadai haki zao. Ajue na kuelewa maana ya haki. Hapo...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania WHO yamtangaza Kaimu Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika baada ya kifo cha Dkt Faustine Ndugulile

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza uteuzi wa Dk Chikwe Ihekweazu kama Kaimu Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika, huku likiweka wazi kuwa, Mkurugenzi mpya wa Kanda atachaguliwa Mei mwaka huu. Uteuzi huo unakuja kufuatia kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda...
  20. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania BRELA mnataka Mkurugenzi wenu atumbuliwe ?

    Wakala wa Usajili makampuni BRELA ni wakala wa serikali ambapo watu wanaofungua makampuni , majina ya biashara na alama ya Biashara ndio wahusika wakuu. BRELA imehamia mirambo/ BOT na IFM kutoka Ushirika mnazi mmoja. Imeajiri vijana weni waliokuwa mawakili na watu wa IT. BRELA , hawa vijana...
Back
Top Bottom