mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Serikali za Mitaa, Tamisemi, Angelista Kihaga, Tunakuomba Utembee Miradi ya Maendeleo ya Moshi Manispaa Kuna harufu ya ufisadi mkubwa

    Mkurugenzi wa Serikali za Mitaa, Tamisemi, Angelista Kihaga, tunakuomba ufanye ziara ya kustukiza kutembelea miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Halmashauri ya Moshi Manispaa. Miradi hii ina umuhimu mkubwa kwa maendeleo ya jamii na inahitaji uangalizi wa karibu ili kuhakikisha inatekelezwa...
  2. 4

    JamiiForums Tanzania Tanzania sio pango la wanyanganyi period Rais chukua hili kwa uzito mkubwa

    Leo nipo na hasira sana , nimeona maneno ya mwajiriwa wetu ndugu Rais kwamba nchi hii ipo na mafuta mengine mengi , ila taarifa inasema tutauza kama nchi . Ndugu Rais nikuombe na watakiwa kujua kwamba umevikuta kwa maana watangulizi wako waliviacha , na sio kwamba hu Rais basi unawazidi...
  3. JamiiForums Tanzania Sijamuelewa Bwana mkubwa Kassim

    Anasema wahitimu wenye degree waende VETA ? Tatizo kubwa la vijana ni ajira hili lipo wazi. Kwamba kwenda VETA ni muarobaini wa kukabiliana na tatizo la ajira?,halaah sijaelewa Vijana wote waliopita VETA wana ajira ndicho anachotaka kutuambia?,simuelewi. Kwamba mimi nina degree ya ETE sona...
  4. JamiiForums Tanzania Dini ni utapeli mkubwa

    TOFAUTI KATI YA DINI NA WOKOVU Watu wengi wamefungwa na dini wakiamini kuwa ndio njia ya kufika mbinguni, lakini hawajagundua kuwa dini na wokovu ni vitu viwili tofauti. Yesu alipokuwa duniani, alishindana sana na viongozi wa dini kama Masadukayo na Mafarisayo kwa sababu walitumia dini kama...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi sifa ya mtu kutumikia Ubungw ni Kuwa na likitambi au mtumbo Mkubwa?

    Africa tuna matatizo sana, ukiwaangalia wabunge wengi wa Tanzania wana mivitambi mikubwa, mitumbo mikubwa, tuna wabunge matumbo tumbo. Fyuu hovyo nimeona video clip ya like libunge la malinyi nilitumbo tumbo tu. Fyuuu
  6. JamiiForums Tanzania Isiwe feki,yenye uwezo mkubwa na ya kisasa.....

    Wakuu swalamaa...... Nina mpango wa kuanza kutengeneza content (yaani kuwa content creator)mwishoni mwa mwaka huu 2025, yaani baada ya uchaguzi mkuu wa Tanzania. Je;ni SIMU aina gani itanifaa(kupiga picha,sauti na video) katika ubora wa hali ya juu. Kuhusu bajeti sio tatizo,maana nadunduliza...
  7. JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko: Serikali kujenga mtandao mkubwa wa mabomba ya gesi pamoja na vituo vya kujazia gesi kwenye magari

    Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Rashal Energies, Farhiya Warsame, inayojenga Bomba la Gesi kutoka Kisemvule hadi Mbagala (kilomita 19) jijini Dar es Salaam. Kampuni hiyo pia itajenga vituo vitano vya CNG...
  8. JamiiForums Tanzania Mwewe kufika mazoezi ya Yanga ni ushindi mkubwa kwa Yanga.

    Mwewe ni ndege mwenye akili, weledi na nguvu kuliko kunguru ama njiwa. Mwewe anaweza kutatiza viumbe wengine kama kuku, nyoka na wanyama wadogowadogo. Hivyo, Mwewe ni alama muhimu kwenye mataifa makubwa yenye mafanikio makubwa kama Marekani na makampuni makubwa ya kibiashara. Siku ukiona mwewe...
  9. JamiiForums Tanzania Zaidi ya Nusu ya Watu Wazima Duniani Kote Watakuwa na Uzito Mkubwa ifikapo 2050

    Zaidi ya nusu ya watu wazima na theluthi moja ya watoto na vijana duniani kote watakuwa na uzito mkubwa ifikapo mwaka 2050 hivyo kuongeza tishio la vifo vya mapema kwa mjibu wa utafiti ulichapishwa leo ource: Global Burden of Disease study 2021 unaonyesha kuwa kuna watu wazima bilioni 2.11...
  10. JamiiForums Tanzania KERO Responded Mwitikio wa wanaojiandikisha NIDA Wilaya ya Uyui ni mkubwa lakini Watendaji na Vifaa havitoshi

    Zoezi la uandikishaji Wananchi kwa ajili ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA) limefanyika katika Kata ya Goweko huku kukiwa na mwitikio mkubwa unaoonekana kuzidi idadi ya Watendaji na vifaa vinavyotumika. Idadi ya Wananchi waliojitokeza ni takribani 500 ambapo kuna Watu wengi wanaotakiwa kulipia...
  11. JamiiForums Tanzania Ofisi ya CHADEMA Mikocheni ina ukumbi mkubwa sana, kwanini wanaranda randa katika kumbi za hoteli za kifahari, wakati wanasema hawana hela?ufisadi?

