Mtumishi mwenye Mkataba namba Na. SMC/CW/PF.113/3 amefika Ofisini kwetu na ameomba tupaze sauti kwa niaba yake. Hii hapa historia fupi ya malalamiko yake.
Wakati wa zoezi la uhakiki wa Watumishi wa Umma 2016/2017 mwajiri wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga alizuia...
Wapiga kura wapya 224,355 wanatarajiwa kuandikishwa mkoani Kigoma wakati wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unaotarajiwa kufanyika mkoani humo kwa siku saba kuanzia tarehe 01 hadi 07 Julai, 2024.
Uboreshaji huo wa Daftari utatanguliwa na uzinduzi wa zoezi hilo utakaofanyika...
https://youtu.be/tXr0IShfWjk?si=WZ90OgpxtV42FP66
Nimesikiliza ila bado napingana na juhudi zinazo semwa juhudi hizi ni usiasa tu hazina utekelezaji tunataka kuwaambia iwàpo taka mnataka zisitolewe njee mpaka gari ipite mnataka kuficha uzembe wenu wa kubeba taka Ili ziwe majumbani na zisionekane...
Habari za jioni watanzania wenzagu.
Leo nimepokea taarifa kutoka kwa mtu wangu wa karibu aliyeko kigoma na kunihadithia matukio ya kuttisha na nimeona nilete hapa wa watalam tusaidiane.
Kwanza ameanza kwa kunitumia ujumbe ulioandikwa na mwananchi wa kawaida nami naomba niuweke hapa wote...
Manispaa ya Moshi chini ya Sheria ndogo za (ada na ushuruj ya Mwaka 2019, Tangazo in Serikali Na. 148 la Tarehe 15/02/2019, imeainisha ada na tozo mbalimbali katika kuendesha sherehe kwenye kumbi na maeneo ya starehe.
Mchanganuo wa ada na tozo hizo ni kama ifuatavyo;
Tshs. 60,000.00, Kibali...
Suala la Mkurugenzi wa Kampuni ya City Casino raia wa Burgalia, Vasil Dosev Dimitrov kudaiwa kuwatishia kuwaua Wanahabari wawili waliokuwa wakifuatilia madai kuwa anatuhumiwa kumfanyia unyanyasaji wa kingono aliyekuwa mtumishi wake wakike ambaye pia ni mke wa mtu, uchunguzi bado unaendelea...
Anonymous
Thread
casino
city casino
kilichotokea
kingono
mbeya
mke
mke wa mtu
mkurugenzi
mtu
sakata
wakili
Ni wakati sasa mkurugenzi wa NIDA abadilishwe.
Ni wakati wa NIDA ijitegemee yenyewe isipewe fedha na serikali tena
Kama NIDA ingepata kiongozi mbunifu ingeingiza mapato mengi sana kama wafanyavyo TRA.
Serikali yetu ifanye yafuatayo:
Mkurugenzi abadilishwe.
Mkurugenzi mpya imarisha kitengo...
Mkurugenzi Mwanzilishi wa Makampuni ya Vanilla International Limited, Simon Mnkondya amejikuta Mikononi mwa Polisi Mara baada ya kutajwa kutapeli wakulima wa Vanila mamilioni ya fedha na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paulo Makonda kuagiza akamatwe na alipe madai yao chini ya ulinzi mkali wa polisi...
Awali ya yote ni vyema kutambua juu ya umuhimu wa Shirika la Utangazaji la Taifa duniani kote, kwa kawaida tunapozungumzia sehemu nyeti za kitaifa kama vile makambi ya Jeshi, Jengo la Taifa (Ikulu), vituo vya kuzalisha Umeme, vituo vya kuzalisha Gesi ghafi au asilia, Miundombinu ya kitaifa kama...
Balozi wa Tanzania Nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege la Precision Bw. Patrick Mwanri ambapo wamezungumzia namna bora ya kuongeza wigo wa usafiri wa anga baina ya Tanzania na Visiwa vya Comoro.
Katika mazungumzo hayo...
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Elirehema Joshua Doriye kuwa Kamishna wa Uhifadhi, Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la #Ngorongoro (#NCAA)
Dkt. Doriye anachukua nafasi ya Richard Rwanyakaato Kiiza, ambaye aliondolewa katika nafasi hiyo Machi 15, 2024
Aidha, Christopher Derek Kadio ameteuliwa...
Salaam,mahojiano haya yalifanyika mwaka 2013 na kuchapishwa Na magazeti yote Yaliyo chini ya MCL,Gazeti la jumamosi June 8 mwaka 2013,,
Swali: Kwa nini mlipendekeza Serikali tatu?
Warioba: Upande wa Zanzibar wapo waliotaka Serikali mbili, Serikali ya mkataba na wengine kutaka Serikali tatu...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya, Tamimu Kambona amegoma kupunguza gharama za kuhifadhia maiti 'mochwari' katika Vituo vya Afya vilivyopo wilayani humo kutoka Sh. 40,000 kwa siku mpaka Sh 20,000, baada ya maombi kadha kutoka kwa Wananchi ambao wamekuwa wakidai kiwango...
Mobhare Matinyi nipo hapa kukumbusha majukumu yako ila siyo kushurutisha ukafanye kwa mbinu gani. Napenda kukumbusha kwamba wananchi wanasema ofisi yako haina mchakamchaka wa ubunifu kuelekea uchaguzi. Ofisi imekaa kimya kama wizara ya mambo ya Nje. Hapana changamsha nchi kwa makala na habari...
Mnamo tarehe 8/04/2024 Majira ya saa 2 Usiku katika Kata ya Iyela Wilaya ya Mbeya Mjini inasadikika Mkurugenzi wa Kampuni ya City Casino raia wa Bulgaria anayeitwa Vasil Dosev Dimitrov, alimchukua kwa nguvu mfanyakazi wake wa kike jina linahifadhiwa na kwenda kumfanyia ukatili wa Kijinsia na...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji linamchunguza aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia (DED), Mkoa wa Pwani, Kassim Ndumbo kwa tuhuma za kufanya ngono na mfanyakazi wake wa ndani (jina limehifadhiwa) anayedaiwa kuwa na umri chini ya miaka 18.
Hatua hiyo imebainika...
Nimeona Taarifa Ya Utenguzi wa Mkurugenzi wa Mafia.
Kiukweli Nimefarijika sana na Nimeona Kweli haki imetendeka na Imeonekana Ikitendeka..
Ni wazi kuwa Nchi imepata Viongozi waadilifu Na hasa Miongoni mwao Napenda kumtaja bila kuogopa na nikitembea Kifua Mbele Dkt. Gwajima D.
Kiukweli kabisa...
Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Kassim Seif Ndumbo
Pia Soma
- Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya...
Mkurugenzi wa Moshi Manispaa, amelala na kusinzia, sasa wezi wameiba na solar na taa takribani betri 50 na solar panels 30 na taa zimeibiwa na zinaendelea kuibiwa kwenye Barabara ya Nyerere (Nyerere Road) kuelekea kiwanda cha soda cha Bonite.
Hii ni zaidi ya hatari na tukiendelea kukaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.