mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mungu ni mkubwa

    Unaumwa uchungu unaambiwa utazaa kesho, lakini siku inafika na uchungu unakatika. Unaambiwa ufanye mazoezi, bado kimya. Kesho kutwa unarudishwa nyumbani, ukifika uchungu unaanza tena. Unarudi hospitali unaambiwa njia zimefunga, unahitaji upasuaji wa haraka. Unajifungua mwanao kwa mateso...
  2. U

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwanazuoni you mkubwa, Mtetezi wa Haki na Twariqa Ahlusunnah Sharif Abdulqadir bin Ahmad bin Muhammad Al-Ahdal afariki dunia

    Kwa kuridhia qadar ya Allah na huzuni kubwa tumeondokewa na Mwanachuoni wetu mkubwa,Mtetezi wa Haki na Twariqa Ahlusunnah Sharif Abdulqadir bin Ahmad bin Muhammad Al-Ahdal Aliyefariki Tawfiq Hospital Malindi,Leo. Ni katika watu waliokuwa wamewekwa karibu sana na Al Imam Muhammad...
  3. JamiiForums Tanzania Job Ndugai: Mimi ndiye mke wenu mkubwa

    Ndugai amwaga radhi katika harakati za kusaka ubunge!
  4. JamiiForums Tanzania VIDEO: Yadaiwa abiria alizimia ndani ya Mwendokasi, Gerezani kutokana na msongamano mkubwa

    Yadaiwa kuwa abiria mmoja alizimia ndani ya basi la mwendokasi eneo la Gerezani kutokana na msongamano mkubwa.
  5. JamiiForums Tanzania Jua lina umri mkubwa kuliko dunia lakini maji ya duniani yana umri mkubwa kuliko umri wa jua

    Mjadala uko mezani Nawasilisha...
  6. JamiiForums Tanzania Mzigo Mkubwa wa Madaftari kwa Wanafunzi Je, Hii Haileti Madhara ya Kiafya Kwenye matatizo ya mgongo

    Wadau wote wa Wajamvini habari za muda huu Mara nyingi nikiwa kwenye daladala, hukutana na wanafunzi wadogo wa shule za msingi na sekondari wakiwa wamebeba mabegi mazito sana yenye madaftari na vitabu vingi. Hali hii hunisikitisha hasa nikifikiria umri wao mdogo na namna wanavyobeba mizigo...
  7. JamiiForums Tanzania hivi kwa kijana mtaji wa M1 unaeza anzisha biashara gani ambayo inamzunguko mkubwa??

    Habari ndugu zangu nlikua naomba kuuliza kwa mtaji wa M1 kama kijana ni biashara gani unaweza kuifanya na ikawa na mzunguko mkubwa wa pesa??
  8. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuonekana kama una umri mkubwa kushinda watu wa rika lako?

    Hali ya kimaisha yaani changamoto hasa kiuchumi huweza kukukomaza ukaonekana mzee kuliko watu umri au rika lako. Si ajabu wakawa wanakushangaa. Ugonjwa pia huweza kukufanya hivyo. Si haba hata mabadiliko ya homoni na urithi huweza kukuzeesha. Ulaji mbovu pia usiusahau yaani iwe una hela au...
  9. JamiiForums Tanzania Bi Mkubwa Kawapa Kichambo Majirani Na Wao Wamejibu

  10. JamiiForums Tanzania Pesa ya Online: Jinsi ya Kutengeneza Kipato Bila Kuwa na Duka, Mtaji Mkubwa au ‘Connection’”

    Zamani, kupata pesa ilihitaji uanze na mtaji mkubwa, duka la mtaa au hata leseni ya biashara. Sasa sivyo tena. Dunia imebadilika. Leo, unaweza kutengeneza pesa mtandaoni ukiwa nyumbani — hata kwa kutumia simu yako tu. Watu wengi Tanzania wanapata maelfu hadi mamilioni kila mwezi kupitia simu...
  11. JamiiForums Tanzania Uzinzi Ndio Adui Mkubwa wa Kibali chako ulichopewa na Mungu

    Uzinzi siyo tu dhambi ya mwili, bali ni silaha kali ya adui inayotumika kuvunja, kuiba, na kuharibu kibali ambacho mtu amepokea kutoka kwa Mungu. Katika ulimwengu wa roho, kuna vitu ambavyo si rahisi kuviona kwa macho ya kawaida, lakini vina uzito mkubwa sana katika maisha ya kiroho na kimwili...
  12. JamiiForums Tanzania 💰 Jinsi ya Kutengeneza Tsh 300,000 kwa Mwezi Ukiwa Mtandaoni (Hata Bila Mtaji Mkubwa)

