mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Kuna mpasuko mkubwa mno ndani ya CCM kutokana na wamachinga wanavyotendewa

    Ni suala la muda tu. Kuna sintofahamu kubwa mno ndani ya CCM baina yao na mbaya zaidi ni mpasuko uhusuyo Kanda na namna ambavyo machinga wanavyotendwa. Ikumbukwe, asilimia kubwa ya wabunge wa CCM hawapendezwi mno na namna zoezi la kuwaondoa machinga katika maeneo yao ya sasa linavyofanyika...
  2. Mpende au Mchukie, Mugalu ni msaada mkubwa sana Simba

    Chris Kope Mushimba Mugalu ni straika ambaye tangu aje Simba amekuwa katika lawama na shutuma za kiwango chake, imefikia hatua hata mashabiki wake hawampendi. Ila jamaa ni bonge la straika, anapokuwepo kwenye timu anafanya wachezaji wa timu pinzani kuanzia watatu hadi wanne wasipande mbele kwa...
  3. Morogoro: Kuna sehemu kunajengwa msikiti mkubwa unaopakana ukuta na kanisa, Je hii imekaaje?

    Manispaa ya morogoro Kuna eneo nadhani ukitoka hospital kubwa Kama unaelekea bigwa Kuna sehemu mkono wa kulia Kuna kanisa Kama sio yehova ni sabato; kanisa Hilo linapakana ukuta tu na eneo linapojengwa msikiti mkubwa Sana. Sasa naomba mamlaka husika za kiserikali zitolee ufafanuzi kwamba...
  4. Pfizer: Dozi ya nyongeza imeonesha ufanisi mkubwa

    Pfizer-BioNTech wamesema utafiti umeonesha ufanisi wa dozi ya tatu ambayo ni ya ku-boost chanjo ni 95.6% ambapo huweza kudhibiti hadi virusi vya Delta Dozi mbili za awali zina ufanisi wa 84% hivyo inaonesha umuhimu wa kupata dozi ya tatu. Majaribio yamefanyika kwa watu 10,000 wenye miaka...
  5. B

    Nimefurahia maamuzi kesi ya Mbowe, Mungu mkubwa atatenda

    Tulianza awamu ya tano tukapiga makofi wapinzani walipofilisiwa na kufunguliwa kesi tukiamini tunakijenga chama. Tulipomalizana nao tuliamia kwa wana CCM nakuwachapa kuanzia kwenye fikra Hadi kwenye akaunti zao. Leo Wana CCM wote waliokuwa na nguvu ya kiuchumi wamefilisika, au wamekufa kwa...
  6. M

    Jarida la Muslim 500 lamtaja Rais Samia kama Mwanamke wa mwaka mwenye ushawishi mkubwa kwa 2022

    Jarida maarufu nchi Uturuki na Ulaya la “The Muslim 500” limemtaja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kama kiongozi bora Mwanamke wa Mwaka mwenye ushawishi Duniani kwa Mwaka 2021-21. Jarida la “The Muslim 500” hutoka kila baada ya Mwaka mmoja na husomwa Dunia...
  7. Rafiki yako leo ndio adui yako mkubwa kesho linapokuja suala la maslahi

    Tuwe makini sana na hawa tunaowaita marafiki zetu wa faida, hawa hawa ndio hugeuka kuwa mwiba mkali katika maisha yetu hasa mkipishana kidogo kwenye masuala ya maslahi. Rafiki huyu huyu ndio anaweza kuwa sumu ya kukuondoa hata uhai kisa maslahi, mwisho kabisa tusiwaamini sana hawa tunaowaita...
  8. Mamilioni ya Watu watumbukia katika Umasikini mkubwa kutokana na janga la CoronaVirus

    Kulingana na Benki ya Dunia, kati ya Watu milioni 88 hadi 115 wanasukumwa katika Umasikini kutokana na Janga la CoronaVirus, na wengi wanapatikana Nchi za Asia Kusini na Kusini mwa Jangwa la Sahara Makadirio yanaeleza Mwaka 2021, idadi hii inatarajiwa kuongezeka kati ya milioni 143 na 163...
  9. Nyerere alifanya uhamishaji wa watu mkubwa kabisa katika Afrika?

    Inasemekana kuwa kuhamisha watu waishi kwenye vijiji vya ujamaa ndiyo uhamishaji wa watu mkubwa zaidi kuwahi kutokea Africa. Inasemwa kuwa katika miaka minne, toka 1974 hadi 1977 watu milioni 11 walihamishiwa kuishi kwenye vijiji vya ujamaa. Inasemwa kuwa moja ya matokeo ya jambo hilo ni...
  10. M

    Kwa Upuuzi huu mkubwa waliousema Redioni, naomba kujua Elimu za Watangazaji Mwakapotela na Mkambala

    Mtangazaji Mwakapotela Magic FM "Hata kama kuna Ndege ya moja kwa moja kwenda Marekani lakini haziruhusiwi mpaka Kwanza zitue Amsterdam wazipeleleze ndiyo ziruhusiwe sasa Kuruka kwenda huko" Mtangazaji Mkambala Magic FM "Siyo lazima hizi Ndege ambazo Serikali inazinunua nawe au kila Mtu...
  11. K