    Ofisi ya chadema makao makuu mikocheni ina ukumbi mkubwa sana, kwa nini wasifanyie vikao hapo? Wanaenda kukodi kumbi za makumi ya mamilioni wakati wanalia chama hakina hela? Chama kinafanyia maamuzi hotelini? Wanapishana na watu wametoka kuzini au wana mataulo walikuwa wanaoga? Chadema, tumieni...
  12. JamiiForums Tanzania Jamaa kaongea ukweli mkubwa sana kwa wanao chapiwa wake zao

    Jamaa yako akichapiwa mpe ujumbe huu utamfariji sana
  13. JamiiForums Tanzania Single moms poleni kwa upinzani mkubwa mnaopokea humu, huruma yangu iwafikie

    Tuko pamoja, nyie ni strrong women ndio maana mnapambana kulea watoto hii midume iliokimbia. Kama unahitaji faraja nicheck inbox ujisiikie and ukumbukie usichana wako ila mind you, sina hela 😁😁😁😁😁😁😁 Mweusi, mwembaba, sura kama mimi, etc i dont discriminate (in big pun's voice)
  14. JamiiForums Tanzania Kash Patel, Mkurugenzi wa FBI ameanza kwa kuilisha matango pori seneti ya US kuhusu mauaji ya dikteta Idi Amin!

    Akiwa katika mahojiano yake ya kuthibitishwa kuwa Mkurugenzi mpya wa FBI, Kash Patel alipoanza kwa kuelezea historia ya familia yake alisema baba yake alikimbia Uganda ya Idi Amin, dikteta muuaji wa kimbari ambapo Wahindi laki tatu(300,000) waliuwawa kwasababu ya kuwa Wahindi kama yeye tu. Huu...
  15. JamiiForums Tanzania Mabinti wa haya makabila wengi wao haupati upinzani mkubwa ukirusha kamba

    Wajaluo Wairaq Wanyaturu Wajita Wazaramo Wadigo Wamakonde Wahaya.
  16. JamiiForums Tanzania Vitu gani ambavyo hupelekea matumizi ya mafuta kuwa mkubwa kuliko kiwango cha kilomita ?

    Ni sababu zipi zinazopelekea kupanda kwa ulikaji wa mafuta?
  17. JamiiForums Tanzania Karibu Tanga Bi Mkubwa, hapa ndio nyumbani kwa wadigo na wabondei, hapa ndio nyumbani kwa wasambaa na wazigua

    Karibu Tanga Bi Mkubwa, hapa ndio nyumbani nyumbani kwa wadigo na wabondei, hapa ndio nyumbani kwa wasambaa na wazigua. Karibu Tanga kwasababu ina watu wasiojua vurugu, ina watu wasiopenda shari na ina watu wakweli, karibu tanga kwasababu unapendwa huku, najua umesikia sifa zetu za mapenzi na...
  18. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Kahawa Barani Afrika Februari 21–22, 2025 Ukumbi wa JNICC Dar es Salaam

    Kutakua na mkutano mkubwa wa kahawa barani Afrika utakaofanyika tarehe 21–22 Februari 2025 katika Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC), Dar es Salaam, Tanzania. Mkutano huu unaongozwa na Mhe. Dr. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mkutano una lengo...
  19. JamiiForums Tanzania Makala mengi kuhusu Freemason yanatofautiana sana. Naamini hakuna mwenye concrete info juu yao. Hii ni ishara jinsi gani FM walivyo na weledi mkubwa.

    Tena unaweza kuta hata hawajiiti Freemason πŸ˜‚ Yani sisi tuendelee na wale freemason wetu wa "kujiunga freemason 5000" πŸ˜‚ Anyway, Kujua info ya mtu ni kummudu, namaanisha kama hawa jamaa wangejulikana kwa kina kuhusu utendaji wao basi ingekuwa rahisi wao kuwa infiltrated na kuwa dis-organized...
  20. JamiiForums Tanzania DC wa ILALA Asubuhi kaja na "HALA BI MKUBWA" akishirikiana na Mwijaku, Jioni anakuja na CCTV za zaidi ya Million 500 !!

    Mbwembwe za kumtumia Mwijaku na Yale Makamera, Lengo lake Sasa ni hili la CCTV Kwa zaidi ya Milion 500 . Hapo anajua Kamtekenya Mama, kwahiyo Hatoulizwa hiiii gharama vipi? Sawa ni Cameras, kuwepo na Center ya uchakataji wa Taarifa , bado Milioni 500? Jamaa anakula na Kupuliza. sOMA: Pre...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…