    Kama umewahi kujiuliza, “Nawezaje kupata kipato cha uhakika mtandaoni?” — basi makala hii ni kwa ajili yako. Watu wengi hufikiri lazima uwe na kompyuta kubwa, ujuzi mgumu au uwe na mtaji wa mamilioni ili kupata pesa mtandaoni. Sio kweli. Leo nakufundisha njia rahisi kabisa utakayoweza kutumia...
  13. JamiiForums Tanzania Uwezo mkubwa unakupa sex nyingi ila pia sex nyingi inaua uwezo mkubwa. Kwa kuwa sex ina uwezo wa kuumba basi hivyo hivyo ina uwezo wa kuua.

    Its a blessing and curse in between. Utapiga style hii, kesho itakukumbusha haujapiga style hii, kwa hio, huyo nduki unamtumia nauli aisha. Ni nishati ya kipekee ambayo imeshikilia hatma ya maisha ya mwanamke na mwanaume, ni nishati ya kipekee ambayo itatafsiri stori ya mtu iliobaki katika...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa mji wa Njombe wanatarajia kupata huduma ya majisafi, salama na ya kutosheleza kwa asilimia 100, kufuatia Mradi mkubwa wa maji unaotekelezwa

    Wakazi wa mji wa Njombe wanatarajia kupata huduma ya majisafi, salama na ya kutosheleza kwa asilimia 100, kufuatia Mradi mkubwa wa maji unaotekelezwa na Serikali kwa gharama ya Dola za Marekani 15.7. Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amefanya ziara ya kukagua mradi huo ambao ni moja wapo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mtandao Mkubwa Waliotengeneza Lowassa na Kikwete Katika Siasa ya Tanzania

    Kitu ambacho tumejifunza katika siasa za hapa Nyumbani ni kwanba Mzee Lowasa na Mzee Jakaya hawataacha kujitokeza katika Makundi ya Siasa zetu. Na kama kuna kitu walifanikiwa katika hili Taifa Basi walijenga mfumo wao kwa akili na maarifa katika Kujenga mtandao ndani ya Siasa za Taifa Letu...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa wagombea wa ubunge kupitia CCM ufanyike kwa umakini mkubwa

    Tunashuhudia Sekretariet ya CCM ikiendelea na uchambuzi wa wagombea Ubunge na Madiwani. Naishauri Sekretariet ifanye kazi hii kwa umaakini mkubwa kwa kuangalia CV ya kila mgombea. Katika Bunge lililopita baadhi ya Wabunge walidanganya wasifu wao yaani CV na wengine kudiriki kusema kuwa...
  17. F

    JamiiForums Tanzania GE2025 Yeyote anayetaka CCM iendelee kubaki madarakani baada ya utawala kwa miaka zaidi ya 60 huyo sio mjinga tu ni limbukeni mkubwa

    Mtu yeyote anayetaka CCM iendelee kubaki madarakani hata baada ya utawala kwa miaka zaidi ya 60 huyo sio mjinga tu bali ni limbukeni mkubwa!
  18. JamiiForums Tanzania Ni Utapeli gani Mkubwa umewahi Kufanya/Kufanyiwa?

    Nazungumzia utapeli mkubwa kama vile kutapeli bandari au rasilimali kubwakubwa, either umefanya au umefanyiwa na je reaction ya wananchi ilikuwaje?
  19. JamiiForums Tanzania Ni Siasa za kiwendawazimu karne hii kuruhusu Mgombea Uraisi kuwa Mkubwa kuliko Chama chake Cha Siasa

    GT Kwa sheria za Tanzania wagombea wote wanawajibika kwa vyama vyao sasa maCCM Wana utaratibu wa kumfanaya raisi ndiyo mwenyekiti wa Chama huu ni wendawazimu. Lazima Rais awajibike kwa chama chake. Lazima wawepo wakubwa wake wa kumwambia bila uoga hapa bwana umekosea na pengine kumtoa kwenye...
  20. JamiiForums Tanzania Naweza kutabiri kifo cha kisiasa cha Polepole, press ya leo ilisubiriwa kwa hamu lakini kaongea mambo ya kawaida sana, sasa ajindae kwa mwangwi mkubwa

    Watu wengi walitaraji mambo ya maana kutoka kwake, kaishia kuongea mambo ya kawaida, ya hovyohovyo, hakuwa na jipya. Sasa ajipange kwa mwangwi unaokuja
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…