    China yakabiliwa na ukosefu mkubwa wa umeme

    Nchi ya China ambayo ndio nchi ya pili kwa uchumi mkubwa imekumbwa na ukosefu mkubwa wa umeme kiasi cha kulazimika kuzima mpaka taa za barabarani kwa baadhi ya miji yake mikubwa Hali hii inasadikiwa kusababishwa na ongezeko kubwa la bei ya makaa ya mawe & upungufu mkubwa wa maji kwenye mabwawa...
  12. Ufaransa imeonesha unafiki mkubwa dhidi ya Werrason & Wenge MM

    Leo nipo upande wa Congo. Nawasalimu kwa jina la Bolingo. Nimesikitishwa mno kusitishwa kwa Show ya mwanamuziki Werrason akiwa na kundi lake la Wenge Maison Mere. Show ilikuwa ifanyike tarehe 25/09/2021 kwenye ukumbi wa Zenith, Paris. Wakati wote wa maandalizi kundi linalojiita Combattants...
  13. T

    Ridhiwani Kikwete aalikwa mkutano mkubwa wa vyama vya siasa China

    "Nimealikwa Mkutano Mkuu wa Kamati ya Kimataifa ya Vyama Vya Siasa nchini China @CPPCC_NUMUNxii inayoshughulikia mahusiano China-Africa kama Mwanasiasa Kijana leo. Nitawasilisha hoja ya Maendeleo ya Vijiji na Mchango wa Mahusiano ya Nchi zetu. Mkutano kwa Mtandao." #Tunajifunza #RK
  14. Mbeya: Mhandisi aswekwa ndani kwa kutafuna Bilioni tatu za mradi wa maji. Adai kujenga Kibanda cha mabati cha 'site' kwa Milioni 100

    Waziri wa Maji, Prof. Makame Mbarawa ameamuru Jeshi la Polisi kumkamata na kumuweka mahabusu Mhandisi Alistides Kanyomo wa kampuni ya Mbesso Construction kutoka Jijini Dar es Salaam Kwa tuhuma za ubadhirifu wa zaidi ya shilingi bilioni tatu za Ujenzi wa mradi wa Maji Katika Bonde la Mwakaleli...
  15. Polisi acheni kutumika kisiasa kuwalinda CCM, Corona ipo Upinzani tu, CCM hakuna?

    Nina mashaka kabisa kama kweli tuna jeshi la polisi hapa Tanzania kama siyo sehemu ya chama cha mapinduzi. Kwa sasa polisi bila haya wanatumika kisiasa kuilinda na kuitetea CCM huku wakikandamiza vyama viingine vya kisiasa. Kama CCM wanakagua utekelezaji wa Ilani yao, ni kazi ya upinzani pia...
  16. M

    Wallah! Kama Simba SC itacheza Mpira Mkubwa iliyocheza Simba Day na TP Mazembe, kuna Mtu tarehe 25 anafungwa Goli 7

    Kuna Timu kwa nia njema tu naionya kwakuwa bado ina Jeraha la Kufungwa mara mbili Dar es Salaam na Port Harcourt isikubali Kucheza Mchezo wake wa Ngao ya Hisani (Jamii) na Simba SC tarehe 25 Septemba, 2021. Kwa aina ya Mpira mkubwa (mwingi) na wa Kiwango cha Kimataifa iliyoucheza (...
  17. U

    Ni mikoa gani inaongoza kuwa na Moto mingi, ubishi mkubwa

    Nchii hii Kuna mikoa imejaaliwa maji na ukijani wa kufa mtu, mikoa inayopatikana katika nyanda za juu Mara nyingi unakuwa na vyanzo vingi vya maji yaani Mito, kwa leo labda tuangalie mikoa ya nyanda za juu kusini na mikoa ya nyanda za juu kaskazini. Naomba kuuliza mikoa ipi Ina Mito na vyanzo...
  18. M

    SoC01 Akili na ubunifu ndio mtaji mkubwa kuliko fedha

    AKILI NA UBUNIFU NI MTAJI MKUBWA KULIKO FEDHA Habari za muda huu wanajamii forum leo katika jukwaa hili la story of change nina mada ninayoiwasilisha kwenu naombeni muipokee na ikaweze kubadilisha au kuongezea kile mlichonacho. Kwanza kabisa nianze na hadithi fupi kisha tuendelee na mada yetu...
  19. Prof. Mbarawa arudi kuwa Waziri wa Ujenzi, tutegemee nini katika sekta hii?

    Ama kweli dunia tambara bovu. Prof Makame Mbarawa siyo siri, ni adui mkubwa wa Makandarasi katika sekta zote za Ujenzi na hata hapo mwisho Maji. Mbarawa ni kama mtu wa kisirani na mara nyingi hana focused objectives. Tutegemee nini sasa sekta hii ya ujenzi maana huku mwishoni aliwaita...
  20. E

    Upo uzembe mkubwa kwa Serikali kusimamia fursa katika miradi ya maendeleo tuliyokopa

    Nimeenda mradi wa maji mmoja tunaoutekeleza hapa nchini kwetu kwa kutumia mkopo wa mabilioni kutoka "EUROPEAN INVESTMENT BANK" pamoja na AFD. Mabilioni haya tuliyakopa tunatekeleza mradi huo kwa kutumia kampuni ya kichina. Kampuni imeajiri wahandisi watanzania wanne na anayelipwa fedha nyingi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…